Muulize AVA chochote bila ya kuwa na BANDO na upate majibu papo hapo!

Inawezekana kwetu sisi wakristo ,ufunuo wa yohana yale maandiko yanaenda kutimia..Nani aliwaza kutakuepo na AI .Na najaribu kuwaza kama ikitokea Ai ikaboreshwa si itakuwa na uwezo wa kumpinga Mwenyezi Mungu au hata kumdhuru binadamu .tunapokwenda ni pabaya sana
 
Umeshaongea na AVA Mkuu?
 
Naomba kuuliza ?taarifa za wateja ktk makampuni ya simu TCRA wanazo zote au ziipo baadhi ya taarifa mpaka kampuni husika?
 
Back
Top Bottom