Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Hiyo Tanzania ambayo Zanzibar iliungana nayo kisha wazanzibar hawaitaki leo ipo bara gani.

Zanzibar + Tanzania = ??
 
Habari wana jamvi, Ni swali ambalo siku nyingi nimekuwa nikijiuliza. Kama watanzania tutaambiwa tupige kura juu ya huu muungano wetu nini kitatokea? Nauliza swali hili kwa sababu mijadala ya muungano naisikia zaidi kwa wanasiasa tu, sijui kiundani wananchi wa kawaida wana mtazamo gani. Na kama hiyo kura itapigwa ni wazanzibar ndio watakaouunga mkono muungano au ni Watanganyika? Tuna mtazamo gani juu ya hili?
 
Sasa wanasubiri nini? si waji''benghazi'' basi?
 
Muungano hauna manufaa kwa mtanganyika, upo kiusalama zaidi.
 
Tunautaka muungano lakini wa fair kabisa,sio tuungane ikisha mmoja avunje utaifa wake,na badala yake kuvaa koti la muungano,sisi wazanzibari tunataka serikali tatu au tuuvunje muungano,ikiwa tutakubaliana serikali tatu serikali ya muungano iwe kama shirikisho tu,uwe muungano wakibiashara sio wa kupotezeana utaifa. am so proud ni mzanzibari jee wewe ?
 
Muungano hauna manufaa kwa mtanganyika, upo kiusalama zaidi.

Nini maana ya Faida? unafikiri faida ni mapesa tu? Hakuna anaepoteza nguvu kwa jambo lisilo na faida labda awe mlevi! Sitaki kuamini kuwa ni walevi!
 
Tunautaka muungano lakini wa fair kabisa,sio tuungane ikisha mmoja avunje utaifa wake,na badala yake kuvaa koti la muungano,sisi wazanzibari tunataka serikali tatu au tuuvunje muungano,ikiwa tutakubaliana serikali tatu serikali ya muungano iwe kama shirikisho tu,uwe muungano wakibiashara sio wa kupotezeana utaifa. am so proud ni mzanzibari jee wewe ?
Watanganyika ndio tumepoteza taifa letu,kisa wazee wenu walikuwa hawataki wamanga wawarudie!...nyie hamtupi faida yoyote na kama mnataka kuanza anzeni msitupotezee usingizi!
 
Watanganyika ndio tumepoteza taifa letu,kisa wazee wenu walikuwa hawataki wamanga wawarudie!...nyie hamtupi faida yoyote na kama mnataka kuanza anzeni msitupotezee usingizi!
Mmebadilisha jina tu kutoka Tanganyika na kuwa Tanzania na ndio maana hamkuwa tayari kuitwa Zantania.
 
Mmebadilisha jina tu kutoka Tanganyika na kuwa Tanzania na ndio maana hamkuwa tayari kuitwa Zantania.

Nyie si ndiyo bibi, mwali wa kimanga weupe laini laini mmeolewa na bwana, dume jeusi la mbegu Tanganyika. Hata mnavyoongea lafudhi yenu utadhani wote mashoga. Kwa hiyo mna bahati imetokea kuitwa Tanzania, ilikuwa iitwe Tanganyika Visiwani.
 
Mkuu.

Inawezekana umekurupuka katika kichwa cha habari ulichoandika.
Tanzania inatokana na muunganisho wa majina mawili Tan(nganyika) na Zan(zibar) plus usanii--ia. Likaibuka Tan-Zan-ia...Tanzania.
Kwa hiyo Muungano ulikuwa baina ya Tanganyika na Zanzibar tena kwa mambo kumi na moja yaliyoitwa Mambo ya Muungano.

Pili viongozi wa Zanzibar hawaonekani kuwa hawautaki Muungano. Kauli zao ziko kwenye kuukosoa Muungano kuwa una kasoro nyingi.
Wananchi wa Zanzibar inawezekana wengi pia wanaupigia kelele Muungano wakitaka kasoro za Muungano zirekebishwe.

Hata ukisoma kijarida katika kiungo hiki utaona wananchi na viongozi wa Zanzibar hakuna sehemu wanaposema hawautaki Muungano.
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/100638-shirikisho-ndani-ya-shirikisho.html

Lakini nisingependa kukupinga hoja uliyoiweka .Ni vizuri utujulishe hiyo Asilimia 90 imepatikana vipi? Nani alifanya utafiti na kukusanya takwimu hizo?
 
