Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
taratibu kaka, na rwanda na burundi zilikuwa sehemu ya tanganyika basi pelekeni jeshi mkazichuke akina manyang'au.

zanzibat imeungana na Tanganyika zikiwa nchi mbili huru na moja ikiona hakuna faida ya muungano huo ana haki ya kujitoa.

uache upoyoyo huo

Hapa niko na wewe na kwakweli nawatetea wazanzibari kwa nguvu zote waondokane na utawala wa kibabe from Tanganyika
 
yaani I can't wait hawa jamaa kumeguka waondoke kwetu, kwasababu wanatuletea kiwingu. wanafaidi kwetu alafu wanajifanya wao ni maforena....wapemba wamejaa dar kuchuma mali kwaajili ya ndugu zao zenji, hivi tukiwa nchi mbili mtachumia wapi nyie? na wapemba hawa wataenda wapi? ardhi ya hapa mtaturudishia? kwasababu mtakuwa hamtakiwi kuimiliki hadi muwe wawekezaji. hivi tz inafaidi nini toka zenji?

Hivi Tanganyika au Tanzania Bara inafaidika nini kutoka kwa zanzibar (nakurekebisha kauli mzee) ila naomba na pia ujiulize Zanzibar inafaidika nini kutoka kwa Tanganyika au Tanzania Bara?
 
..Zanzibar is too small kuweza kuweza kuunda muungano unaoeleweka na Tanganyika.

..kama wa-Tanganyika tunapenda sana miungano basi tutafute "size zetu" kama Kenya,Uganda,Msumbiji etc.

..the way forward, ni kuanza na hizo serikali 3, huku tukivuta muda kuzitenganisha Tanganyika na Zanzibar.

..baada ya hapo tuwe na mahusiano ya kirafiki na kibiashara kupitia East African Community.
 
bravo !!!
 
Zanzibar ilikuwa ni sehemu ya Tanganyika (hataka kabla ya kuitwa hivyo) siku zote tangu wakati wa utawala wa sultani hadi ukoloni wa ulaya ulipoingia. Kilichotengansiha Zanzibar kutoka Tanganyika ni kwa sababu iliuzwa na wajerumani kwa waiengereza kusudi wao wapewe visiwa vya Heligoland. Kama ambayo tulivyopinga ukoloni ule ndiyo vile vile tunavyopinga kuuzwa kwa sehemu ya nchi yetu na kuitenga.

Muungano is here for ever!! Hakuna ninachopata huko Zanzibarna hata Tanganyika kwa vile mimi ninaishio nje ya nchi, lakini ile pride ya nchi yangu ndiyo inayonifanya nitetee muungano. Shallow minds za kutaka kuwa na tawala ndogo ndogo ili kila mtu apate madaraka ndizo zinazotusumbua wabongo. Utashangaa kuwa wakati wa mkoloni nchi ilikuwa na ma PC 12 tu lakini leo hii kuna ma-RC zaidi ya 30, wote wakitaka madaraka tu.

Hahahaha mkuu kasome historia vizuri na siyo kuja kutuandikia upuuzi hapa na kutupotezea muda wetu.....
 
wana JF, kwa wenye kujua na wenye uzoefu wa mambo ya muungano naomba tujadili nini hasa faida za muungano kwa pande zote mbili? manake naona zanzibar inafaidika na kusikilizwa zaidi, ona idadi ya wabunge wa znz wanaowakilisha huku bara katika bunge na wengine serikalini, mbona hakuna wabara wanaochaguliwa kwenda kuwakilisha bunge la huko znz au serikali? nawasilisha.
 
title haiendani na content!
 
mkuu labda umesahau, ila kimsingi taratibu za mabaraza yetu ya kutunga sheria hatuna baraza la bara hivyo kuwa makini unapoanzisha hizi mada so mjengoni is for tanzanian na si kwa wabara ama wavisiwani.
 
Kama unataka wabunge kaitafute TANGANYIKA ilipo utawakuta huko wamejaa na mitumbo yao ,inanenepeana tu inakuwacha wewe masikini ukiwatafuta .pole sana ,inaonyesha hata ujui unachokizungumza alimuradi na wewe umo !!!
 
Wazenj hamlali mnaiota Tanganyika kila siku!
 
wana JF, kwa wenye kujua na wenye uzoefu wa mambo ya muungano naomba tujadili nini hasa faida za muungano kwa pande zote mbili? manake naona zanzibar inafaidika na kusikilizwa zaidi, ona idadi ya wabunge wa znz wanaowakilisha huku bara katika bunge na wengine serikalini, mbona hakuna wabara wanaochaguliwa kwenda kuwakilisha bunge la huko znz au serikali? nawasilisha.

