Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Kikwete ameingia madarakani kama Rais na M/kiti wa CCM mwaka 2005 baada ya uchaguzi mkuu kufanyika. kabla ya hapo alikuwa waziri wa mambo ya nje.

Nadhani CUF wamekuwa wanajadiliana na CCM regardless of who is in charge of the party. Hii issue inamhusu Kikwete kama Mkiti wa chama na sio kama Kikwete binafsi. Yeyote ambaye angekuwa mkiti wa ccm sasa hivi angekuwa responsible na accountable hapa.

Next.....

Suala la muafaka lilitokea baada ya CCM na CUF kutofautiana ktk uchaguzi mkuu. Walihitaji kupitia tofauti zao ili wapate muafaka.

Wewe ulikuwa na ushauri gani ktk utatuzi wa mgogoro huu?

Ushauri wangu ni kwa ccm kuheshimu makubaliano yaliyofikiwa kwenye kamati ya mwafaka ya kuwa na serikali ya mseto na kuua kabisa uonevu dhidi ya wapemba katika masuala muhimu kama elimu, ardhi, kazi na mengineyo.

Haya mengine ya kuleta usanii hayatakiwi kabisaaaaaa!!!!!
 
Duuh...!!! BabaH eeh, mbona umeniukia kama kipanga? yaani hapa nimeangua kicheko kama sina akili. Suala la muafaka sio jambo rahisi kama unavyofikiria. Mimi napendekeza badala ya kumshutumu JK, hebu tujaribu kutoa ushauri wa suluhisho la mgogoro wa Kisiasa Zenj. Wewe unafikiria ni njia ipi JK angetumia kuutatua mgogoro huu?
 
Kikwete na wenzake huko ccm wanatakiwa kuheshimu makubaliano yaliyofikiwa kwenye kamati ya mwafaka ya kuwa na serikali ya mseto na kuua kabisa uonevu dhidi ya wapemba katika masuala muhimu kama elimu, ardhi, kazi na mengineyo.

Haya mengine ya kuleta usanii hayatakiwi kabisaaaaaa!!!!! wenzake huko sisiemu wanatakiwa kuheshimu makubaliano
 
Kinvaba kama una maslahi sema .Swala la kusema JK asipate lawama ni uendawazimu ama nawe unataka kusema ni kazi ya Mungu ? CCM ndiye wanao iba kura na kunyanyasa watu kila kona .Wao wana dola na nguvu zote .Leo wameshindwa kutimiza ahadi yao wenzao wamesema kwa uwazi kwamba wamesha kubaliana wewe unasemaje tutafute njia muafaka ? Unasema muafaka si jambo la mchezo ? Ugumu uko wapi kama si kujiona na kudhani Tanzania na watanzania wote ni mali ya CCM.Kama CCM hawawezi CUF wanaweza kuingia mtaani na kuandamana kila siku ndiyo njia nyingine hii .Unasemaje
 
Kikwete na wenzake huko ccm wanatakiwa kuheshimu makubaliano yaliyofikiwa kwenye kamati ya mwafaka ya kuwa na serikali ya mseto na kuua kabisa uonevu dhidi ya wapemba katika masuala muhimu kama elimu, ardhi, kazi na mengineyo.

Haya mengine ya kuleta usanii hayatakiwi kabisaaaaaa!!!!! wenzake huko sisiemu wanatakiwa kuheshimu makubaliano

Jamani JF tuwe waangalifu na kusubiri inside za mkutano wa CC/NEC uletwe ili watu waweze kujadili vizuri.

Swali, je ni kina nani waliomzidi JK turufu??
Kuna uhusiano wowote kati ya EPA/Richmond na huu mjadala??
Je kuna watu wanaojua kwanini kina Rostam, Lowassa, Chenge, Nchimbi, Makalla na wengine waliamua kuwa upande wa Karume??

JK kashazidiwa na awe mwangalifu sana sababu marafiki zake wamegeuka maadui ingawa wanamchekea.
 
