Mdanganyeni tu!

Ndani ya CCM hakuna utaratibu wa kidemokrasia wa kumuwajibisha Mwenyekiti taifa hata akiboronga kama ilivyo kwa ANC ya SA.

Unadhani asipokubaliana na wengi watafanyaje? Usinipe jibu!
Bunge la CCM wamekubaliana hakuna wa kupinga
 
shida ni elimu, kichwani kwako kumejaa dini tena isiyo na msaada kwako. kinachobishaniwa hapa sio mwarabu wala dubai, ni vipengele kwenye mkataba. shida yenu mkiona mwarabu hata kama anawakanyaga usoni huwa mnaona poa tu kwasababu ndio malaika wenu.
 
anajua muungano ukivunjika, mtawachinja ndugu zetu huko visiwani.
 
shida ni elimu, kichwani kwako kumejaa dini tena isiyo na msaada kwako. kinachobishaniwa hapa sio mwarabu wala dubai, ni vipengele kwenye mkataba. shida yenu mkiona mwarabu hata kama anawakanyaga usoni huwa mnaona poa tu kwasababu ndio malaika wenu.
Zero brain unaongea nin?

We dogo bado kama mwanafunzi wangu,jitahidi hata kuandika sijui umeruka shule ya msingi🤣🤣.

Ndo maana unakubali kuolewa kisa mzungu kasema ngoja uolewe kwanza ndo utajua .
 
Zero brain unaongea nin?

We dogo bado kama mwanafunzi wangu,jitahidi hata kuandika sijui umeruka shule ya msingi🤣🤣.

Ndo maana unakubali kuolewa kisa mzungu kasema ngoja uolewe kwanza ndo utajua .
ongea hoja basi ili uonyeshe kwamba una ubongo walau kidogo.
 
Tumebaki na muungano wa kinafiki tu huku tukiendelea kuumizana, kulaumiana na kulalama na kero zisizoisha!
 
unaongea kama hujawahi kufika Tanganyika dada. maisha ya bara ni mazuri mbali sana kuliko ya visiwani. kama hujawahi kuvuka maji njoo. sisi tunawakaribisha, hatuna roho mbaya.

Ni kweli maisha ni mazuri sana kwani vijana wanasoma shule hizi


 
katika vitu ccm mnasubiliwa africa nzima na sisi wabeti kamali mkeka unaweza kuwa umeshatiki.
hisani ya chama ilianza kuvurigika 2014 na kila mfanyako mkachagua kwa nguvu sababu mtaki kujua mbele.
ccm nawaita wazawa sawa kuishi kwa wazawa ni wapinga maendeleo.
mkajiokotea weee na sifa zenu za muungano kuboresha ila kumbukeni kipindi cha jakaya kulikuwa na vuguvugu mpaka kulazimisha kisa tu kuboresha siri yenu.

bado ijatosha ni katiba mkachezesha draft mkijiona maprosooo wa nchi.

2025 hata mjitanye kuruka nchi zote mpokee wasudani kule na kila michezo na kila jambo.
nacho wasitikia mtamaliza watu ,mtatumia kila kufanya ila watanzania wameawachoka.

mnatumia kukaribisha wageni ili wazawa wasifanye kwa nguvu zote.
2025.
kama mlijua bandari itakuja kupeleka nyenzo na kurudi basi ni hatari.
 
Kama kwa miaka miwili tu aliyorithi madaraka amweza kufanya madudu kama haya.

Akipata miaka mingine mitano itakuwaje? Wana CCM mfanye mabadiliko mwaka 2025 muweke mtu ambaye atakuwa na uchungu na Tanganyika.

Sakata la Loliondo kwa Waarabu, sakata la bandari kwa Waarabu.
 
Uko sahihi! Huyu akpata miaka mimgine tutabaki bila Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…