Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
So Mkandara kulikuwa na equal distribution of income from Zanzibar na Tanzania Bara according to maneno ulioyasema. Sasa kwanini inaonekana kama zanzibar inabebwa? Na hata kama sasa haichangii kwani isiachiwe zanzibar ikaendelea na mambo yake Tanzania Bara ikawa imepunguza mzigo mmoja mkubwa?
Mkuu hapa unachanganya SIASA na UCHUMI.. mimi nimekujibu swala la uchumi..Pili, sio kweli zanzibar na Bara wali contribute sawa isipokuwa usawa wenyewe labda kama unazungumzia kufuatana na uuwiano. Pato la Zanzibar kwa mwaka lilikuwa halifikia hata robo ya pato la bara wakati wowote ule..Kwa hiyo pengine sina uhakika kama Zanzibar walipata 1bn na Bara 3bn kila mmoja wao alichangia asilimia 10 hilo pia sina hakika, wala sielewi mgao ulikuwa vipi wakati wa mwalimu tofauti na leo hii.

Maswala ya siasa mkuu wangu siyawezi kwa sababu Muungano wetu ulikuwa tofauti sana na miungano mingineyo hasa baada ya kubadilisha mfumo wa kwanza ambao tuliona Rais na makamu wake kuongoza nchi moja, leo hii tuna marais wawili wakati huo huo Zanzibar sio nchi wala Taifa sielewi kinachoendelea. Kwa hiyo nadhani ni vizuri sana tukielewa kwa undani hoja ya Hamad na Wazanzibar kwa sababu sielewi kwa nini swala la Muungano limekuwa zito sana kuzungumziwa hasa inapofikia Mamlaka na mgao!
 
Spending cut ni siasa au uchumi mkuu kwani duniani sasa hivi wanafanya nini? Kwani Tanzania Bara wasilifanye hilo kuondoa limzigo la Zanzibar wanalolibeba?
 
Kasome katiba ya Tanzania, halafu jiulize ni chama gani kinaruhusiwa kuwa na siasa za kuvunja muungano.Ukimaliza kusoma section hio ya usajili wa vyama vya siasa Tanzania, nataka urudi kunijibu suala langu ni vipi maneno ya Nyerere yanayosema :

"Wazanzibari hawajalazimishwa kuwa ndani ya muungano, wakisema hawataki basi muungano unavunjika.."Ni kwa njia gani chama cha siasa kisichotaka muungano kitapata usajili?.Sasa ulitaka hao wasaliti uliowataja hapo wataweza kujadili muungano?.

P:S
**Anyways, just a quick question to you guys.What exactly are guys getting from this Union?...Just out of curiosity!
 
Froasty said:
P:S
**Anyways, just a quick question to you guys.What exactly are guys getting from this Union?...Just out of curiosity!

Froasty,

..Tanganyikans are not getting anything frm this union. also we are not losing anything of significance frm the union.

..wa-Zenj mko milioni moja na kiduchu, wakati wa-Tanganyika tuko zaidi ya milioni 33. kwa kweli ni wachache sana wenye habari na muungano huu kwasababu haugusi wala kuathiri, kwa kiasi cha kutosha, maisha yao ya kila siku ya m-Tanganyika.

..the only time wa-Tanganyika felt uncomfortable na Muungano ni wakati wa utawala wa Mzee Ruksa, ambaye ktk awamu yake ya pili, alichomoa makucha yake ya u-Zenj na kuanza kuwapendelea watu wake waziwazi. hali hiyo ilipelekea wa-Tanganyika kudai serikali yao wenyewe.

NB:

..kama mnataka wa-Tanganyika waukatae Muungano labda muombe dua Dr.Gharib Bilal amrithi Kikwete nafasi ya Uraisi wa Muungano. huyu bwana najua ni mbaguzi na ana kiburi cha kuweza kuwatibua wa-Tanganyika kama ilivyotokea wakati wa Mzee Ruksa.
 
