Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Katiba kumbe hata kwenye uvamizi inakuwepo ?Yote haya yamesababishwa na katiba mbovu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba kumbe hata kwenye uvamizi inakuwepo ?Yote haya yamesababishwa na katiba mbovu
Kwani huu ni muungano toka lini? Yaani uvamizi unaitwa muungano?Nipeni nchi halafu muone! Ndani ya mwaka mmoja wa uongozi wangu nikiwa kama Rais, nitawapa haoa Wazanzibari ultimatum moja tu;
1. Wachague hivyo visiwa vyao kugeuka na kuwa Mikoa miwili ya Tanzania! Yaani Mkoa wa Unguja na Mkoa wa Pemba! Au Muungano uvunjwe, na hivyo kila nchi kujitegemea kivyake kwa 100%.
Ila siyo kuendelea na huu Muungano wa hovyo na wa kinyonyaji.
Kakojowe ukalale
Pesa itatumika kuwasambaratisha...hamtasikilizanaWenye uwezo wa kuuvunja muungana kwa njia ya demokrasia ni vijana TU.
Vijana wote bila kujali vyama , wajiunge wawe CCM, ili kipindi cha uchaguzi wajichague kuunda uongozi wa chama , ili waje wauvunje huo ujinga.
Na anataka miaka mingine mitanoHuyu mama anaiba fedha toka Tanganyika kufanya kufuru Zanzibar
1. Majengo ya zahanati, misikiti, shule za msingi na sekondari yote yanabamolewa na kujengwa maghorofa.
2. Vibarabara vyao vingi pale Unguja vinajengewa flyovers.
3. Bandari kubwa sana inajengwa Magapwani.
4. Uwanja wa ndege wa kisasa umejengwa Unguja na kuwekewa miundombinu na vifaa vya kisasa..
5. Anabeba wanyama na kuwapeleka Kizimkazi ambako anaanzisha zoo.
Weee! Acha kudanganywa. Ni Kodi za watanganyika hizoMiradi karibu yote ulioorodhesha ni PPP sio pesa za kodi. Soma kabla ya kuongea
Atatufilisi huyu mamaNa anataka miaka mingine mitano
Umemalizia na logic question ila umeuliza kwa wrong personFikra Unguja haya yote utayaona. Sasa wazanzibari wengi wameathirika na ushoga pamoja na madawa ya kulevya, Kodi ya kufanya yote haya wanatoa wapi kama siyo kuchota fedha toka bara?
Na kwann yanafanyika sasa ,ambapo kuna mzenji kaikalia Tanganyika?
Kwani Hongkong ilikuwa na kiti UN ?alisikika waziri mkuu bungeni akisema
"zanzibar sio nchi"
chakusikitisha hakuwai kukanusha wala kupinga kauli yake na huo ndio ukweli
lile ni jimbo linalonufaika kisiasa halina tofauti na hongkong
Weee! Acha kudanganywa. Ni Kodi za watanganyika hizo
Tukishashiba tunakuja na hoja za kipuuzi kama hii ya Muungano.Kwamba Zanzibar inawatu milioni moja na nusu, inawabunge 80 kwenye bunge la jamhuri ya muungano, wanalipwa posho na stahiki zote sawa na mbunge mwingine yoyote
Mkoa wa Tanga unawatu milioni 2 na laiki mbili,kwa idadi ya watu Tanga inawazidi Zanzibar kwa zaidi ya watu milioni moja. Tanga ina wabunge 15, kati yao wakuchaguliwa nu 13 na 2 wa viti maalumu
Zanzibar ina Rais wake, Tanganyika haina
Wana bunge lao, Tanganyika haina
Mtu wao anaweza kuwa Rais huku Tanganyika lakini haitakaa itokee mtanganyika akaitawalaZanzibar
Tanganyika inapitia wakati mgumu sana