Mwafrika wa Kike,

Nakubaliana na wewe sana. Kikwete ameishachukua hatua za kuwahusisha ktk maamuzi haya mazito wanachama wa CCM kupitia NEC. Wajumbe wa NEC, na hasa kutoka PEMBA wamemkatalia. Suala hili linahusu Muungano, je ungemshauri Kikwete afanye nini baada ya hapo? Maana amejitahidi kulitafutia ufumbuzi suala hili, ni wajumbe hao wa NEC ndio wamemuangusha
 
Kikwete kama Kikwete asingelipeleka suala hili ktk Halmashauri Kuu kama asingekuwa hataki kupata suluhisho la mgogoro wa Zenj. Taarifa zinadai wajumbe waliokuwa wanaongoza kuipinga hoja hiyo walikuwa wanatoka Pemba.

Cheki vizuri sources wako, walioongoza kukataa mapendekezo na kutoa hoja ya kura za maoni ni wa Unguja. wale wapemba waliunga mkono makubaliano kwa sababu walisema wao ndio wanafanya kazi katika mazingira magumu kutokana na huko kuwa ngome ya CUF hivyo waliona wakiingizwa serikalini itawapoza kidogo
 
Mwafrika wa Kike,

Nakubaliana na wewe sana. Kikwete ameishachukua hatua za kuwahusisha ktk maamuzi haya mazito wanachama wa CCM kupitia NEC. Wajumbe wa NEC, na hasa kutoka PEMBA wamemkatalia. Suala hili linahusu Muungano, je ungemshauri Kikwete afanye nini baada ya hapo? Maana amejitahidi kulitafutia ufumbuzi suala hili, ni wajumbe hao wa NEC ndio wamemuangusha

Kama JK ni sicere basi afanye jambo moja .Kwa kuwa wanzibari wanajifanya hawataki CUF kwa ukaribu sote tuwe mashahidi.Uchaguzi ujao uwe wa haki hakuna watu toka Bara kwenda kule kisiwani wala polisi kwenda kuwapigia CCM kura .Waone moto wake maana CUF watachukua hata eneo analo kaa Karume ndipo watajua nini faida ya kutawala pamoja .Kiburi chao ni majesh yetu na polisi ambao kila siku ni CCM tu .
 
Lunyungu,

Siko hapa kumtetea Kikwete na wala sina maslahi yangu binafsi. Najaribu kuchangia hoja kama inavyosomeka hapo juu. Tusiwe mabingwa wa kulaumu. Tujadili hoja vizuri kwa kuichambua kwa kina. Kikwete hana maamuzi ya mwisho kikatiba ktk suala la hili la muafaka, na ndio maana akalipeleka ktk NEC wakayabariki makubaliano. Wajumbe wa NEC wameyakataa, sasa yeye afanye nini? Moelex23, NAKUBALIANA NA WEWE.
 
Mwafrika wa Kike,

Nakubaliana na wewe sana. Kikwete ameishachukua hatua za kuwahusisha ktk maamuzi haya mazito wanachama wa CCM kupitia NEC. Wajumbe wa NEC, na hasa kutoka PEMBA wamemkatalia. Suala hili linahusu Muungano, je ungemshauri Kikwete afanye nini baada ya hapo? Maana amejitahidi kulitafutia ufumbuzi suala hili, ni wajumbe hao wa NEC ndio wamemuangusha

Kikwete na wenzake huko ccm wanatakiwa kuheshimu makubaliano yaliyofikiwa kwenye kamati ya mwafaka ya kuwa na serikali ya mseto na kuua kabisa uonevu dhidi ya wapemba katika masuala muhimu kama elimu, ardhi, kazi na mengineyo.

Haya mengine ya kuleta usanii hayatakiwi kabisaaaaaa!!!!! wenzake huko sisiemu wanatakiwa kuheshimu makubaliano

Nimerudia tena kuweka jibu langu kwa swali lako (in red) na nimeongeza size ya FONT maana inaonekana una matatizo ya kuona kila nilichosema hapa!
 
