Muujiza wa Tony Kapola: Je aliombea mtungi mkubwa au mdogo?

Nyie ndio wale wale msiojitambua 🚮🚮,watoto wako wana hasara sana
 
Ujue mpaka sasa mimi bado siamini kama ile video ni kwel aliongea mwenyewe yule mama, ila ni kama ile sauti imeingizwa. Maana haiingii akilini mtu kama yule kuongea upumbavu kama ule, mbona hawaendani na ule ujinga!! Kama ni kweli, tatizo sio la huyo bwana na mkewe, tatizo ni la watanzania waliokuwepo kusikiliza ujinga ujinga kama ule na bado wakatoa na hela (sio sadaka zile) halaf na kesho yake yake wakarud tena kuwapelekea hela zingine kwa kupotezewa muda kusikiliza upuuzi.
Tatizo ni watanzania.
 
Aliongea mwenyewe kwa kinywa chake na ndio maana hata mumewe alijitokeza kumtetea kwa nguvu zote
 
Ninacho jiuliza..., ivi watanzania tushafikia ujinga kiasi hicho kweli...!!?
 
kama kweli aliweza kuupuliza na chembechembe za hewa zikaingia Mtungini, basi hata tyre ya gari anaweza kulijaza kwa mdomo.
 
Ina maana hata Kwa hili pia bado Tony anatetewa?? Guys tuwe serious basi aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…