Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Baba askofu Gervas Nyaisonga amewaonya watanganyika na serikali juu ya nchi yao akisema

"Aibu kubwa kuliko zote ni pale ambapo Taifa la TANGANYIKA kinataka kuangamizwa huku sisi watanganyika tukiwapigia makofi wenye nia ovu"

Source :askofu mwamkula

Watanganyika amkeni mkiona hadi wazee kwenye kijiji wanapiga kelele mjue nchi yenu ipo hatarini...

Sio kawaida ya askofu Nyaisonga kutoa maoni haya

. watanganyika dubai anamilikishwa nchi nyie mmelala usingizi wa pono mtatesa wajukuu na vitukuu vyenu
 
Tanganyika vijana wako busy na mpira wa Azam league!
NBC super league...
Wana Beti na kuchaniwa mikeka huko English Premiere League!

Siasa wamewaachia wazee kina DK Slaa!

Wao wanacheza Fiesta usiku wakisha kula vyakula vya familia za wazazi wao wastaafu
 
Wazee wanapambania Taifa vijana wana bett.. Nchi ya ajabu sana hii
 
Hahahaaa!
JamiiForums-1926406625.jpg
 
Kitu cha ajabu sana hiki. Unakaa unajiuliza future ya hii nchi inaelekea wapi kama vijana wenyewe ndio hawa
Na ukiwapambania sana mwisho wa siku watakuja kutumwa kukudhalilisha au kukudhuru kwa kupewa ujira mdogo sana !!
 
Muulize walivyoiba hela za escrow walipata adhabu gani?
Baba askofu Gervas Nyaisonga amewaonya watanganyika na serikali juu ya nchi yao akisema

"Aibu kubwa kuliko zote ni pale ambapo Taifa la TANGANYIKA kinataka kuangamizwa huku sisi watanganyika tukiwapigia makofi wenye nia ovu"

Source :askofu mwamkula

Watanganyika amkeni mkiona hadi wazee kwenye kijiji wanapiga kelele mjue nchi yenu ipo hatarini...

Sio kawaida ya askofu Nyaisonga kutoa maoni haya

. watanganyika dubai anamilikishwa nchi nyie mmelala usingizi wa pono mtatesa wajukuu na vitukuu vyenu
 
Tanganyika vijana wako busy na mpira wa Azam league!
NBC super league...
Wana Beti na kuchaniwa mikeka huko English Premiere League!

Siasa wamewaachia wazee kina DK Slaa!

Wao wanacheza Fiesta usiku wakisha kula vyakula vya familia za wazazi wao wastaafu
Hao akina Slaa, Nape, Kinana, Mbowe, Lissu wanakula kupitia siasa. Mimi mlalahoi siasa inanipaje chakula na hata pesa ya vocha??
 
Baba askofu Gervas Nyaisonga amewaonya watanganyika na serikali juu ya nchi yao akisema

"Aibu kubwa kuliko zote ni pale ambapo Taifa la TANGANYIKA kinataka kuangamizwa huku sisi watanganyika tukiwapigia makofi wenye nia ovu"

Source :askofu mwamkula

Watanganyika amkeni mkiona hadi wazee kwenye kijiji wanapiga kelele mjue nchi yenu ipo hatarini...

Sio kawaida ya askofu Nyaisonga kutoa maoni haya

. watanganyika dubai anamilikishwa nchi nyie mmelala usingizi wa pono mtatesa wajukuu na vitukuu vyenu
Wakati nyerere anafanya hu upuuzi wa muungano mbona hawa kumhoji Tanganyika iko wapi kwenye huo mgano, na wenyewe walikua vijana kama sisi, wakawa kimya au kwasbb nyerere alikua mwenzao
 
Tanganyika vijana wako busy na mpira wa Azam league!
NBC super league...
Wana Beti na kuchaniwa mikeka huko English Premiere League!

Siasa wamewaachia wazee kina DK Slaa!

Wao wanacheza Fiesta usiku wakisha kula vyakula vya familia za wazazi wao wastaafu
Wako bize na Amapiano na Mbususu.

After 10 yrs too late.
 
Wakati nyerere anafanya hu upuuzi wa muungano mbona hawa kumhoji Tanganyika iko wapi kwenye huo mgano, na wenyewe walikua vijana kama sisi, wakawa kimya au kwasbb nyerere alikua mwenzao
Walimhoji na kuna video alikiri kuwa kuna kosa lakini hakudhani kama baadae italeta shida.

Muungano wenyewe inaonekana hayakuw amatakwa yake Nyerere. Huenda kulikuwa na msukumo nje ya utashi wake
 
Kuna waraka wali utoa kupinga huo muungano, waliridhika na majibu ya Nyerere ya kuua Tanganyika na wanataka kuidai wakati wa Samia. those are double standard selfish priests
 
Pia nyakati zimebadilika acha fikra za kijima
 
Back
Top Bottom