Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Mbona tunabishana madesa ya shule ya Msingi hapa?

Soma mambo 22 ya Muungano hapo, Masuala ya Viwanda na Nishati yapo kwenye Muungano, hivyo ni Serikali ya Tanzania iliokua inasimamia sio Zanzibar.
Mkuu hakuna ubishani hapa, ukiona ni ubishani jitafakari.

Panoja na hayo masuala 22 hamna kitu kama hicho mkuu, kwamba Tanzania kusimamia miundombinu ya zanzibar alafu iue miundombinu, (labda nione evidence)
 
kabla ya kulitaka Jambo lolote ni heri kwanza , ujue yatakayojili baada ya kulifikia Hilo Jambo ulitakalo. Kuvunjika kwa muungano kutabadili kila kitu kuanzia maisha ya mtu na mtu, kabila na kabila na kabila , lkn pia mfumo wa siasa na uchumi pia .

Historia pia itabadilika , wa zbar watajifunza au kuhadithiwa maisha ya muungano yalivyokuwa , na Watanganyika pia watawahadithia wajukuu zao maisha ya muungano yalivyokuwa hapo nyuma. kwa upande wa historia , binafsi naona kwa upande wa zbar wajukuu wao historia itawabeba na kuwafariji kiasi Fulani , maana watahadithiwa namna babu na Bibi zao walivyo fanikiwa kuiongoza nchi kubwa ya Tanganyika , historia hii itakuwa tamu kusikilizwa maskioni mwa vijukuu vyao.

kwa upande wa tanganyika na wao historia itaongeleka kwa hisia tofauti , yapo yatakayo kuwa mazuri kusikika maskioni mwa vijukuu vyao ,shida itakuwa tu pale watakapo hadithiwa kuwa babu zao waliwaruhusu babu wa jilani zao kuwaongoza , ili Hali wao hawakuruhusiwa kuwaongoza au kuwa viongozi huko, hii picha itawafanya wajukuu wa tanganyika kuwa wanyonge dhidi ya wajukuu wa zbar.

Haya Mambo hatuyaoni lkn kwa wajukuu wetu , wata ya feel !! Ni Kama tu tulivyokuwa tuna feel vioja vya chief mangungo kuwauza wenzake kwa wazungu . kuya rekebisha haya makosa ili tusije adhibiwa na vijukuu vyetu ya kuwa tulikuwa mazuzu , tupate kwanza katiba mpya kabla hata ya kufikilia kuvunja muungano , kwa kufanya hivyo tutakuwa tumepata ka loope hole Cha kupata mahali pa kukwepa aibu kwa vijukuu vyetu.

Vikitaka kutuzodoa kwamba tulikuwa mazuzu tutavijibu kuwa ... tulistuka mapema ndio maana mmeikuta hii katiba mpya!![emoji38].
 
Mpaka dunia inaelekea kaburini hakuna muungano wowote duniani kama huu wa tanganyika uliofanyika.

"changu chako chako chako"

geografia ya zanzibar ni ndogo na upelekea wanzabari kujitafutia mpaka kuishi tanzania.

kijeshi na usalama itambuliki kama nchi inaonekana kama mkoa ulivo kigoma na kwengineko.

ushiriki wa uchumi tunatumia pesa moja nafikiri mpaka BOT wenyewe wanajua ni mkoa sio nchi inayotumia mzunguko wa pesa za tanzania.

maamuzi makubwa yapo tanzania ndio maana ccm wakiamua kubaka uchaguzi wanatoa order huku.

sasa kitu kilichobugi pale dodo la ukuu wa nchi kuwaangukia wao
 
Niliwai kuishi zanzibari miaka mingi iliyopita niseme wazi nilichukia utendaji wa baadhi ya polisi pale WETE.
Nilichukia Kwa sababu binafsi sipendezwi na vitendo vya ushoga kabisa kabisa sasa ulikuwa hivi.

Nikiwa nyumbani kwangu nilikopanga, niliskia miguno ya wafanya mapenzi, muda wa saaa sita za usiku nikaona sio busara kuto chungulia nilichungulia na kubaini aliyekuwa akitoa miguno ni kidume kabisaaa!

Nikaenda kituoni kutoa taarifa

Mimi;, afande mm naitwa sifi Leo natokea wete Kwa mjumbe ngamia,pale niishipo kuna MTU afanyiwa ukatili wa kuingiliwa kinyume na maumbile lakini yaonesha nae anafuaraia!
Afande:kama afuraia sio kosa ingekuwa hafuraiii ungeitwa ukatili.
Mimi;Afande Mimi sijapendezwa kuingiliwa Kwa mwanaume mwenzetu.
Afande; Kwani ILO lilirootumiwa lakoooo?
Mimi; afande asante.
Afande;nashukuru Ila nipeleke nami nikaone
Mimi;Afande tusiende watakuwa wamemaliza.
Afande;hata kama wamemaliza nataka nikalione ILO linaro fanyiwa hivyo.
Mimi;haya Twende!
Kiguuu na njia Mpaka kwangu bado tunakuta anaugulia mwishowe Afande akaomba shoo naae akapewa life likasonga changamoto baada ya afande kufanya yake alinogewa na kuhakikisha Yule aliyemkuta akila mzigo anaamishwa zanzibari ili abakie Peke yake.

