FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 723
Kumbe unajua mnazugwa? LOL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yep tunajuwa , lakini elewa kwamba "mjinga aking'amuka, mwerevu hutimka"Kumbe unajua mnazugwa? LOL
ah ha ah ha , kijana unafurahisha sana . bara hamna serikali? hebu leo inamisha kichwa chako dakika kumi kisha fikiri na kisha njoo tena na urudie haya maneno kwamba bara hamna serikali.
unaonekana ni mgeni wa siasa? kwenye siasa unaweza ukaona kwa dhahiri ya mambo unapendelewa lakini kumbe deep inside unakandamizwa , waswahili wanasema siasa ni mchezo mchafu. unaweza ukaona tumependelewa kupewa serikali yetu lakini kumbe serikali yenyewe ni bofu (kivuli) na wale unaowaona hawana serikali kumbe ndio wamebeba nyanzo muhimu zote ndani ya ile serikali inayotambulikana ulimwenguni kote (u.n). who is better?Nimefikiria sana, sioni mantiki ya malalamiko yenu, mmepea nafasi za upendeleo kibao kama wale wengine bado hamjaona hilo. Unajua kwa nini tunawapa nafasi za upendeleo?
Think mzee think positively.
sina chuki na mtanganyika yeyote kwasababu najua ipo siku nitatumbukizwa kaburini na ,who knows? pengine nitazikwa huko huko tanganyika ,lakini la kweli lisemwe ,tusiwe kama wanasiasa wetu kutetea jambo japo kama tunajuwa liko against reality. tunachotaka wazanzibari ni kutendewa haki katika muungano huu na kama haiwezekani basi tugawane mbao. hivi kwanini watanganyika waikimbie sera ya serikali tatu katika muungano? why? hivi wao hawataki serikali yao? or what? nisaidieni.
unaonekana ni mgeni wa siasa? kwenye siasa unaweza ukaona kwa dhahiri ya mambo unapendelewa lakini kumbe deep inside unakandamizwa , waswahili wanasema siasa ni mchezo mchafu. unaweza ukaona tumependelewa kupewa serikali yetu lakini kumbe serikali yenyewe ni bofu (kivuli) na wale unaowaona hawana serikali kumbe ndio wamebeba nyanzo muhimu zote ndani ya ile serikali inayotambulikana ulimwenguni kote (u.n). who is better?
..kikwete ni dhaifu akicheza muungano utamfia mkononi.............
..na mchukuwe tandago za kitanda zenu mwende ..tuone alaa!!!....maneno mengi ya nini....INABIDI KURA YA MAONI IITISHWE .....TUANGALIE NI ASILIMIA NGAPI ZANZIBAR WANATAKA MUUNGANO...BARA HATUNA HAJA YA KUFANYA KURA YA MAONI...WAZANZIBAR WAAMUWE WENYEWE KAMA WANATAKA MUUNGANO AU LA WANATAKA KUJITENDA ..BAADA YA HAPO ...WANAWEZA KUENDELEA KUJITENGA...PEMBA NAO WATATAKA TAIFA LAO...HAMJUI KWANINI CUF WANAUNGA MKONO MUUNGANO UVUNJIKE ..WANATAKA BAADA YA HAPO NAO WAJITENGE MAANA UNGUJA WANAWABANA SANA ..WAKATI WAPEMBA NDIO WASOMI NA WACHAPAKAZI....
SISI WENGI TANGANYIKA TUNATAKA SERIKALI MOJA .....SO HILO NDIO MWELEKEO...HII MAMBO YA SERIKALI MBILI ..NI KUPIGA SIASA......
Ndivyo ilivyo na Fundi mchundo,
Postings zenu hapo juu zimeniacha midomo wazi.
Sidhani kama mlikusudia kuandika mlichoandika wakuu!.
Mkuu labda usome maneno ya Seleli kule maana hayatofautiani na yangu mkuu! kama ni ualimu labda ujisaidie wewe mkuu, Seleli ameweka wazi nenda ujisomee mkuu elimu yabure kwua Zanibar ni mkoa ndani ya muungano, FULL STOP!
Jee nichukulie kuwa huna hoja tena? Usishangae mwanafunzi kugeuka mwalimu.
Hapo ulipo wewe ndipo tulipoanza kuwa Zanzibar si mkoa bali ni nchi na tunafikiria kurejesha kuja Zanzibar kwa Paspoti. Nafikiri hutoweza kuja tena angalau ukaiona zanzibar ilivyo kwani unaisikia tu hujapatapo kufika
Nimefikiria sana, sioni mantiki ya malalamiko yenu, mmepea nafasi za upendeleo kibao kama wale wengine bado hamjaona hilo. Unajua kwa nini tunawapa nafasi za upendeleo?
Think mzee think positively.
Inaonekana WAZANZIBAR wanaubaguzi sana,
Mimi ningewashauri huo wanaoita nafasi sawa serikalini na mgawao sawa wa mapato wangeanza kwanza na mgao sawa wa nafasi za serikalini kati ya PEMBA na Ungunja.Harafu waje pia mgao sawa wa fedha na maendeleo ya kiuchumi kati ya PEMBA na UNGUJA.wakimaliza hapo ndipo waje kutafuta mgawanyo sawa ktk serikali ya muungano.
Hakuna mkoa wala kanda ktk Tanzania bara ambapo hua nasikia wanalalamika mgawanyo wa wafanyakazi.
Zanzibar ningeshauri tuvunje muungano,Lakini kitu ambacho na % fulani muungano ukifa pia Zanzibar itakufa maana patatokea Nchi ya PEMBA na nchi ya Unguja.Huo ni mtazamo wangu tu.