Muulize AVA chochote bila ya kuwa na BANDO na upate majibu papo hapo!

Unajua AVA (ASK VIAMO ANYTHING) ni nini?

AVA huduma ya AI inayokuwezesha kuuliza maswali na kupata majibu kwa njia rahisi bila gharama yoyote na bila ya kuwa na Intaneti kwa kupiga namba 0901760321.

Ili kuongea na AVA.....
1. Piga 0901760321.
2. Utasikia ujumbe wa karibu na menyu ya awali.
3. Chagua 1 – AVA ili kupata huduma ya AVA.
4. Kisha unaweza kufuata maelekezo ili kuzungumza na AVA.

Piga, Uliza, Pata Majibu!

Tutafurahi kupata mrejesho wako!

NB: Huduma hii inapatikana kwa Watumiaji wa Vodacom kwa sasa.

Zaid kuhusu AVA tembelea Uzinduzi wa Ask Viamo Anything (AVA)
Country code ni ipi?
Mfano ile +255 Tanzania au +254 KE.
 
Yaani kuuliza kitu chochote ?
 
Inawezekana kwetu sisi wakristo ,ufunuo wa yohana yale maandiko yanaenda kutimia..Nani aliwaza kutakuepo na AI .Na najaribu kuwaza kama ikitokea Ai ikaboreshwa si itakuwa na uwezo wa kumpinga Mwenyezi Mungu au hata kumdhuru binadamu .tunapokwenda ni pabaya sana

hata miaka ya 80 na 90 walisema hayo hayo kuhusu Internet...
 
Back
Top Bottom