Muungano unawanyonya Watanganyika

NINI MAONI YAKO KUHUSU MUUNGANO?

  • MUUNGANO UNAINUFAISHA ZAIDI TANGANYIKA

    Votes: 0 0.0%
  • SIJUI

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    12
  • Poll closed .
Kwani huu ni muungano toka lini? Yaani uvamizi unaitwa muungano?
 
Kakojowe ukalale

alisikika waziri mkuu bungeni akisema
"zanzibar sio nchi"
chakusikitisha hakuwai kukanusha wala kupinga kauli yake na huo ndio ukweli

lile ni jimbo linalonufaika kisiasa halina tofauti na hongkong
 
Wenye uwezo wa kuuvunja muungana kwa njia ya demokrasia ni vijana TU.
Vijana wote bila kujali vyama , wajiunge wawe CCM, ili kipindi cha uchaguzi wajichague kuunda uongozi wa chama , ili waje wauvunje huo ujinga.
Pesa itatumika kuwasambaratisha...hamtasikilizana
 
Na anataka miaka mingine mitano
 
Fikra Unguja haya yote utayaona. Sasa wazanzibari wengi wameathirika na ushoga pamoja na madawa ya kulevya, Kodi ya kufanya yote haya wanatoa wapi kama siyo kuchota fedha toka bara?

Na kwann yanafanyika sasa ,ambapo kuna mzenji kaikalia Tanganyika?
Umemalizia na logic question ila umeuliza kwa wrong person
Hawajui kitu hao mzee, brain ni ooooo
 
Reactions: G4N
alisikika waziri mkuu bungeni akisema
"zanzibar sio nchi"
chakusikitisha hakuwai kukanusha wala kupinga kauli yake na huo ndio ukweli

lile ni jimbo linalonufaika kisiasa halina tofauti na hongkong
Kwani Hongkong ilikuwa na kiti UN ?
 
Weee! Acha kudanganywa. Ni Kodi za watanganyika hizo

Kodi za watanganyika hata mishahara zinashinda kulipa zijekujenga Zanzibar tokea lini ?? Hizo ni pesa za mikopo ya riba kubwa yaani Mwinyi Limekopa limewatia umasikini wa kutupwa wazanzibari leo kuina kodi mpaka ya kwenda kunya πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
 
Tukishashiba tunakuja na hoja za kipuuzi kama hii ya Muungano.

Jiografia ni kazi ya Mungu binadamu kwa roho yake mbaya anadhani anao uwezo wa kujitegemea na kuishia kama kisiwa.

Ni hulka za kibinafsi na nina uhakika akija Rais kutoka huku bara hayupo atayefikiria kuja na uzi wenye mawazo haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…