Ngugu watanganyika wakati Umefika sauti zenu zikasikikana katika kutowa waziri wa Mungano kutoka upande wenu,wakati umewadia wa kudai haki hiyo .
 
Hujaeleweka.

Naona ameeleweka, lakini ni ujinga kabisa, kuwa mzanzibar au mbara hakuna uhusiano na uwezo wa kuongoza wizara hiyo. Sioni ubaya wowote kama atakayeongoza waziri hiyo atatoka Zanzibar kila mwaka, au Kigoma au Dodoma forthat matter.
 
...Hata mimi sijaelewa maslahi ya waziri wa wizara hiyo kutoka bara au visiwani!...Tena ili kuepuka lawama za wazanzibari, ni muhimu akawa anatokea hukohuko, maana hao jamaa kwa lawama watakushinda tu!...huh!
 
Binafsi naona mantiki ya hoja yake, kwa kuwa wizara hiyo inashughulikia masuala ya muungano, na ipo chini ya makamu wa rais ambaye ni mzanzibar, ni vyema iwe na waziri wa bara ili kubalance.
 
Ngugu watanganyika wakati Umefika sauti zenu zikasikikana katika kutowa waziri wa Mungano kutoka upande wenu,wakati umewadia wa kudai haki hiyo .
Kwanza naona ungeanza na harakati za kuifanya Tanganyika itambulike kama nchi then ndio uje kwenye swala la waziri wa muungano.
Kumbuka Tanganyika haitambuliki kama inavyotambulika Zanzibar.
 
Kwanza naona ungeanza na harakati za kuifanya Tanganyika itambulike kama nchi then ndio uje kwenye swala la waziri wa muungano.
Kumbuka Tanganyika haitambuliki kama inavyotambulika Zanzibar.

Tanganyika inatambulika kupitia Ibara ya 34 (3) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 kama ifuatavyo:
"Mamlaka yote ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano juu ya mambo yote ya Muungano katika Jamhuri ya Muungano, na pia juu ya mambo mengineyo yote yahusuyo Tanzania Bara, yatakuwa mikononi mwa Rais wa Jamhuri ya Muungano."
Na Ibara ya 151 ya Katiba hiyo inasema kama ifuatavyo:
""Tanzania Bara" maana yake ni eneo lote la Jamhuri ya Muungnao ambalo zamani lilikuwa eneo la Jamhuri ya Tanganyika."
 
An extra-ordinary session of the Zanzibar House of Representatives starts here on Monday to amend the constitution that will pave way for the formation of Government of National Unity (GNU) after the October general elections.

The House Clerk, Mr Ibrahim Mzee said here over the weekend that Reps would discuss and approve a new clause in the constitution that stipulates; "Zanzibar is one of the two countries that form the United Republic of Tanzania.

He added that Section 1&2 of the Zanzibar Constitution, which has been identifying Zanzibar as "part of the United Republic of Tanzania," will be deleted. The GNU also aims to increase the number of women special seats from the current 30 per cent to 40 per cent.

In the proposed constitutional amendment, there is also a new clause that empowers Zanzibar President to divide Zanzibar into new regions, districts or any administrative areas, according to guidelines set by the House of Representatives.

Currently, only the Union President is vested with powers to divide any part of the Island in consultation with the Zanzibar President. It is also proposed that the position of "Chief Minister be deleted in section 33 of the Zanzibar Constitution and replaced by Second Vice- President who will be a leader of the government business in the House of Representatives and take over as a President in case the sitting President fails to continue with duties due to any reason including death."

The President, who will come from the winning party, will have to appoint two Vice- Presidents within seven days after taking oath of office. While the First Vice- President will not be required to be an elected member of the House, the second Vice- President must be an elected member of the House of Representatives from the wining party.

After 14 days in office, the President will be supposed to form a cabinet based on proportional representation in consultation with both Vice- Presidents (VPs). Under the new arrangement, the President remains with absolute powers in decision making in the government including appointment of Principal Secretaries "and both vice-presidents will be answerable to the President."

