Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Kikwete ameingia madarakani kama Rais na M/kiti wa CCM mwaka 2005 baada ya uchaguzi mkuu kufanyika. kabla ya hapo alikuwa waziri wa mambo ya nje.
Nadhani CUF wamekuwa wanajadiliana na CCM regardless of who is in charge of the party. Hii issue inamhusu Kikwete kama Mkiti wa chama na sio kama Kikwete binafsi. Yeyote ambaye angekuwa mkiti wa ccm sasa hivi angekuwa responsible na accountable hapa.
Next.....
Suala la muafaka lilitokea baada ya CCM na CUF kutofautiana ktk uchaguzi mkuu. Walihitaji kupitia tofauti zao ili wapate muafaka.
Wewe ulikuwa na ushauri gani ktk utatuzi wa mgogoro huu?
Ushauri wangu ni kwa ccm kuheshimu makubaliano yaliyofikiwa kwenye kamati ya mwafaka ya kuwa na serikali ya mseto na kuua kabisa uonevu dhidi ya wapemba katika masuala muhimu kama elimu, ardhi, kazi na mengineyo.
Haya mengine ya kuleta usanii hayatakiwi kabisaaaaaa!!!!!