abdulahsaf
JF-Expert Member
- Aug 31, 2010
- 858
- 130
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Tanzania maandamano hayana maana yoyote, yangewasaidia CHADEMA na CUF (hapo nyuma) Wazanzibari wanatumia njia za kisharia.can they dare reject? basi nawandamane!
Muungano hauna manufaa kwa mtanganyika, upo kiusalama zaidi.
Watanganyika ndio tumepoteza taifa letu,kisa wazee wenu walikuwa hawataki wamanga wawarudie!...nyie hamtupi faida yoyote na kama mnataka kuanza anzeni msitupotezee usingizi!Tunautaka muungano lakini wa fair kabisa,sio tuungane ikisha mmoja avunje utaifa wake,na badala yake kuvaa koti la muungano,sisi wazanzibari tunataka serikali tatu au tuuvunje muungano,ikiwa tutakubaliana serikali tatu serikali ya muungano iwe kama shirikisho tu,uwe muungano wakibiashara sio wa kupotezeana utaifa. am so proud ni mzanzibari jee wewe ?
Mmebadilisha jina tu kutoka Tanganyika na kuwa Tanzania na ndio maana hamkuwa tayari kuitwa Zantania.Watanganyika ndio tumepoteza taifa letu,kisa wazee wenu walikuwa hawataki wamanga wawarudie!...nyie hamtupi faida yoyote na kama mnataka kuanza anzeni msitupotezee usingizi!
Mmebadilisha jina tu kutoka Tanganyika na kuwa Tanzania na ndio maana hamkuwa tayari kuitwa Zantania.
Mkuu.
Muungano hauna manufaa kwa mtanganyika, upo kiusalama zaidi.
Why are we kissing their a**es?..They aint got nothing,the basic pillar of any union is the political will!...we never asked them in 1964,they did!Wakuu.
Hakuna haja na wala haileti tija yoyote pale tunapotumia kejeli au matusi katika mijadala.
Inawezekana suala la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar linaibua hisia kali miongoni mwetu lakini hoja ndizo zitakazofanya mjadala kuwa wa maana.
Tunaweza kuuchambua ndani nje bila jazba na kuona uzuri wa Muungano,kasoro zake na kero zake pia tunaweza kupendekeza namna ya kuziondoa.
Muungano au jumuiya ziko nyingi duniani na ni dalili ya nguvu...kwa hiyo lamsingi sisi kama wananchi ni kusimamia Muungano uwe wa haki na usawa ili ulete manufaa kwa pande zote mbili za Muungano.
Punguzeni jazba wakuu..musitoke nje ya mada.
Mkuu.Why are we kissing their a**es?..They aint got nothing,the basic pillar of any union is the political will!...we never asked them in 1964,they did!