Wakuu.
Hakuna haja na wala haileti tija yoyote pale tunapotumia kejeli au matusi katika mijadala.

Inawezekana suala la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar linaibua hisia kali miongoni mwetu lakini hoja ndizo zitakazofanya mjadala kuwa wa maana.

Tunaweza kuuchambua ndani nje bila jazba na kuona uzuri wa Muungano,kasoro zake na kero zake pia tunaweza kupendekeza namna ya kuziondoa.

Muungano au jumuiya ziko nyingi duniani na ni dalili ya nguvu...kwa hiyo lamsingi sisi kama wananchi ni kusimamia Muungano uwe wa haki na usawa ili ulete manufaa kwa pande zote mbili za Muungano.
Punguzeni jazba wakuu..musitoke nje ya mada.
 
Muungano hauna manufaa kwa mtanganyika, upo kiusalama zaidi.

Samahani kaka Mpevu, nakukubali sana kwa kuwa nakuchukulia kama ndugu yangu, si unaona hata majina yetu yanafanana eh? Kwenye huu muungano Wazanzibar ndo wanufaikaji ingawa wanajifanya kunyea kiganja. Hebu fikiria population ya watu milioni 1 ilipe rais wao executively, baraza lote la mawaziri, wawakilishi, maseneta(kama watakuwepo), tena kwa uchumi wa karafuu(nahisi ishaporomoka bei) Kuhusu suala la usalama LA HASHA! Kama imefika kipindi usalama wa ndani umetushinda ndo tutaweza huo wa nje? Halafu tujiulize nchi zilizo karibu na visiwa zinasurvive vipi. Mf. India na Malaysia, Australia na Papua New Guinea, Ugiriki na Malta, Italia na Cyprus n.k. Sitaki Muungano wa style tuliyonayo!
 
Wakuu.
Hakuna haja na wala haileti tija yoyote pale tunapotumia kejeli au matusi katika mijadala.

Inawezekana suala la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar linaibua hisia kali miongoni mwetu lakini hoja ndizo zitakazofanya mjadala kuwa wa maana.

Tunaweza kuuchambua ndani nje bila jazba na kuona uzuri wa Muungano,kasoro zake na kero zake pia tunaweza kupendekeza namna ya kuziondoa.

Muungano au jumuiya ziko nyingi duniani na ni dalili ya nguvu...kwa hiyo lamsingi sisi kama wananchi ni kusimamia Muungano uwe wa haki na usawa ili ulete manufaa kwa pande zote mbili za Muungano.
Punguzeni jazba wakuu..musitoke nje ya mada.
Why are we kissing their a**es?..They aint got nothing,the basic pillar of any union is the political will!...we never asked them in 1964,they did!
 
Why are we kissing their a**es?..They aint got nothing,the basic pillar of any union is the political will!...we never asked them in 1964,they did!
Mkuu.
Nimemwaga maji juu ya mgongo wa bata?
Kama kejeli na matusi ndio hoja... basi endelea mkuu....

Ukumbuke sisi pia tunakataa kuungana na Kenya kwa hofu ya kuwa watatutawala...watatuzidi ujanja na shirikisho la kisiasa linakuja. Kama changa moto hii inatushinda sijui itakuwaje tukifika huko.

Hebu pata muda upitie hako kajarida ...shirikisho ndani ya shirikisho...link ipo post #12.
 
Ukweli utabaki wazi na hakuna haja ya kuupindisha. Zanzibar mwaka 1964 ndo iliomba kuungana na Tanganyika. Hakuna Mtanganyika laiyewahi kuwaza au kufikiria kuungana na Zanzibar kwa hiyo ni hiari ya Zanzibar kujitoa. Suala la kubadili muundo wa Muungano nalo ni tete lisilokubalika kwa Watanganyika wengi kwani lina maslahi ya Zanzibar pekee. Nani atabeba gharama za serikali ya Muungano na kwa faida ya nani? Mapato ya serikali ya Zanzbar ni bilioni 50 kwa mwaka wakati mapato ya Tanganyika ni bilioni 200 kwa mwezi. Sasa nani atabeba gharama za serikali ya tatu na kwa manufaa ya nani????
Nadhani Zanzibar wana uhuru wa kutembea mbele kwa mbele kwani hatuna kitu tunategemea toka kwao. Tanganyika tunaweza kuendeleza beach zetu vizuri sana na kuvutia watalii katika maeneo ya Kigamboni n.k .... well, Zanzibar wataona utalii utakavyoporomoka kwao !!
 
Back
Top Bottom