Utendaji huu

Sidhani kama Tanzania tunaitaji Tanganyika kuwa waziri mzanzibari
 
Hivi JF siku hizi imekuwa cheap kiasi cha kukubali hii kitu kuwemo humu!?
 
huwa inauma sana kusikia kiongozi na mwanasiasa tokea CCM , anoposema majukwani au mahali flani eti tanzania ni moja, Tanzania ni matokeo ya nchi mbili Tanganyika yetu na nzanzibar yao , so hakuna umoja hapa ni mungano tena wa kinafiki sana , tunahitaji tanganyika yetu na Tanganyika ni moja, unasemaje Tanzania ni moja katika nchi ambayo wapo wanaofaidi kwa kuwa wara rushwa na wapo wanaonyonywa kwa kulipa tozo zisizo na idadi kama tanzania ni moja suala la bandari lingekuwa limeisha kwa kuwasikiliza watanganyika wanataka nini kuhusu bandari yao na mali zao
 
Ukiangalia muungano wa Zanzibar na Tanganyika utagundua kuwa Zanzibar bado iko vilevile ila Tanganyika ndo imekuwa Tanzania.

Vyama tu ndo vimeungana vya Tanu na ASP.

Huu ni muungano wa kisiasa zaidi ya kitaifa.

Serikali ya Zanzibar bado iko vilevile ili uwe raisi, Mbunge, diwani, mwenyekiti wa mtaa lazima uwe mzenji. Hata kumiliki ardhi lazima uwe mzenji.

Tanganyika ndo imebadilika kuwa Tanzania. Uraisi tunabadilishana Mtanganyika na mzenji. Viongozi wa Tanganyika tumewapa wazenji ukuu wa mikoa, wilaya, ukatibu wa wizara, Ras, das, hadi ubunge na udiwani wazenji Tanganyika.

Nyerere alichokipata kwenye huu muungano ni muungano wa TANU na ASP tu na uwezo wake kuchagua raisi wa Zanzibar kupitia uenyekiti wake wa CCM bas.
Ila hakuna cha maana watanzania/watanganyika wanapata kupitia huu muungano maana nchi ya Zanzibar bado iko vilevile kama ilivyokuwa kabla ya muungano ila hio inayoitwa Tanzania ndo Tanganyika yenyewe ambayo wazanzibar tumewapa kilakitu ambacho wao hawatawahi kuja kutupa sisi watanganyika.

Siku ikitokea Zanzibar inaongozwa na chama tofauti na CCM ndo tutaona jinsi gani huu tunaouita muungano ni utapeli tu wa chama cha CCM na ASP.
 
Sio mwkeli mkuu muwakilishi mihayo juma nunga Si mzanzibar wapo wenye viti na viongizi wengi tu sio wazanzibar babu yangu ametoka morogoro na anamiliki mashamba mengi sana
 
Tugawane mbao,hamubebeki,hamtulii ,msiitumie Zanzibar na kujificha kwenye kichaka cha Muungano ,mapapasi wote wanaofaidika na Muungano huu ni wabara.

Wekeni faida za Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar tuone au tuzione ,kuanzia serikali hadi mtu mmoja mmoja ,kuanzia mijini hadi vijijini.

Mambo gani hayo ya Muungano yanayoifaidisha Zanzibar ? Tuwekeeni tuyaone, tuyajadili ,,hakuna hata moja.

Kitu kimoja tu ambacho nina uhakika nacho ambacho ni hatari ni WaTanganyika kuingiana mwilini kuwania madaraka, na wallai siku tukigawana mbao basi Tanganyika itakatika vipande vipande kusini kwao kaskazini kwao.

Ndio maana tunaomba huu muungano udumu na tuulinde kwa gharama zozote ikiwemo kuitendea haki Zanzibar vinginevyo laana yake itaitafuna Tanganyika na kuwa kama yenye Ukoma.
Ilahi ibariki Tanzania.
 
Sasa wewe unalalamika halafu unashindwa hata kuonesha hasara za muungano kwenu, halafu unataka watu wa kutajie faida. Upo serious??

Ukiwa Kama GT weka faida na hasara za muungano pande zote kisha wananzengo wajadili

Ila hapa ugonjwa uumwe wewe, maumivu apate mwingine

It's foolish
 
Mdogo
Onesha mtanganyika hata mmoja mwajiriwa ndani ya SMZ nami nitakuonesha maelfu ya wazanzbari waajiriwa Tanganyika. Achana na kero nyingine kama umiliki wa ardhi, n.k.
Wangu anakula mshahara hadi kesho ni mwalimu wa skuli Zanzibar
 
Nyie kenge mtakaa giza leta ujinga. Kwanza nyie simbilisi flati uchogo hamna maana tukija kwenu fursa hakuna hata kupata ardhi ni ngumu nyie huku mnapokelewa vizuri alafu unadiriki kuleta shombo za kipumbavu. Onyesha hasara za muungano kwanza alafu kuhusu tanganyika kutengana hilo sahau huku sio kama huko mnabaguana nyie kwa nyie kenge wa blue
 
Back
Top Bottom