Hujakosea bwana watu wasikulaumu!Hii JF naona imekuwa ni jukwaa la watu kuponda tu bila hata kuanalyse mambo kwa kina!Hata Kama mada Hijaendana na title still kuna vitu vya msingi kwenye topic pia content vya kuweza ku discuss. Imekuwa kama ni jambo la Uhaini watu kuhoji status eidha ya Tanganyika au zanzibar kwenye Muungano.Hata mkataba ulionzaisha muungano ukihoji upo wapi utafungwa!Mimi naona kuna Masuala ya muhimu ya kujadili Muungano kwa ujumla si katika nia ya kutaka Kuvunja muungano bali katika nia ya kujaribu kujenga na kuweka mambo wazi kiasi kwamba Tusije tukakabidhi next Generation unstable union ambayo itafall after few yrs!Look how america united,or East& west German or united Kingdom!Tatizo letu ni wazembe wa kufikiri!Kama hatutaweza kutatua matatizo yanayokumba Muungano kwa sasa,tukuwa tunachezea Mustakabali wa Muungano wetu na jamii ambayo tumekuwa ndugu tangu miaka 1600 iliyopita!
 
Wazenj hamlali mnaiota Tanganyika kila siku!

Ni kweli! lakini Tanganyika inakuja usingizini kama jina mizi vile , linatukaba koo, lina tuziba pumzi.tupo mbioni kulitafutia dawa ya kudumu, si unaona?
 
Kwa namna moja ama nyingine ninawasiwasi na muungano huu. Hii ni kutokana na upande moja kuegemea upande mwingine kiuchumi na kisiasa.

Kwa upande wa bara ukiangalia hali halisi, inaonyesha population ya watu ni kubwa sana lakini wawakilishi ni wachache kulinganisha na zanzibar.

Mfano Bara kuna majimbo 189 = wabunge 189 @ 231216 kwa jumla ya watu 43,700,000 (takwimu ya UN 2009)

Zanzibar kuna majimbo 50 = wabunge 50 @ 20,000 kwa jumla ya watu 1,000,000

Kwa hali hii kama watanzania tukagundua kuwa wale wabunge nao wanalipwa kupitia kwenye kodi zetu, tutaomba wapunguzwe kutoka 50 mpaka watano. Na wakikataa, huo muungano ni lazima uvunjike hakuna ujanja.

Katika hili hata Dr. Slaa aliahidi kuwa angeshinda urais, lazima suala la muungano lingerudishwa mezani kujadiliwa.
 
kwa taarifa yako Zanzibar hakuna mtu anaelilia Muungano ,muulize Mkapa ,Mwinyi ,Lowasa na Kingunge kwanini sisi (Tanganyika) tunalazimisha huu Muungano?
 
Kwa namna moja ama nyingine ninawasiwasi na muungano huu. Hii ni kutokana na upande moja kuegemea upande mwingine kiuchumi na kisiasa.

Kwa upande wa bara ukiangalia hali halisi, inaonyesha population ya watu ni kubwa sana lakini wawakilishi ni wachache kulinganisha na zanzibar.

Mfano Bara kuna majimbo 189 = wabunge 189 @ 231216 kwa jumla ya watu 43,700,000 (takwimu ya UN 2009)

Zanzibar kuna majimbo 50 = wabunge 50 @ 20,000 kwa jumla ya watu 1,000,000

Kwa hali hii kama watanzania tukagundua kuwa wale wabunge nao wanalipwa kupitia kwenye kodi zetu, tutaomba wapunguzwe kutoka 50 mpaka watano. Na wakikataa, huo muungano ni lazima uvunjike hakuna ujanja.

Katika hili hata Dr. Slaa aliahidi kuwa angeshinda urais, lazima suala la muungano lingerudishwa mezani kujadiliwa.

Sio Slaa tu hata Maalim Seif alisema hivo hivo kuwa akishinda huu Muungano lazima upitiwe tena (review) coz Muungano huu hauna maslahi na Zanzibar.
 
Kwa namna moja ama nyingine ninawasiwasi na muungano huu. Hii ni kutokana na upande moja kuegemea upande mwingine kiuchumi na kisiasa.

Kwa upande wa bara ukiangalia hali halisi, inaonyesha population ya watu ni kubwa sana lakini wawakilishi ni wachache kulinganisha na zanzibar.

Mfano Bara kuna majimbo 189 = wabunge 189 @ 231216 kwa jumla ya watu 43,700,000 (takwimu ya UN 2009)

Zanzibar kuna majimbo 50 = wabunge 50 @ 20,000 kwa jumla ya watu 1,000,000

Kwa hali hii kama watanzania tukagundua kuwa wale wabunge nao wanalipwa kupitia kwenye kodi zetu, tutaomba wapunguzwe kutoka 50 mpaka watano. Na wakikataa, huo muungano ni lazima uvunjike hakuna ujanja.

Katika hili hata Dr. Slaa aliahidi kuwa angeshinda urais, lazima suala la muungano lingerudishwa mezani kujadiliwa.

Kama kweli uko concerned na tofauti zilizopo basi pia ungeangalia idadi ya wanaofaidi zile wizara zinazoitwa za Muungano! Hilo ni kwa kuanzia tu!
 
Back
Top Bottom