Asante kushukuru
 
Asante mkuu mafisadi yameimuza nchi miaka na miaka ila yameona haitoshi yakaona yauze nchi kwa waarabu
Tokea uhuru mbona bado tuko nyuma ufisadi tu umetawala pamoja na kuwa na rasilimali kibao ? sasa bora hawa mafisadi wapya tuwape nafasi tuone watatufikisha wapi.
 
Tokea uhuru mbona bado tuko nyuma ufisadi tu umetawala pamoja na kuwa na rasilimali kibao ? sasa bora hawa mafisadi wapya tuwape nafasi tuone watatufikisha wapi.
Hatuwezi kuifanyia majaribio nchi yetu huu ni ubeberu na ukoloni mambo leo kwa lugha nyepesi utapeli. Tapeli anakupanga hadi wewe mwenye unapendekeza upele mzigo lini tena chapu kwa haraka
 
Je, utavunjaje kitu ambacho hakipo???
 
Wazenji huwa hawajiamini ni hadi wamuweke mtu mweupe mweupe mbele, wameedhirika na historia ya utumwa.

Mfano mwarabu hakai foleni zenji.
Kwenye kikao atatafutwa mwarabu japo teja akae meza ya mbele hata kama hajui aseme nini.
Kazi yoyote hawajiamini hadi wafanyiwe na mweupe (mwarabu au muhindi).

Wazenji hawajui kuiba, hubeba vyote mchana peupeee😂😂😂
 

Una akili kwel wewe?
 
Nijuavyo mimi, bara kuna waislam wengi mara zaidi ya 50 kuliko visiwani. lakini kila likiibuka jambo lolote kuquestion mambo ya kimuungano, kama hili la bandari, wanzanzibar huwa midomo juu wanasema tunaleta udini, udini unakujaje wakati bara kuna waislam kuliko visiwani? Au huwa mnamaanisha nini, kama kuna mzanzibar atufafanulie, au tusiulize chochote,

On the other side, Wazanzibar miaka yote wapo huru kujadili kuhusu Zanzibar yao na kuongea chochote dhidi ya muungano, ila wabara hatujawahi kusema ni udini, ili hali tunajua madhira wanayopitia wakristo waishio Zanzibar.
 
Nadhani hutumia maneno hayo kama kisingizio cha kushindwa kutoa hoja
 
Tanzania nani atakutetea, nani atakulinda, muungano uko hatari je nani asimame akutetee?

Umejaa misikiti na makanisa Kila uchochoro wako, wanaokukalia hujisema wazi kuwa ni wazalendo, waaminifu na wanyenyekevu kwako, lakini hawajali ugonjwa wa Kansa(rushwa, ufisadi, na uizi wa Kodi za watanzania, wachache kuifaidi nnchi) unaokutafuna, ila wanadai wanakupenda.
 
Udini unatumiwa kwa ustadi na wanasiasa wababaishaji ili kuua nguvu za hoja, pale zinapoibuliwa. Lakini ni mchezo wa kitoto. Sio kila mtu ananufaika nao.
Wapo watu wachache sana wanaoucheza mchezo huo kama vile ndio karata yao ya kuendelea na maisha, hasa ya kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…