Duh! mbona matusi ya nguoni kwa Wamakonde?.. sii ndio hawahawa wanaitwa Wangazija!
Itabidi umuulize JK na kauli yake ya walevi wa tendeDuh! mbona matusi ya nguoni kwa Wamakonde?.. sii ndio hawahawa wanaitwa Wangazija!
Haya maneno yanakuja hata ripoti ya mshauri elekezi aliyeteuliwa na pande zote.
Habari ndiyo hiyo Kamanda, zaidi ya ukwezi Wanyamwezi na wenzao Wamakonde ndio vibarua kwenye konde za Wazenj. Aidha kwa wakati wao wa ziada, wamakonde hupenda kutengeneza Tende, huku Wanyamwezi wakijifunza kufanya biashara.
Inabidi nikukaribishe Zenj ili ukionee wewe mwenyewe kwa macho yako..KIBUNANGO,
Huo utani ukuzidi,
utazua jambo.
Hivi kwanini kila topic nzuri ya ishu muhimu kuhusu Zenji na Bara lazima iishie na matusi?
Tatizo wewe ukijana na unadanganyika na majigambo. Si kweli kuwa Wazanzibari hawakusoma au hawana wataalamu. Si tabia ya Wazanzibari kujisifu na ndiyo unafikiri kuwa hakuna wasomi. Hata hivyo kwa huku bara tukijidai kuwa ni wasomi hebu nieleze kuna kitu gani cha utaalamu kilichowasaidia Watanzania na hiyo elimu "Shule".
Si vizyri kuwabeza watu eti tu kwa vile hawajilabu kama wengi wetu.
Hivi kwanini kila topic nzuri ya ishu muhimu kuhusu Zenji na Bara lazima iishie na matusi?
You have to read between the lines. I didn't compare Zanzibar and mainland Tanganyika. What I said is that Zanzibar is not ready to benefit from whatever resources they have (neither oil nor tourism nor fishing nor clove). Period. This is an indisputable fact. Hakuna cha kuwabeza wala kuwasifia. Cha ukijana wala ukileo. And for your information, the mainland Tanzania is also not ready to benefit from whatever they have. Unajua ni kiasi gani cha dhahabu kinachibwa kule Geita kwa mwezi? If the answer is no, are you dumb or not?
Mchangiaji mwingine akasema Zanzibar wana wataalam wa Nuclear wacha mafuta. The fact is nchi hii wataalam wa mafuta walikuwa TIPER na si TPDC au Wizara ya Nishati na madini. Hao wataalamu wa mafuta Zanzibar wamewatoa wapi? Na wataalamu wa nuclear Zanzibar ni wakina nani? Dr. Shein? What is he doing? Politics? He is as good as useless! Tukichukua mfano wa Nigeria, nina uhakika kabisa mafuta yatachimbwa Zanzibar na watabakia kukwea minazi. I am sorry to say this.
Wewe unaona hayana msingi lakini mafisadi wanawamaliza maalbino kutafuta utajiri.

Watanganyika bado mpo nyuma sana mpaka kufika kuikataa CCM jamaa watakuwa wanaogelea katika mafuta na kunusa gesi,na msizani kama mambo yatakuwa kama ilivyo hivi sasa,sijui kama mnatambua kuwa Mzanzibari ana ID Nationality.
Wakisema tu anaeingia na kutoka Zanzibar lazima awe na Zanzibar ID basi mjue kumekucha. Nyie mtabakia wenzetu Uganda basi inakuja wenzetu Pemba !!
Siwanavyosema wataalamu wa mafuta wa Tanganyika kwamba Zanzibar haina mafuta ya kusababishwa kuchimbwa ,eti kuyachimba ni hasara ndio huyo Waziri zikamshoti nae kwa kumjibu kuwa hata kama yakipatikana kidogo basi ikiwa mafuta watajipaka na ikiwa gesi japo wanuse itakuwa imeshatosha....hapa nilipo sina mbavu na lugha ya huyo mheshimiwa...eti kama gesi ni kidogo watanusa na mafuta kama ni kidogo watajipaka!
Unapozema Zanzibar inakosa kujiamini hilo ni jambo la uhakika kabisa ila naamini kwa harakati za ukombozi dhidi ya Tanganyika zinavyokwenda ,siku haipo mbali watajiamini.Kwa hiyo mafisadi zanzibar hawapo au? Tusikwepe hoja ya msingi.Tatizo zanzibar inakosa kujiamini na hatimae inatoa kauli za kutaka kutaafuta huruma ya nguvu.
The way you potrayed your posting did not show the suggestive tone but the arrogant one and it should be you ignorance of the past history of Zanzibar or purpose rudeness to Zanzibaris.
Can you tell us when the mainlanders were ready to benefits their resources such as Golg, Tanzanite,Diamond and other minerals?
habari hii unayosema si kweli kabisa TIPPER kulikuwa na wataalamu wa kusafisha mafuta na sio kutafiti mafuta,
WATAALAMU WA KUTAFITI MAFUTA (PETROLEUM GEOLOGISTS NA GEOPHYSIST) WALIKUWA WANAPATIKA TPDC TU, NA MPAKA SASA UKIFIKA KWENYE MAHABARA YAO UTAKUTA SAMPLES ZOTE ZA MAFUTA YANAYOPATIKA TANZANIA KUANZIA MNAZI BAY MPAKA PEMBA , PANGANI
ZANZIBAR KUWA NA WATAALAMU WA NUCLEAR AU MAFUTA MI SIDHANI NI AJABU, KUNA WANZIBAR (WAPEMBA) KARIBU LAKI SITA WAPO NJE YA TANZANIA OMAN PEKEYAKE WAKO LAKI TATU
SASA UWEZI KUJUA HAO LAKI SITA WANAJIANDAAJE KUJA KUIONGOZA ZANZIBAR SIDHANI KAMA WAKIJA WATAKUWA NA SHIDA SANA YA ELIMU KWANI MIONGONI MWAO NI WASOMI WAKUBWA SANA INCLUDING HAO WA MAFUTA