JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 706
- 1,230
Unajua AVA (ASK VIAMO ANYTHING) ni nini?
AVA huduma ya AI inayokuwezesha kuuliza maswali na kupata majibu kwa njia rahisi bila gharama yoyote na bila ya kuwa na Intaneti kwa kupiga namba 0901760321.
Ili kuongea na AVA.....
1. Piga 0901760321.
2. Utasikia ujumbe wa karibu na menyu ya awali.
3. Chagua 1 – AVA ili kupata huduma ya AVA.
4. Kisha unaweza kufuata maelekezo ili kuzungumza na AVA.
Piga, Uliza, Pata Majibu!
Tutafurahi kupata mrejesho wako!
NB: Huduma hii inapatikana kwa Watumiaji wa Vodacom kwa sasa.
Zaid kuhusu AVA tembelea Uzinduzi wa Ask Viamo Anything (AVA)