TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Mkuu hakuna ubishani hapa, ukiona ni ubishani jitafakari.Mbona tunabishana madesa ya shule ya Msingi hapa?
Soma mambo 22 ya Muungano hapo, Masuala ya Viwanda na Nishati yapo kwenye Muungano, hivyo ni Serikali ya Tanzania iliokua inasimamia sio Zanzibar.
Panoja na hayo masuala 22 hamna kitu kama hicho mkuu, kwamba Tanzania kusimamia miundombinu ya zanzibar alafu iue miundombinu, (labda nione evidence)