Muungano unawanyonya Watanganyika

Muungano unawanyonya Watanganyika

NINI MAONI YAKO KUHUSU MUUNGANO?

  • MUUNGANO UNAINUFAISHA ZAIDI TANGANYIKA

    Votes: 0 0.0%
  • SIJUI

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    12
  • Poll closed .
Nipeni nchi halafu muone! Ndani ya mwaka mmoja wa uongozi wangu nikiwa kama Rais, nitawapa haoa Wazanzibari ultimatum moja tu;

1. Wachague hivyo visiwa vyao kugeuka na kuwa Mikoa miwili ya Tanzania! Yaani Mkoa wa Unguja na Mkoa wa Pemba! Au Muungano uvunjwe, na hivyo kila nchi kujitegemea kivyake kwa 100%.

Ila siyo kuendelea na huu Muungano wa hovyo na wa kinyonyaji.
Kwani huu ni muungano toka lini? Yaani uvamizi unaitwa muungano?
 
Kakojowe ukalale

alisikika waziri mkuu bungeni akisema
"zanzibar sio nchi"
chakusikitisha hakuwai kukanusha wala kupinga kauli yake na huo ndio ukweli

lile ni jimbo linalonufaika kisiasa halina tofauti na hongkong
 
Wenye uwezo wa kuuvunja muungana kwa njia ya demokrasia ni vijana TU.
Vijana wote bila kujali vyama , wajiunge wawe CCM, ili kipindi cha uchaguzi wajichague kuunda uongozi wa chama , ili waje wauvunje huo ujinga.
Pesa itatumika kuwasambaratisha...hamtasikilizana
 
Huyu mama anaiba fedha toka Tanganyika kufanya kufuru Zanzibar

1. Majengo ya zahanati, misikiti, shule za msingi na sekondari yote yanabamolewa na kujengwa maghorofa.
2. Vibarabara vyao vingi pale Unguja vinajengewa flyovers.
3. Bandari kubwa sana inajengwa Magapwani.
4. Uwanja wa ndege wa kisasa umejengwa Unguja na kuwekewa miundombinu na vifaa vya kisasa..
5. Anabeba wanyama na kuwapeleka Kizimkazi ambako anaanzisha zoo.
Na anataka miaka mingine mitano
 
Fikra Unguja haya yote utayaona. Sasa wazanzibari wengi wameathirika na ushoga pamoja na madawa ya kulevya, Kodi ya kufanya yote haya wanatoa wapi kama siyo kuchota fedha toka bara?

Na kwann yanafanyika sasa ,ambapo kuna mzenji kaikalia Tanganyika?
Umemalizia na logic question ila umeuliza kwa wrong person
Hawajui kitu hao mzee, brain ni ooooo
 
  • Thanks
Reactions: G4N
alisikika waziri mkuu bungeni akisema
"zanzibar sio nchi"
chakusikitisha hakuwai kukanusha wala kupinga kauli yake na huo ndio ukweli

lile ni jimbo linalonufaika kisiasa halina tofauti na hongkong
Kwani Hongkong ilikuwa na kiti UN ?
 
Weee! Acha kudanganywa. Ni Kodi za watanganyika hizo

Kodi za watanganyika hata mishahara zinashinda kulipa zijekujenga Zanzibar tokea lini ?? Hizo ni pesa za mikopo ya riba kubwa yaani Mwinyi Limekopa limewatia umasikini wa kutupwa wazanzibari leo kuina kodi mpaka ya kwenda kunya 😛 😛 😛
 
Kwamba Zanzibar inawatu milioni moja na nusu, inawabunge 80 kwenye bunge la jamhuri ya muungano, wanalipwa posho na stahiki zote sawa na mbunge mwingine yoyote

Mkoa wa Tanga unawatu milioni 2 na laiki mbili,kwa idadi ya watu Tanga inawazidi Zanzibar kwa zaidi ya watu milioni moja. Tanga ina wabunge 15, kati yao wakuchaguliwa nu 13 na 2 wa viti maalumu

Zanzibar ina Rais wake, Tanganyika haina

Wana bunge lao, Tanganyika haina
Mtu wao anaweza kuwa Rais huku Tanganyika lakini haitakaa itokee mtanganyika akaitawalaZanzibar

Tanganyika inapitia wakati mgumu sana
Tukishashiba tunakuja na hoja za kipuuzi kama hii ya Muungano.

Jiografia ni kazi ya Mungu binadamu kwa roho yake mbaya anadhani anao uwezo wa kujitegemea na kuishia kama kisiwa.

Ni hulka za kibinafsi na nina uhakika akija Rais kutoka huku bara hayupo atayefikiria kuja na uzi wenye mawazo haya.
 
Back
Top Bottom