Suala la kuzuia watu wasipige kura zaidi ya kituo kimoja ni gumu sana ktk nchi za Kiafrika. Miundombinu yetu bado haijakamilika kuzuia ubadhilifu huo wa kura wakati wa uchaguzi. Ni fikra nzuri sana lakini ni ngumu sana kutekelezeka. Tutajidanganya kusema kuwa hilo litaweza kufanyika.
Mpita Njia, chanzo changu cha habari kinadai kuwa wajumbe wengi waliopinga Serikali ya Mseto ni kutoka PEMBA. Nadhani siku tutakayoletewa minutes za kikao kile tutajua zaidi, mpaka sasa naamini hivyo, na nimeanza kuwachukia hawa jamaa kwa mgomo wao huo.
 
Lunyungu,

Siko hapa kumtetea Kikwete na wala sina maslahi yangu binafsi. Najaribu kuchangia hoja kama inavyosomeka hapo juu. Tusiwe mabingwa wa kulaumu. Tujadili hoja vizuri kwa kuichambua kwa kina. Kikwete hana maamuzi ya mwisho kikatiba ktk suala la hili la muafaka, na ndio maana akalipeleka ktk NEC wakayabariki makubaliano. Wajumbe wa NEC wameyakataa, sasa yeye afanye nini? Moelex23, NAKUBALIANA NA WEWE.

Ina maana Kikwete "akikataliwa kitu anachotaka" hana cha kufanya? Au ndio unataka kusema kuwa hata mafisadi wamekataa kurudisha pesa za wizi wa BoT kwa hiyo kikwete hana cha kufanya.

Ni lini Kikwete atatambua kuwa yeye ni raisi na mwenyekiti wa ccm kwa hiyo ana kazi ya kushawishi watu kufanya the right thing?

What a lazy prezidaa we have! grrrrrrrrr
 
.... Nadhani siku tutakayoletewa minutes za kikao kile tutajua zaidi, mpaka sasa naamini hivyo, na nimeanza kuwachukia hawa jamaa kwa mgomo wao huo.

Ama kweli kuna excuses za kupita kiasi hapa! ina maana hata hizi minutes za kikao cha sisiemu ni suala la usalama wa taifa kwahiyo haziwezi kupatikana?!?!?
 
Kikwete anaendesha Nchi kwa kufuata katiba ya Nchi.
Kikwete anaongoza CCM kwa kufuata katiba ya CCM.

Baada ya wajanja kumzidi kete kule Butiama, akaona njia nyingine ya kuwabana wajanja hao ni kulipeleka suala hili ktk mahakama ya wananchi ambayo ktk hili hiyo kura ya maoni. Kumbuka ya kuwa ni wananchi ndio waliowachagua wajanja hao.

Sidhani kamasuala la minutes za kikao cha NEC ni la Usalama wa Taifa, kama unazo zimwage hadharani tuzipitie
 
Kikwete anaendesha Nchi kwa kufuata katiba ya Nchi.
Kikwete anaongoza CCM kwa kufuata katiba ya CCM.

Katiba ya nchi na ccm ndizo zinaruhusu jeshi na polisi kuuwa raia wa Tanzania wanaondamana kupinga matokeo ya uchaguzi ambao uko rigged?

Baada ya wajanja kumzidi kete kule Butiama, akaona njia nyingine ya kuwabana wajanja hao ni kulipeleka suala hili ktk mahakama ya wananchi ambayo ktk hili hiyo kura ya maoni. Kumbuka ya kuwa ni wananchi ndio waliowachagua wajanja hao.

Grow up Kikwete,

wewe kila kitu ni kushift burden na blames kwenda kwa wengine! Nani aliyemzidi kete Kikwete Butiama huyo ambaye hana jina? Yani kila kitu ni kulaumu wengine kuanzia issue ya IPTL hadi richmond.

Kama Kikwete hawezi kazi si atoke tu amwachie Shein kwa miaka hiyo iliyobakia!?!?

Sidhani kamasuala la minutes za kikao cha NEC ni la Usalama wa Taifa, kama unazo zimwage hadharani tuzipitie

Hii ni assignment yako nimekupatia wewe uliyekuwa unaweka excuse kuwa hakuna atakayejua kilichotokea ndani ya kikao kwa hiyo tuwe kimya!!!! yaliyoongelewa kwenye kikao yanajulikana kuwa Kikwete na sisiemu wameamua kukataa makubaliano yaliyofikiwa pamoja ktk kikao cha kamati ya mwafaka ya CUF na CCM. Haya mengine ni usanii tupu!
 
