Nijuavyo mimi, bara kuna waislam wengi mara zaidi ya 50 kuliko visiwani. lakini kila likiibuka jambo lolote kuquestion mambo ya kimuungano, kama hili la bandari, wanzanzibar huwa midomo juu wanasema tunaleta udini, udini unakujaje wakati bara kuna waislam kuliko visiwani? Au huwa mnamaanisha nini, kama kuna mzanzibar atufafanulie, au tusiulize chochote,
On the other side, Wazanzibar miaka yote wapo huru kujadili kuhusu Zanzibar yao na kuongea chochote dhidi ya muungano, ila wabara hatujawahi kusema ni udini, ili hali tunajua madhira wanayopitia wakristo waishio Zanzibar.