Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mwanakijiji,
Na hili hili la wabunge wawiliwawili (jinsia tofauti) kwa jimbo unalionaje? Mbona kwa wenzetu waliotutangulia kwenye maswala ya demokrasia hatujawahi kusikia upuuzi huu? Kituko tulicholetewa na Warioba hakilingani na gharama tulizowalipa.
hapana serikali 3
tunataka serikali moja tu
Majirani zako Kenya!Hili linaweza kuwa baya kuliko yote,nimeangaika kutafuta kama kuna nchi duniani yenye mfumo kama huu nimekosa.Huenda Tanzania ikaweka historia kwa jambo la kipuuzi kama hilo.Mpaka hapa tulipo tunatakiwa kupunguza kwani ni gharama sana kuwalipa,unaweza ukaangalia uwiano wa wanawake bungeni duniani kwa kila nchi na Tanzania ikiwa ni ya 20;Women in Parliaments: World Classification
Hizo ni fikra zako na mtazamo wako juu yangu halafu huwezi kuniita kijana hunijui wewe hauna ukubwa wa hivyo kuniita mie kijana.
Wewe umesema wamechagua serikali tatu ni maajabu mimi nilitaka kuyajua hayo maajabu.
Kila mmoja wetu ana haki kwenye hili jambo hakuna aliyeleta mambo ya siasa.
Tunataka serikali moja tu
Serikali ya watu wa TANGANYIKA
Hao wengine hatutaki kuwasikia, waende kupika urojo huko kwao
Ni wakati umefika Ng'ombe akatae kunyonywa na kupe mlalamishi.
Hivi kwanza wana faida gani kwa bara hawa wazenji zaidi ya kelele na udini?
Mkuu Mwanakijiji,
Na hili hili la wabunge wawiliwawili (jinsia tofauti) kwa jimbo unalionaje? Mbona kwa wenzetu waliotutangulia kwenye maswala ya demokrasia hatujawahi kusikia upuuzi huu? Kituko tulicholetewa na Warioba hakilingani na gharama tulizowalipa.
Kwa asili wazanzibar ni walalamishi na kila mtu anataka lazima awe kiongozi.hata wakiruhusiwa kujitenga hukohuko kwao watataka vijiji navyo viwe na haki kamili kama Nchi.infact hawajui nini wanakitaka.ukiwasikiliza sana utabaini kuwa wangependa tuwe na muungano ambao utawapa wao kila kitu bila kufanyakazi!! TO BE REALISTIC, MUUNGANO NA WAZANZIBARI NI KERO.