GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,013
Zama zake zimepita...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zama zake zimepita...
Bunge la CCM wamekubaliana hakuna wa kupingaMdanganyeni tu!
Ndani ya CCM hakuna utaratibu wa kidemokrasia wa kumuwajibisha Mwenyekiti taifa hata akiboronga kama ilivyo kwa ANC ya SA.
Unadhani asipokubaliana na wengi watafanyaje? Usinipe jibu!
unaongea kama hujawahi kufika Tanganyika dada. maisha ya bara ni mazuri mbali sana kuliko ya visiwani. kama hujawahi kuvuka maji njoo. sisi tunawakaribisha, hatuna roho mbaya.
shida ni elimu, kichwani kwako kumejaa dini tena isiyo na msaada kwako. kinachobishaniwa hapa sio mwarabu wala dubai, ni vipengele kwenye mkataba. shida yenu mkiona mwarabu hata kama anawakanyaga usoni huwa mnaona poa tu kwasababu ndio malaika wenu.Swala la bandari kuja kuwekeza muarabu ndo mnasambaza meseji za udini mpka viongozi wenu wa dini wanakuja juu huoni kama sio chuki za wazi.
Nan asiyejua Zanzibar ni sehemu ya dini fulani ? lini mlienda kule kurefresh mkafukuzwa ?
Hata kama kusemwa kupo ila sio kumuandama mpendwa Rais wetu kwa maneno yenu ya kishamba , kumbuka swala limeanza tangu kweny teuzi zake .
Ndo mnasambaza ujumbe kweny magroup ya wakristo kwamba wote wagomee huo mkataba waungane eti nchi inaenda kuwa ya kiislamu ,hata yale masomo ya dini mlikuwa mnsambaza ule ujumbe kwamba eti dini ya kiislamu yatafundishwa kwa wote ...Wengi ni vichwa maji mna hoja dhaifu sana hazina mashiko kama wajinga yaani.
Jaalia ungekuwa wewe hizo nyuzi humu za kumsema Rais ungejisikiaje ? then unaandika maneno kirahisi tu kwamba eti wanaona udini.
Zanzibar ingekuwa mbali kama isingeungana na Tanganyika kaaa au ukubali ndo hivyo ,ingekuwa kamq Dubai.
anajua muungano ukivunjika, mtawachinja ndugu zetu huko visiwani.Pengo anawaambia wakristo kuwa mumepewa jukumu na mungu la kuulinda muungano
Labda utupe hiyo aya inayosema hivyo
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka waamini na wananchi kwa ujumla kutambua kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si jambo la bahati nasibu.
Kardinali Pengo ameyasema hayo ofisini kwake hivi karibuni alipoitisha vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki kuzungumzia pamoja na mambo mengine ongezeko la Parokia mpya jimboni kwake pamoja na mabadiliko kwa Maparoko na Maparoko Wasaidizi katika baadhi ya Parokia jimboni humo.
Asemema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.
Zero brain unaongea nin?shida ni elimu, kichwani kwako kumejaa dini tena isiyo na msaada kwako. kinachobishaniwa hapa sio mwarabu wala dubai, ni vipengele kwenye mkataba. shida yenu mkiona mwarabu hata kama anawakanyaga usoni huwa mnaona poa tu kwasababu ndio malaika wenu.
ongea hoja basi ili uonyeshe kwamba una ubongo walau kidogo.Zero brain unaongea nin?
We dogo bado kama mwanafunzi wangu,jitahidi hata kuandika sijui umeruka shule ya msingi🤣🤣.
Ndo maana unakubali kuolewa kisa mzungu kasema ngoja uolewe kwanza ndo utajua .
Anza na herufi kubwa chizi ..!!ongea hoja basi ili uonyeshe kwamba una ubongo walau kidogo.
Ndivyo alivyokuambia?anajua muungano ukivunjika, mtawachinja ndugu zetu huko visiwani.
hadi hapo hujaongea hoja, ulichoongea ni herufi kubwa. kajadili na wenzio waliojaa kamasi kichwani huko.Anza na herufi kubwa chizi ..!!
Elimu yako ndogo siwezi kubishana rudi ukasome madarasa ya awali.
Anza na herufi kubwa hata kusoma hujui..!hadi hapo hujaongea hoja, ulichoongea ni herufi kubwa. kajadili na wenzio waliojaa kamasi kichwani huko.
Tumebaki na muungano wa kinafiki tu huku tukiendelea kuumizana, kulaumiana na kulalama na kero zisizoisha!Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha.
Kitu kinachonitisha ni kwamba yale mambo waliowaamulia wananchi yatapelekwa bungeni october kwa ajili ya "constitutional reforms".
Kwa upande wangu sikubaliana na ufumbuzi waliofikia kwa 100%
Check this out:
1) mineral and oil exploration be co-opted into the national debate on the future of the political federation.
-debate is good but mineral and oil exploration should not be political.
2)Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) should have an equal number of representatives from either side.
-Equal number kwa vigezo gani? Idadi ya watu? Tuelezene mlivyokuja na hiyo soultion equal number of people.
3)consultant on the distribution of wealth generated through mining and oil extraction be hired to advise the Union government on how it can be shared equitably.
-Please kama ni hivyo na huo muungano hatuutaki. For what?
4)It was decided that 50 per cent of the income would be used to finance the operations of the authority and the other 50 per cent be distributed on the basis of 60 per cent for the Mainland and 40 per cent for Zanzibar.
-Hivi hizo hesabu mnafanyaje? How did you come up with 60%, ardhi, watu,?????
Najua watanzania hawataki kuongelea muungano wakiogopa mizimu ya Mwalimu. Kwa upande wangu kuna mambo mawili tu hapa ambayo yanaweza kuleta ufumbuzi wa kudumu kwanza kuuvunja muungana na Zanzibar ikawa nchi kama ilivyo Kenya na tutaendelea kushirikian nao kama tunavyoshirikiana na Kenya, au Zanzibar uwe mkoa. zanzibar kuna watu wasiozidi 3 mil wakati mkoa wa Dar tu una watu 4 mil. Hapo utajiuliza ni kivitu tugawane nusu kwa nusu?
Kama watu hamtaki kuongela hili sual basi mwezi October linaingia kwenye katiba.
Mkataba wa makubaliano ya kuanzisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukisainiwa mwaka 1964.
Mkataba wenyewe (uliosainiwa) umeambatanishwa kama attachment.
unaongea kama hujawahi kufika Tanganyika dada. maisha ya bara ni mazuri mbali sana kuliko ya visiwani. kama hujawahi kuvuka maji njoo. sisi tunawakaribisha, hatuna roho mbaya.
Uko sahihi! Huyu akpata miaka mimgine tutabaki bila TanganyikaKama kwa miaka miwili tu aliyorithi madaraka amweza kufanya madudu kama haya.
Akipata miaka mingine mitano itakuwaje? WanaCCM mufanye mabadiliko mwaka 2025 muweke mtu ambaye atakuwa na uchungu na Tanganyika.
Sakata la Loliondo kwa waarabu, sakata la bandari kwa waarabu....