JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 706
- 1,230
Hakuna makato Mkuu, ni bure kabisa, hutumii data wala dakika zako!Hakuna makato?
Mkuu piga simu😎AVA wakike au wakiume
Imekaa njema sana! Mambo ya IVR na DTMF mixing with AI.
Unajua AVA (ASK VIAMO ANYTHING) ni nini?
AVA huduma ya AI inayokuwezesha kuuliza maswali na kupata majibu kwa njia rahisi bila gharama yoyote na bila ya kuwa na Intaneti kwa kupiga namba 0901760321.
Ili kuongea na AVA.....
1. Piga 0901760321.
2. Utasikia ujumbe wa karibu na menyu ya awali.
3. Chagua 1 – AVA ili kupata huduma ya AVA.
4. Kisha unaweza kufuata maelekezo ili kuzungumza na AVA.
Piga, Uliza, Pata Majibu!
Tutafurahi kupata mrejesho wako!
NB: Huduma hii inapatikana kwa Watumiaji wa Vodacom kwa sasa.
AVA hakusanyi namba za watu MkuuPrivacy ipoje? AVA asijekua anakusanya Namba na kuzipeleka sehemu.
Ni mtandao wa Vodacom Mkuu? Kwa sasa hawa ndio wanaweza kuzungumza na AVAHaiunganishi. View attachment 3680246
Maswali yote ya midinyano kwenye AVA nayajibu mimi, karibu sana mpwa tuzogoe!Maswali yangu yatajibiwa na shangazi yake Binti wa zamani.Inatosha.
No kuhusu hayo,atakuuliza yeye.Mimi siwezi kwa sababu ninakuheshimu.Maswali yote ya midinyano kwenye AVA nayajibu mimi, karibu sana mpwa tuzogoe!
Ipo vizuri...
Unajua AVA (ASK VIAMO ANYTHING) ni nini?
AVA huduma ya AI inayokuwezesha kuuliza maswali na kupata majibu kwa njia rahisi bila gharama yoyote na bila ya kuwa na Intaneti kwa kupiga namba 0901760321.
Ili kuongea na AVA.....
1. Piga 0901760321.
2. Utasikia ujumbe wa karibu na menyu ya awali.
3. Chagua 1 – AVA ili kupata huduma ya AVA.
4. Kisha unaweza kufuata maelekezo ili kuzungumza na AVA.
Piga, Uliza, Pata Majibu!
Tutafurahi kupata mrejesho wako!
NB: Huduma hii inapatikana kwa Watumiaji wa Vodacom kwa sasa.
Zaid kuhusu AVA tembelea Uzinduzi wa Ask Viamo Anything (AVA)
Tumia akili basi mkuu wangu, si umeshaambiwa hakuna makato yoyote?Hakuna makato?
Asante mkuu nimekupata vyema,Tumia akili basi mkuu wangu, si umeshaambiwa hakuna makato yoyote?