uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Wazee wanapambania Taifa vijana wana bett.. Nchi ya ajabu sana hiiTanganyika vijana wako busy na mpira wa Azam league!
NBC super league...
Wana Beti na kuchaniwa mikeka huko English Premiere League!
Siasa wamewaachia wazee kina DK Slaa!
Wao wanacheza Fiesta usiku wakisha kula vyakula vya familia za wazazi wao wastaafu
Wazee wanapambania Taifa vijana wana bett.. Nchi ya ajabu sana hii
😀da hizi dhebu sitatutoa roho
Na ukiwapambania sana mwisho wa siku watakuja kutumwa kukudhalilisha au kukudhuru kwa kupewa ujira mdogo sana !!Kitu cha ajabu sana hiki. Unakaa unajiuliza future ya hii nchi inaelekea wapi kama vijana wenyewe ndio hawa
Baba askofu Gervas Nyaisonga amewaonya watanganyika na serikali juu ya nchi yao akisema
"Aibu kubwa kuliko zote ni pale ambapo Taifa la TANGANYIKA kinataka kuangamizwa huku sisi watanganyika tukiwapigia makofi wenye nia ovu"
Source :askofu mwamkula
Watanganyika amkeni mkiona hadi wazee kwenye kijiji wanapiga kelele mjue nchi yenu ipo hatarini...
Sio kawaida ya askofu Nyaisonga kutoa maoni haya
. watanganyika dubai anamilikishwa nchi nyie mmelala usingizi wa pono mtatesa wajukuu na vitukuu vyenu
Tanzania tuna uhaba wa vijana! Yaliyopo yamebaki kuwa machawa tu!Kitu cha ajabu sana hiki. Unakaa unajiuliza future ya hii nchi inaelekea wapi kama vijana wenyewe ndio hawa
Akina mdude wapo acha tumle muhindi kwanzaWazee wanapambania Taifa vijana wana bett.. Nchi ya ajabu sana hii
Hao akina Slaa, Nape, Kinana, Mbowe, Lissu wanakula kupitia siasa. Mimi mlalahoi siasa inanipaje chakula na hata pesa ya vocha??Tanganyika vijana wako busy na mpira wa Azam league!
NBC super league...
Wana Beti na kuchaniwa mikeka huko English Premiere League!
Siasa wamewaachia wazee kina DK Slaa!
Wao wanacheza Fiesta usiku wakisha kula vyakula vya familia za wazazi wao wastaafu
wanataka tuandamane tuache familia zetuHao akina Slaa, Nape, Kinana, Mbowe, Lissu wanakula kupitia siasa. Mimi mlalahoi siasa inanipaje chakula na hata pesa ya vocha??
Wakati nyerere anafanya hu upuuzi wa muungano mbona hawa kumhoji Tanganyika iko wapi kwenye huo mgano, na wenyewe walikua vijana kama sisi, wakawa kimya au kwasbb nyerere alikua mwenzaoBaba askofu Gervas Nyaisonga amewaonya watanganyika na serikali juu ya nchi yao akisema
"Aibu kubwa kuliko zote ni pale ambapo Taifa la TANGANYIKA kinataka kuangamizwa huku sisi watanganyika tukiwapigia makofi wenye nia ovu"
Source :askofu mwamkula
Watanganyika amkeni mkiona hadi wazee kwenye kijiji wanapiga kelele mjue nchi yenu ipo hatarini...
Sio kawaida ya askofu Nyaisonga kutoa maoni haya
. watanganyika dubai anamilikishwa nchi nyie mmelala usingizi wa pono mtatesa wajukuu na vitukuu vyenu
Wako bize na Amapiano na Mbususu.Tanganyika vijana wako busy na mpira wa Azam league!
NBC super league...
Wana Beti na kuchaniwa mikeka huko English Premiere League!
Siasa wamewaachia wazee kina DK Slaa!
Wao wanacheza Fiesta usiku wakisha kula vyakula vya familia za wazazi wao wastaafu
Walimhoji na kuna video alikiri kuwa kuna kosa lakini hakudhani kama baadae italeta shida.Wakati nyerere anafanya hu upuuzi wa muungano mbona hawa kumhoji Tanganyika iko wapi kwenye huo mgano, na wenyewe walikua vijana kama sisi, wakawa kimya au kwasbb nyerere alikua mwenzao
SahihiTanzania tuna uhaba wa vijana! Yaliyopo yamebaki kuwa machawa tu!
Sasa humu jukwa la siasa unatafuta nini?Hao akina Slaa, Nape, Kinana, Mbowe, Lissu wanakula kupitia siasa. Mimi mlalahoi siasa inanipaje chakula na hata pesa ya vocha??
Kuna waraka wali utoa kupinga huo muungano, waliridhika na majibu ya Nyerere ya kuua Tanganyika na wanataka kuidai wakati wa Samia. those are double standard selfish priestsWalimhoji na kuna video alikiri kuwa kuna kosa lakini hakudhani kama baadae italeta shida.
Muungano wenyewe inaonekana hayakuw amatakwa yake Nyerere. Huenda kulikuwa na msukumo nje ya utashi wake
Pia nyakati zimebadilika acha fikra za kijimaKuna waraka wali utoa kupinga huo muungano, waliridhika na majibu ya Nyerere ya kuua Tanganyika na wanataka kuidai wakati wa Samia. those are double standard selfish priests