Muungano bado una shida nyingi tusidanganyane

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Nikiwa barabarani naendesha gari, Siti yangu ya mbele alikaa mjukuu wangu wa miaka 11. Mbele yetu kulikuwa na gari Ina namba za Zanzibar kwenye number plate yenye bendera ya Zanzibar. Mjukuu akaniuliza Ile gari mbona Ina namba za tofauti na hizi zetu, ni gari kutoka nchi gani?.

Nikamwambia ni gari kutoka Zanzibar. Akauliza kwani Zanzibar sio Tanzania? Nikamwambia Zanzibar ni Tanzania. Akaendelea kusema kwani T kwenye namba za magari inamaanisha Tanzania au Tanganyika? Nikamjibu inamaanisha Tanzania. Hakuuliza tena, bali nikamuona kama vile hakuridhika na majibu yangu anaona ninamchanganya TU.

Kuna watu ndani ya muungano waliondoa super league ikaonekana ni sawa, Kuna watu walitaka bendara Yao na wimbo wao wa taifa wakaonekana wako sawa TU, Kuna watu wakataka zibaki serikali mbili ya tanzania na ya Zanzibar ikaonekana ni sawa TU. Kuna watu wanafaidi sana ndani ya muungano lakini hawataki kuweka mambo yanavyotakiwa yawe kwa sababu zao TU.
 
Nikiwa barabarani naendesha gari, Situ yangu ya mbele alikaa mjukuu wangu wa miaka 11. Mbele yetu kulikuwa na gari Ina namba za Zanzibar kwenye number...
Labda T ni Tanganyika who knows,atleast hapa Tanganyika inatajwa
 
Nikiwa barabarani naendesha gari, Situ yangu ya mbele alikaa mjukuu wangu wa miaka 11. Mbele yetu kulikuwa na gari Ina namba za Zanzibar kwenye number plate yenye ...
HAKUNA Muungano

Unaunganisha Tanganyika na Zanzibar inazaliwa Tanzania inabaki Zanzibar Unaiua Tanganyika Muungano gani huo?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Nikamwambia ni gari kutoka Zanzibar. Akauliza kwani Zanzibar sio Tanzania? Nikamwambia Zanzibar ni Tanzania. Akaendelea kusema kwani T kwenye namba za magari inamaanisha Tanzania au Tanganyika? Nikamjibu inamaanisha Tanzania. Hakuuliza tena, bali nikamuona kama vile hakuridhika na majibu yangu anaona ninamchanganya TU.
Huyo mtoto ana akili sana ingekuwa nchi za wenzetu angefanyiwa jambo la ziada kumjenga zaidi
 
Ungemwambia T inamaanisha jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar angekuelewa
 
Muungano tunaufosi sisi tu, kwanza wenzetu huu Muungano wala hawautaki..
Kuanzia madeni, mgawanyo wa fedha na kadhalika, visiwani wanakuwa kama kupe.

Ila cha kushangaza sisi ng'ombe ndio tunakumbatia kupe.
 
Nikiwa barabarani naendesha gari, Situ yangu ya mbele alikaa mjukuu wangu wa miaka 11. Mbele yetu kulikuwa na gari Ina namba za Zanzibar kwenye number plate yenye bendera ya Zanzibar. Mjukuu akaniuliza Ile gari mbona Ina namba za tofauti na hizi zetu, ni gari kutoka nchi gani?.

Nikamwambia ni gari kutoka Zanzibar. Akauliza kwani Zanzibar sio Tanzania? Nikamwambia Zanzibar ni Tanzania. Akaendelea kusema kwani T kwenye namba za magari inamaanisha Tanzania au Tanganyika? Nikamjibu inamaanisha Tanzania. Hakuuliza tena, bali nikamuona kama vile hakuridhika na majibu yangu anaona ninamchanganya TU.

Kuna watu ndani ya muungano waliondoa super league ikaonekana ni sawa, Kuna watu walitaka bendara Yao na wimbo wao wa taifa wakaonekana wako sawa TU, Kuna watu wakataka zibaki serikali mbili ikaonekana ni sawa TU. Kuna watu wanafaidi sana ndani ya muungano lakini hawataki kuweka mambo yanavyotakiwa yawe kwa sababu zao TU.
Kama ulimsoma mjukuu ukahisi ameona una.zingua ndivyo ilivyo wengi wanaona miyeyusho tu!
 
Kwenye muungano Watanganyika wamepigwa utosini na kitu kizito sana
 
Huu muungano fake uvunjwe, bara serikalini wamejaa wazanzibar tupu
 
Huyo mtoto ana akili sana ingekuwa nchi za wenzetu angefanyiwa jambo la ziada kumjenga zaidi
Kama mtoto wa miaka 11 analiona tatizo lakini wazee kama Wasira, Pius Msekwa, Warioba, Butiku, malecela, Jakaya, Msuya, Sumaye, Bomani na wengine wengi hawakuona kuwa kuna shida katika hilo. Ila ninachokifahamu mimi ni kwamba wazanzibar wana akili nyingi sana kuliko......
 
Ungemwambia T inamaanisha jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar angekuelewa
Angenilaumu na kuacha kuniamini kama akijakujua kwamba nilimdanganya. Siku moja mtoto huyohuyo akiwa na miaka 9 alishangaa sana kuona traffic police mmoja anaruhu magari kupita kwenye taa nyekundu barabarani na tulipofika mbele akakuta polisi mwingine amezuia magari yasipite kwenye taa ya kijani. Akasema babu mbona mwl darasani alitudanganya kuwa taa nyekundu barabarani ni stop? Sikuwa na jibu lakini nikamwambia, mwl wako yuko sahihi, sio muongo na hajawadanganyeni, ila.........
 
Kwenye muungano Watanganyika wamepigwa utosini na kitu kizito sana
Sina uhakika kama hata Nyerere na karume walitaka iwe hivihivi ilivyo milele. Wazee wale walikuwa na mengine mengi kuhusu aina ya muungano ambayo sisi hatuambiwi walikusudia aina ipi ya muungano na walikwama wapi kuufika muungano kule walikokusudia. Nina uhakika kuwa dhamira yao haikuwa aina hii ya muungano ila mchakato ulikwama sehemu.
 
Back
Top Bottom