The GNU follows a long process that was made possible through a referendum held on July 31, this year, following political reconciliation which was initiated last November by President Amani Abeid Karume and the Civic United Front (CUF) Secretary General, Mr Seif Sharif Hamad, in efforts to bury political conflicts which emerges in every general election. The referendum was approved on 66.4 per cent mark in favour of GNU.

source: Daily News
 
Namshukuru Mizengo Kayanza Peter Pinda...ametoa tanbihi yake na leo Wazanzibari wanaifanyia kazi....nampongeza sana.
 
First and for most congrats to Zanzibar for putting national interests ahead of political alliances (Am I allowed to call Zanzibar a nation?). There are many things which a way over do in terms of the political system in our country and of course union matters. I hope this is a much needed step forward.

Mkuu Junius I have a question. From all the readings I have read so far the position of first-vp is merely just mentioned but with barely any explanation as to what role the first-vp will play. Will the new amendments justify the instating of the first-vp? What role will he/she play? Will it be a ceremonial position or will the first-vp merely do what the president throws his/her way?

The reason I ask is because I believe there is a reason that the duties of the first-vp have not been listed and it's not an accident it's that way. I know once a law is there even if put in your favor one day it could come back to haunt you. Lakini it seems that CCM is expecting to win and I'm assuming place Sharif Hamad as the first-vp(considering the fact that it says that unlike the second-vp, the first-vp doesn't have to be an elected representative). Now if Sharif is instated in that position I'm assuming they aim to make him powerless and that is why only one of the vp's has specific duties.

So mkuu do you know anything about the role this first-vp will play within the government?
 
...The House Clerk, Mr Ibrahim Mzee said here over the weekend that Reps would discuss and approve a new clause
"would discuss and approve" what's the point of the discussion? pinheads. can't wait for these cluckerfcuks to go away
 
The House Clerk, Mr Ibrahim Mzee said here over the weekend that Reps would discuss and approve a new clause in the constitution that stipulates; "Zanzibar is one of the two countries that form the United Republic of Tanzania.
Muungano on its last legs,I presume!
 
Mkuu MwanaFA1,
Kama umeisoma vizuri hiyo story, utakuta halikutajwa neno "nation" bali "country". Kuhusu majukumu ya makamo wa rais...inaonekana kama unahisi kuwa hiki cheo ni cha Maalim Seif, mimi nakwambia hapana...kwa kuwa mabadiliko ya katiba hii yana maisha marefu kuliko viongozi na vyama vyao.

Huo mswada ndiyo unategemewa kujadiliwa si mda mrefu kuanzia sasa, wawakilishi watajadili mapendekezo mbali mbali ya mswada huo pamoja na kazi za kila wadhifa uliotajwa...mpaka sasa hayo ni mapendekezo tu.

Ukisoma vizuri utakuta hata makamo wa pili wa rais anafanya kazi zile zile za waziri kiongozi tofauti itakuwa jina tu, huku makamo wa kwanza akiwa na kazi ya kumsaidia rais katika mambo ya utawala zaidi...nje ya baraza, na imeelezwa kuwa haitakuwa lazima awe mjumbe wa baraza.

Vile vile ametajwa kuwa, pamoja na makamo wa pili, ndiye atakayemshauri rais kufanya uteuzi wa baraza la mawaziri. Hata hivyo, hoja yako si ngeni kwa kuwa iliwahi kutolewa wakati Mh.Abuu akiwasilisha pendekezo la kuanzishwa GNU na yeye akasema hilo litawekwa sawa mda ukifika,yaani baada ya wananchi kukubali muundo wa GNU, na BLW kukutana kupitisha mabadiliko ya katiba, zaidi tuwe na subra kidogo mpaka hao wawakilishi watakapokubaliana namna ya kazi za itifaki hizo zikavyokuwa.
 
Back
Top Bottom