Muungano mpya kati ya Burundi na Tanzania?

Muungano mpya kati ya Burundi na Tanzania?

mimi shida yangu n jina…kama litabaki tanzania sawa…tusije tukawa Butanzania[emoji3]

[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
mimi shida yangu n jina…kama litabaki tanzania sawa…tusije tukawa Butanzania[emoji3]
Napendekeza Jina; nchi mpya itaitwa TANZABURI.
TANganyika
ZAnzibar
BURundi
I ipo kwenye Tangany(i)ka,
Zanz(i)bar na Burund(I).
 
Watuache na shida zetu kwakweli,mi naona Tanzania tu imestaarabika hizo nchi zingine zinaongoza kwa ukabila,wafikirie kwakweli tusijeingia mkenge!
 
Huu muungano nitaupinga hata peke yangu. Kwanza najua ni utani. BBC is a joke media.
 
Source BBC: Kuwa ilikua ni ndoto ya Muasisi wa Taifa la BURUNDI Hayati Rwagaore kuunganisha Tanzania na Burundi kuwa nchi Moja.

Siri hiyo aliitoa Mwa Nyerere katika Moja ya vikao vya usuluhishi wa migogoro ya Burundi.

Kwa mujibu wa BBC, majadiliano yanaendelea ili kutimiza ndoto ya Rwagasore na Nyerere kuunganisha mataifa hayo na kuwa nchi Moja.

Jambo la kujiuliza ni juu ya faida au hasara ya kufanya hivyo.
Isiwe tu kama ule wa Tanganyika na Zanzibar, Afrika ni Moja. SAFI SANAAAAAAA!

NA IWE. TAWILE.
 
Mikoa kadhaa Tanzania kuna mitaa imepewa jina la RWAGASORE kumbe ni jina la kiongozi wa Burundi? Kweli kumbe Burundi🇧🇮 ni wadogo zetu. Nakumbuka zamani kuna vitenge vilipendwa sana na vilikuwa vya bei ya juu kuliko vyote viliandikwa BUJUMBURA
 
Muungano ni jambo jema?

Rudi na wadogo zako na wake zenu mkakae kwa baba yenu ili mrahisishe maisha basi!

Na majirani waambie muunganishe mabanda ya kuku!
Naona umechukua maneno manne ya kwanza na kuamua kunihukumu bila kujali muendelezo wa nilichoandika.
 
Kihistoria baada ya mkutano wa berlin 1884/85 liliundwa taifa la Afrika mashariki ya mjerumani (German East Africa) Likiwa na wilaya 24 ikiwemo Rwanda na Burundi, Hawa ni wenzetu kwa hiyo kuungana nao sioni shida. Natamani kuona na Rwanda tunajiunga nao.
 
Sawa tu,tena hata Congo ya kinshasa ilitakiwa tuwe nchi moja kabisa,napenda sana tuwasaidie hao majiani zetu dhidi ya masaibu yanayowakumba mara kwa mara
 
Back
Top Bottom