FIELD MARSHAL, Mbona unatudanganya. Akiwa Makamo hayupo madaraka huenda kwa Aidha Spika Wa Bunge au Jaji Mkuu na sio Waziri Mkuu.
Mkuu kwenye hili hoja zote zimeshasemwa wazi kuwa Zanzibar ni mkoa ndani ya muungano, sasa unapoteza muda wako tu maana mimi sio rais wa jamhuri, wala kiongozi wa serikali na sioni hoja yoyote toka kwako ya muhimu sana kuijadili,
Labda nirudie tu kuwa Zanzibar ni mkoa wa jamhuri ya muungano na rais wenu ni sawa na RC, sasa usichoelewa ni kipi hapa unataka nirudie rudie? Mimi huko ?Zanzibar nikatafute nini? Wala sijawahi kufika huko na sina mpango hata hivi karibuni wa kufika huko nikafanye nini hjasa cha maaana huko?
Nipo naangalia matokea na mashindano ya Olympic ,nimekuwa na tamaa na wanaolympic wetu ,basi huwa navizia pengine tukaibuka na chochote nasikia wengine wameonekana kwenye maduka wakifanya biashala na kuulizia wapi wanaweza kupata container.Yupo wapi Mwiba naona kaingia mitini au yupo busy na box UK!
Nipo naangalia matokea na mashindano ya Olympic ,nimekuwa na tamaa na wanaolympic wetu ,basi huwa navizia pengine tukaibuka na chochote nasikia wengine wameonekana kwenye maduka wakifanya biashala na kuulizia wapi wanaweza kupata container.
Kwani kuna mzanzibari huko kwenye olympiki? Naona watanzania tu wanaoshindana!
D
JF KWELI HUTOZWI KODI KWA KUTOFIKIRI au kufikiri!!
JK ameitaja Tanganyika kiusaniii ndugu yangu. hakuna Tanganyika ndugu yangu!
JK anaelewa kuna Tanzania na Zanzibar au Tanzania visiwani!
Amka kaka
Huko kuna WaTanzania tu na hawashindani isipokuwa wanashindanishwa.Kwani kuna mzanzibari huko kwenye olympiki? Naona watanzania tu wanaoshindana!
nimeipenda sana hiii ..upembuzi yakinifu na uliojaa hekma iliyojificha sana..Jana wakati rais wenu anaongelea swala la muungano,ingawa na yeye alikuwa akijichanganya ila nilihisi nini tatizo ingawa sina uhakika kama niko sahihi,mtasema.
Kuna hofu kubwa ya wazanzibar kuipoteza nchi yao katika muungano na hili ndo tatizo.Nina wasiwasi kuna uwezekano hata Karume original alipatwa na hofu hii kipindi anatakiwa kuiunganisha zanzibar na tanganyika.Inawezekana hofu hii inasababishwa na udogo wa nchi yao ukilinganisha na ukubwa wa tanganyika wakihisi kuwa wazanzibar watakuwa hawana chao kama nchi yao itamezwa ndani ya muungano.Inawezekana hii ikawa ndo sababu ya zanzibar kuachiwa serikali yao huku tanganyika ikimezwa ndani ya muungano,hapa ndipo zikazaliwa serikali mbili na hapa ndipo palipo na tatizo.
Sasa wakati wazanzibar wana chao,watanganyika hawana cha kwao,hii ikasababisha watanganyika waifanye serikali ya muungano kuwa yakwao.Si hivyo tu bali hata wazanzibar nao wakahisi serikali ya muungano haiwahusu sana kwa kujua wanayo ya kwao.Tabu inakuja pale kiongozi wa serikali ya muungano anaposimama na kuongelea suala la muungano,kama alivyosema kikwete jana"TUNAZUNGUMZA NAO"unashindwa kuulewa wao wakina nani? wao watanganyika? wao serikali ya muungano?Hapa ni vigumu kusema wao serikali ya muungano wanaongea na wazanzibar kuhusu muungano,bali hapa alikuwa anamaanisha wao watanganyika wanaongea na wazanzibar juu ya mstakabali wa muunagano. Kwa kuwa watanganyika walikosa jinsi ya kusema sisi pindi wazanzibar wanaposema sisi,ndipo walipoamua kuiteka serikali ya muungano ikawa yao watanganyika na hapa ndipo wazanzibar wanapokosa imani na muungano kwamba unawanyonya ingawa wanashindwa kukumbuka kwamba bara hawana serikali kama wao.Hivyo moja ya suluhisho la muungano ni kuhakikisha kuwa pande zote mbili zinapewa uwezo wa kutumia neno sisi au pande zote zinyimwe uwezo huo,na wala msije kusema hakuna haja eti kwa sababu bara wenyewe hawalalamiki kwa kuwaondolea msamiati wa sisi katika muungano wao na wazanzibar.Ni kweli hawalalamiki ingawa wanautumia msamiati huo huo tena kwa vitendo.na ukijaribu kuangalia kwa makini wanao lalamika sana kuhusu muungano ni wazanzibar hata Selelii halilisema hilo kwa sababu wanahisi hawatendewi haki katika muungano.
Sasa kwanza kuna haja ya muungano kuangaliwa upya,ingawa kuna wale kama akina seif khatibu wanojifanya kutokuona haja ya suala hili.Pili hakuna jinsi suluhisho ni moja kati ya mawili haya,kuwa na serikali tatu au serikali moja,HILO LA TATU SI ZURI KWETU SOTE.
Jana wakati rais wenu anaongelea swala la muungano,ingawa na yeye alikuwa akijichanganya ila nilihisi nini tatizo ingawa sina uhakika kama niko sahihi,mtasema.

hawajawa wao hata siku moja .. ni kujikaza tu .. kila kitu wanategemea huku .. maybe for preparation to be wao .. waanze kutunga sheria zao, pesa zao, mipaka yao , na jeshi lao
Ila ningependa tuwe kitukimoja ....maendeleo yapelekwe kule pia i.e zanzibar na pemba kwani kwa kweli maisha kule ni magumu kwa mwananchi wa kawaida ... ukiangalia kwa makini wana haki ya kulalamika ... kwani wanatengwa kusema ule ukweli ... huyo JK angeukata mzizi wa fitna hii kabisa .. ila sijui kasema nini maana hata kufuatilia aliyoyasema bungeni naona taabu wallahi nahisi kama nitajitwika mzigo wa mawe
Hivi nyie watu humu haya niliyoandika ni upuuzi ama nini? Watanzania tumezoea mpaka kitu kitendeke ndiyo tuanze kulalamika. Haya mambo yataingizwa kwenye katiba ya muungano. Hivi ni kweli watu humu ndani mnayaunga mkono au hamna la kusema. Najua Mkandara unayaunga mkono how about the rest?