imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kweni tunamjadili Samia au muungano? umepagawa bro.Raisi Samia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweni tunamjadili Samia au muungano? umepagawa bro.Raisi Samia
Leo chief mangungo wa pemba yupo mwanza anasikiliza ngomaNyerere aliondoa Uchifu Hangaya anarudisha Uchifu acheni kuchezea akili za watu.
Nyerere alisema Uchifu utatugawa na utaleta Ukabila acheni hizo scare tactics dhidi ya Wananchi wenu.
Kenya siyo mbali utavuka kwa miguu tu!Nyerere aliondoa Uchifu Hangaya anarudisha Uchifu acheni kuchezea akili za watu.
Nyerere alisema Uchifu utatugawa na utaleta Ukabila acheni hizo scare tactics dhidi ya Wananchi wenu.
Taja kabila lako tuanze hapa hapaUnavunjika lini ?
Uhalali wa Samia kuwa Raisi unatoka kwenye Muungano. Hivyo kutaka kuujadili muungano halafu ukamkwepa Samia ni tabia ambayo mwandishi Ayi Kwei Armaha anaiita ya Chichi Dodo, kupenda wadudu wala mavi (Maggots) halafu mavi anayachukia. Ukipenda boga penda na ua lake..Kweni tunamjadili Samia au muungano?
Mimi ni Mhaya wa Kagera, ulitaka kusemaje ?Taja kabila lako tuanze hapa hapa
Tanganyika hatuna huo ujinga wa ukabila, ndio maana muhaya anaoa na kuolewa na msukuma , mngoni , n. k, .labda watu wa visiwani ndo Wana huo ujinga. Muungano huu Kama ni mzigo kwa watanganyika hauna umuuhimu Tena Wala Radha tena.kama sisi ni nchi moja iweje Mtanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar !? Kama sisi ni nchi moja iweje Mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar !!??Natoa tu angalizo
Maana naona Mjadala wa Tanganyika unashika kasi kana kwamba ni Jambo jema kumbe ndio kuharibu zaidi
Muungano ukivunjika na Bandari huna ndio itakuwa nini!!!
Kuweni wenye kutafakari!
cc: Daudi Mchambuzi- Machame
Tumekuwa tukiujadili muungano hata kabla ya Samia kuwa Raisi wewe ulikuwa wapi? Kama unataka kumjadili Samia anzisha nyuzi yako grow up.Uhalali wa Samia kuwa Raisi unatoka kwenye Muungano. Hivyo kutaka kuujadili muungano halafu ukamkwepa Samia ni tabia ambayo mwandishi Ayi Kwei Armaha anaiita ya Chichi Dodo, kupenda wadudu wala mavi (Maggots) halafu mavi anayachukia. Ukipenda boga penda na ua lake..
Kitanuka very soonMaana naona Mjadala wa Tanganyika unashika kasi kana kwamba ni Jambo jema kumbe ndio kuharibu zaidi
Muungano ukivunjika na Bandari huna ndio itakuwa nini!!!
Tena maskini kama nyie ndio mtakuwa wa kwanza kulalamika kuonewa kama mnavyofanya Sasa Kila mkitajwa kuongoza Kwa umaskini Tanzania 😆😆😆😆😆Mimi ni Mhaya wa Kagera, ulitaka kusemaje ?
Hatuwezi kuwaachia watu wasiokuwa Watanganyika waingie mikataba mibovu kwa ajili yetu. Je muungano sio kitu kinachoweza kuvunjika muda wowote na tukabaki na mikataba hovyo iliyosainiwa na wageni? Mbowe yupo sahihi sana!Natoa tu angalizo
Maana naona Mjadala wa Tanganyika unashika kasi kana kwamba ni Jambo jema kumbe ndio kuharibu zaidi
Muungano ukivunjika na Bandari huna ndio itakuwa nini!!!
Kuweni wenye kutafakari!
cc: Daudi Mchambuzi- Machame
Kenya hawana Muungano lakini si hao mpaka wanatuzidi, miungano mingi ya kibabe imevunjikia mbali.Kenya siyo mbali utavuka kwa miguu tu!
Wewe huna akili kabisa, hata Raisi angekuwa baba yako ni lazima angejadiliwa tu pale linapokuja suala la muungano. Hivyo Raisi Samia atajadiliwa tu, atake au asitake. Vipengele muhimu katika muungano ni hivi vifuatavyo: Aina ya Muungano, Madaraka ya Raisi na jinsi pande zote mbili za muungano zitatoa wagombea, Mgawanyo wa Rasilimali, Uraia, Ulinzi na Usalama.Tumekuwa tukiujadili muungano hata kabla ya Samia kuwa Raisi wewe ulikuwa wapi? Kama unataka kumjadili Samia anzisha nyuzi yako grow up.
Acha mijadala ya Kisichana.
Okay,!Tena maskini kama nyie ndio mtakuwa wa kwanza kulalamika kuonewa kama mnavyofanya Sasa Kila mkitajwa kuongoza Kwa umaskini Tanzania 😆😆😆😆😆
Ni kweli kabisa. Tukianza kubaguana hatutakaa tuache mpaka nchi isambaratike kabisa.
Lakini kuna maamuzi viongozi wanafanya inapelekea watu kutoa maneno makali sana.
Hili la bandari linashangaza sana, kwenye mambo mengine ya maendeleo tunakumbushana kushirikiana na wenzetu wa visiwani. Ila la Dp World (ambalo tumeambiwa lina manufaa makubwa) hatuwashirikishi. Watu wanafikia conclusion gani? Utawalaumu?
Hawa viongozi wajitafakari sana, nchi ikisambaratika sijui watajiongoza wenyewe?
Maamuzi yenyewe ndio haya sasa ya bandari, kuna uongozi hapo?Ndio maana kuna viongozi kwa ajili ya kufanya maamuzi kwa maslahi yetu.xx kila kitu wakishirikisha huo mshahara na uongozi wao unafaida gani.