Kikwete anaendesha Nchi kwa kufuata katiba ya Nchi.
Kikwete anaongoza CCM kwa kufuata katiba ya CCM.

Baada ya wajanja kumzidi kete kule Butiama, akaona njia nyingine ya kuwabana wajanja hao ni kulipeleka suala hili ktk mahakama ya wananchi ambayo ktk hili hiyo kura ya maoni. Kumbuka ya kuwa ni wananchi ndio waliowachagua wajanja hao.

Sidhani kamasuala la minutes za kikao cha NEC ni la Usalama wa Taifa, kama unazo zimwage hadharani tuzipitie

Je kura za maoni hizo kila mmoja atafikiwa ama wataishia kwa wana CCM na kuja na majibu ya kwamba watu wanaitaka CCM ? Kumbuka hila za CCM .
 
Je kura za maoni hizo kila mmoja atafikiwa ama wataishia kwa wana CCM na kuja na majibu ya kwamba watu wanaitaka CCM ? Kumbuka hila za CCM .

Tatizo hapa sio kura za maoni mkuu wangu Lunyungu.

Tatizo ni kuwa hizo kura za maoni zitafanyika lini? Usishangae kuambiwa kuwa zitafanyika mwaka 2009 mwezi wa kumi na matokeo yatoke mwezi wa pili 2010. Kisha kutakuwa na kesi mahakani na uamuzi utatolewa mwezi may 2010 ambako mahakama itaamua kuwa wananchi wasubiri matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2010 ili kuona kama serikali ya mseto inahitajika na the whole process inaanza upya - wananchi kibao wanauwawa na polisi kwa msaada wa jeshi.

Issue hapa ni Kikwete na wenzake huko sisiemu kukubali na kufuata makubaliano yaliyofikiwa na pande zote mbili katika meza ya amani kabla ya kuanza usanii na visingizio visivyo na mwisho hapa!
 
Wananchi wakishapiga kura ya maoni na kusema NO muafaka kama walivyosema NO vyama vingi serikali itatakiwa iwalazimishe?

kwa hiyo kwenye huo muafaka CUF wanasettle for a number two (waziri kiongozi?.
 
Wananchi wakishapiga kura ya maoni na kusema NO muafaka kama walivyosema NO vyama vingi serikali itatakiwa iwalazimishe?

kwa hiyo kwenye huo muafaka CUF wanasettle for a number two (waziri kiongozi?.

Tatizo hapa sio CUF wanapata nini mkuu!

CUF walikubali hata hiyo ya waziri kiongozi ili kujenga umoja na amani huko zanzibar. Imefikia wakati nchi ikamove forward past ubinafsi wa nani anapata nini.

Makubaliano ni kuwa anayeshinda uraisi anakuwa raisi lakini kwenye waziri kiongozi anapewa yule anayefuatia kwa ushindi. Hii inaweza kuwa both ways kama CUF wakishinda uraisi basi ccm wanachukua uwaziri kiongozi.

Ubinafsi unaimaliza zanzibar na kulingana na walichofanya ccm kule Butiama basi inaonekana ccm hawapendi makubaliano ya amani as longer as wana jeshi na polisi!

Aibu tupu kwa Kikwete!
 
JK aliweka nguvu zake zote kwenye muafaka wa Zanzibar, kama ameshindwa kutekeleza sasa atafanikiwa kwenye nini?

Ni dalili mbaya sana kwake kama NEC ambayo yeye ana nguvu kubwa imeshindwa kukubaliana na ushauri wake. Hiyo ni weakness kubwa sana kwa JK.

Ingelikuwa nchi za wenzetu, angelazimika hata kujiuzulu kwa hilo.

CCM inabidi watambue kwamba Tanzania ni kubwa kuliko wao na amani ya nchi ni bora kuliko pride ya CCM.

Udanganyifu wa kila siku hauwezi kuwasaidia kabisa.
 
Back
Top Bottom