Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Zanzibar ni nchi sasa kulingana na mabadiliko ya katiba yaliyofanyika.
..kuna kila sababu na haki za kuwa na mabalozi wenu wenyewe nje ya nchi.
..Zanzibar wadai upya kuwa wanachama wa Fifa.
yaani I can't wait hawa jamaa kumeguka waondoke kwetu, kwasababu wanatuletea kiwingu. wanafaidi kwetu alafu wanajifanya wao ni maforena....wapemba wamejaa dar kuchuma mali kwaajili ya ndugu zao zenji, hivi tukiwa nchi mbili mtachumia wapi nyie? na wapemba hawa wataenda wapi? ardhi ya hapa mtaturudishia? kwasababu mtakuwa hamtakiwi kuimiliki hadi muwe wawekezaji. hivi tz inafaidi nini toka zenji?

Nina wasiwasi na elimu yako au una udugu na kihiyo nini? kwa kifupi BoT inamchango mkubwa sana wa zanzibar wakati inaundwa serikali ya zanzibar ilitoa pesa nyingi sana za kigeni na wamepigwa changa la macho!
Zanzibar ndio nchi ya kwanza kustaarabika katika bara la africa
yakwanza kuwa na TV ya rangi Africa nzima mie nadhani bila ya Muungano zanzibar ingekuwa kama New York

U U umesema? NYenyere Angemuuwa hata.......!:becky:Ndoto ya saa tano asubuhi! bila shaka bila muungano karume angemuua hata baba yako hata wewe pia!
Nina wasiwasi na elimu yako au una udugu na kihiyo nini? kwa kifupi BoT inamchango mkubwa sana wa zanzibar wakati inaundwa serikali ya zanzibar ilitoa pesa nyingi sana za kigeni na wamepigwa changa la macho!
Zanzibar ndio nchi ya kwanza kustaarabika katika bara la africa
yakwanza kuwa na TV ya rangi Africa nzima mie nadhani bila ya Muungano zanzibar ingekuwa kama New York
yaani I can't wait hawa jamaa kumeguka waondoke kwetu, kwasababu wanatuletea kiwingu. wanafaidi kwetu alafu wanajifanya wao ni maforena....wapemba wamejaa dar kuchuma mali kwaajili ya ndugu zao zenji, hivi tukiwa nchi mbili mtachumia wapi nyie? na wapemba hawa wataenda wapi? ardhi ya hapa mtaturudishia? kwasababu mtakuwa hamtakiwi kuimiliki hadi muwe wawekezaji. hivi tz inafaidi nini toka zenji?
..Zanzibar ni nchi sasa kulingana na mabadiliko ya katiba yaliyofanyika.
..kuna kila sababu na haki za kuwa na mabalozi wenu wenyewe nje ya nchi.
..Zanzibar wadai upya kuwa wanachama wa Fifa.
Naona mnajifurahisha tuu na mawazo finyu.Hivi kule Zanzibar zile machinga na masai nazo zinafanya nini kule Zenji.Acheni mawazo potofu, mnatakiwa mujadili masuala ya maana.
Ikiwa Zanzibar wanaona muungano unachengua, so be it!Hivi ndio wanaume wanavyotakiwa, lakini kwa muono wangu naona Tanganyika ndio mwoga wa wa kuvunjika muungano.
From day one nimekuwa nikitia mashaka kuwa huu muungano alielazimisha ni Nyerere.Na nina sababu zangu za msingi za kusema hivyo:
1.Hadi leo sijaona saini ya Karume wala kiongozi yoyote kutoka Zanzibar katika nyaraka za muungano.Ni Nyerere na Msekwa tuu kutoka Tanganyika ndio waliokuwa mstari wa mbele kulazimisha muungano.
2.Hilo tukio la kuunganisha ni Nyerere pekee ndie anabeba mchanga (chupa zote mbili kutoka Tanganyika!).
3.Wazanzibari wengi hawataki muungano, kinyume na watanganyika.
4.Kuna kila aina ya ushahidi Mapinduzi watu walisafirishwa na Nyerere kupitia Tanga kwenda kupindua.(Kuna hadi vitabu vinatoa ushahidi huo na mahojiano na msafirishaji wa watu huko Tanga!)
Sasa tusileteane hoja za kitoto, from the begining huu muungano was all about Tanganyika's ambitious of swallowing Zanzibar islands!
Zanzibar ilikuwa ni sehemu ya Tanganyika (hataka kabla ya kuitwa hivyo) siku zote tangu wakati wa utawala wa sultani hadi ukoloni wa ulaya ulipoingia. Kilichotengansiha Zanzibar kutoka Tanganyika ni kwa sababu iliuzwa na wajerumani kwa waiengereza kusudi wao wapewe visiwa vya Heligoland. Kama ambayo tulivyopinga ukoloni ule ndiyo vile vile tunavyopinga kuuzwa kwa sehemu ya nchi yetu na kuitenga.
Muungano is here for ever!! Hakuna ninachopata huko Zanzibarna hata Tanganyika kwa vile mimi ninaishio nje ya nchi, lakini ile pride ya nchi yangu ndiyo inayonifanya nitetee muungano. Shallow minds za kutaka kuwa na tawala ndogo ndogo ili kila mtu apate madaraka ndizo zinazotusumbua wabongo. Utashangaa kuwa wakati wa mkoloni nchi ilikuwa na ma PC 12 tu lakini leo hii kuna ma-RC zaidi ya 30, wote wakitaka madaraka tu.