Mkuu hakuna ubishani hapa, ukiona ni ubishani jitafakari.Mbona tunabishana madesa ya shule ya Msingi hapa?
Soma mambo 22 ya Muungano hapo, Masuala ya Viwanda na Nishati yapo kwenye Muungano, hivyo ni Serikali ya Tanzania iliokua inasimamia sio Zanzibar.
Hivi JF siku hizi imekuwa cheap kiasi cha kukubali hii kitu kuwemo humu!?Niliwai kuishi zanzibari miaka mingi iliyopita niseme wazi nilichukia utendaji wa baadhi ya polisi pale WETE.
Nilichukia Kwa sababu binafsi sipendezwi na vitendo vya ushoga kabisa kabisa sasa ulikuwa hivi.
Nikiwa nyumbani kwangu nilikopanga, niliskia miguno ya wafanya mapenzi, muda wa saaa sita za usiku nikaona sio busara kuto chungulia nilichungulia na kubaini aliyekuwa akitoa miguno ni kidume kabisaaa!
Nikaenda kituoni kutoa taarifa
Mimi;, afande mm naitwa sifi Leo natokea wete Kwa mjumbe ngamia,pale niishipo kuna MTU afanyiwa ukatili wa kuingiliwa kinyume na maumbile lakini yaonesha nae anafuaraia!
Afande:kama afuraia sio kosa ingekuwa hafuraiii ungeitwa ukatili.
Mimi;Afande Mimi sijapendezwa kuingiliwa Kwa mwanaume mwenzetu.
Afande; Kwani ILO lilirootumiwa lakoooo?
Mimi; afande asante.
Afande;nashukuru Ila nipeleke nami nikaone
Mimi;Afande tusiende watakuwa wamemaliza.
Afande;hata kama wamemaliza nataka nikalione ILO linaro fanyiwa hivyo.
Mimi;haya Twende!
Kiguuu na njia Mpaka kwangu bado tunakuta anaugulia mwishowe Afande akaomba shoo naae akapewa life likasonga changamoto baada ya afande kufanya yake alinogewa na kuhakikisha Yule aliyemkuta akila mzigo anaamishwa zanzibari ili abakie Peke yake.
Utendaji huu
Sidhani kama Tanzania tunaitaji Tanganyika kuwa waziri mzanzibari
Sina uhakika na hilo mkuuSio mwkeli mkuu muwakilishi mihayo juma nunga Si mzanzibar wapo wenye viti na viongizi wengi tu sio wazanzibar babu yangu ametoka morogoro na anamiliki mashamba mengi sana
Sasa wewe unalalamika halafu unashindwa hata kuonesha hasara za muungano kwenu, halafu unataka watu wa kutajie faida. Upo serious??Tugawane mbao,hamubebeki,hamtulii ,msiitumie Zanzibar na kujificha kwenye kichaka cha Muungano ,mapapasi wote wanaofaidika na Muungano huu ni wabara.
Wekeni faida za Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar tuone au tuzione ,kuanzia serikali hadi mtu mmoja mmoja ,kuanzia mijini hadi vijijini.
Mambo gani hayo ya Muungano yanayoifaidisha Zanzibar ? Tuwekeeni tuyaone, tuyajadili ,,hakuna hata moja.
Kitu kimoja tu ambacho nina uhakika nacho ambacho ni hatari ni WaTanganyika kuingiana mwilini kuwania madaraka, na wallai siku tukigawana mbao basi Tanganyika itakatika vipande vipande kusini kwao kaskazini kwao.
Ndio maana tunaomba huu muungano udumu na tuulinde kwa gharama zozote ikiwemo kuitendea haki Zanzibar vinginevyo laana yake itaitafuna Tanganyika na kuwa kama yenye Ukoma.
Ilahi ibariki Tanzania.
Wangu anakula mshahara hadi kesho ni mwalimu wa skuli ZanzibarOnesha mtanganyika hata mmoja mwajiriwa ndani ya SMZ nami nitakuonesha maelfu ya wazanzbari waajiriwa Tanganyika. Achana na kero nyingine kama umiliki wa ardhi, n.k.