Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Nijuavyo mimi, bara kuna waislam wengi mara zaidi ya 50 kuliko visiwani. lakini kila likiibuka jambo lolote kuquestion mambo ya kimuungano, kama hili la bandari, wanzanzibar huwa midomo juu wanasema tunaleta udini, udini unakujaje wakati bara kuna waislam kuliko visiwani? Au huwa mnamaanisha nini, kama kuna mzanzibar atufafanulie, au tusiulize chochote,

On the other side, Wazanzibar miaka yote wapo huru kujadili kuhusu Zanzibar yao na kuongea chochote dhidi ya muungano, ila wabara hatujawahi kusema ni udini, ili hali tunajua madhira wanayopitia wakristo waishio Zanzibar.
hayo majinga hua yananikira sana, kwanza kwanza nimamtu ya shari tu, maswahili, mavivu, mapuuzi na mapumbavu
 
Zanzibar is a problem.
Nyanya
Nyama
Michele
Umeme
Unga
Maarifa
Vyoye wanachukulia huku. Hata Bei ya samaki Zanzibar iko juu kuliko Buguruni.
 
Ati wa zanzibar wanalalamika nini?.
 
Attachments

  • af175d76-0a10-4f32-9ce6-409d68b3fd83.mov
    9.8 MB
Hao wanapenda wakubague wao, wakibaguliwa wanakelele kweli.
 
Nijuavyo mimi, bara kuna waislam wengi mara zaidi ya 50 kuliko visiwani. lakini kila likiibuka jambo lolote kuquestion mambo ya kimuungano, kama hili la bandari, wanzanzibar huwa midomo juu wanasema tunaleta udini, udini unakujaje wakati bara kuna waislam kuliko visiwani? Au huwa mnamaanisha nini, kama kuna mzanzibar atufafanulie, au tusiulize chochote,

On the other side, Wazanzibar miaka yote wapo huru kujadili kuhusu Zanzibar yao na kuongea chochote dhidi ya muungano, ila wabara hatujawahi kusema ni udini, ili hali tunajua madhira wanayopitia wakristo waishio Zanzibar.

Pengo anawaambia wakristo kuwa mumepewa jukumu na mungu la kuulinda muungano

Labda utupe hiyo aya inayosema hivyo

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka waamini na wananchi kwa ujumla kutambua kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si jambo la bahati nasibu.

Kardinali Pengo ameyasema hayo ofisini kwake hivi karibuni alipoitisha vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki kuzungumzia pamoja na mambo mengine ongezeko la Parokia mpya jimboni kwake pamoja na mabadiliko kwa Maparoko na Maparoko Wasaidizi katika baadhi ya Parokia jimboni humo.

Asemema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.
 
Nijuavyo mimi, bara kuna waislam wengi mara zaidi ya 50 kuliko visiwani. lakini kila likiibuka jambo lolote kuquestion mambo ya kimuungano, kama hili la bandari, wanzanzibar huwa midomo juu wanasema tunaleta udini, udini unakujaje wakati bara kuna waislam kuliko visiwani? Au huwa mnamaanisha nini, kama kuna mzanzibar atufafanulie, au tusiulize chochote,

On the other side, Wazanzibar miaka yote wapo huru kujadili kuhusu Zanzibar yao na kuongea chochote dhidi ya muungano, ila wabara hatujawahi kusema ni udini, ili hali tunajua madhira wanayopitiaaav wakristo waishio Zanzibar.
Udini waibue, ila muungano bila serikali ya Tanganyika HAPANA.
 
Zanzibar inajengwa na Tanganyika halafu wanaleta kiburi.

zanzibar Inajengwa na Tanganyika wakati hiyo Tanganyika yenyewe iko hivi

1687116233877.png

Za
 
Zanzibar is a problem.
Nyanya
Nyama
Michele
Umeme
Unga
Maarifa
Vyoye wanachukulia huku. Hata Bei ya samaki Zanzibar iko juu kuliko Buguruni.

Ndiyo sera ya CCM inataka iwe hivyo , kabla ya uvamizi kulikuwa hakuna hayo mambo , Zanzibar yenyewe hivi sasa zaidi ya nusu ni watu wa bara kuanzia Congo kuja chini na Mashariki .
 
Swala la bandari kuja kuwekeza muarabu ndo mnasambaza meseji za udini mpka viongozi wenu wa dini wanakuja juu huoni kama sio chuki za wazi.

Nan asiyejua Zanzibar ni sehemu ya dini fulani ? lini mlienda kule kurefresh mkafukuzwa ?

Hata kama kusemwa kupo ila sio kumuandama mpendwa Rais wetu kwa maneno yenu ya kishamba , kumbuka swala limeanza tangu kweny teuzi zake .

Ndo mnasambaza ujumbe kweny magroup ya wakristo kwamba wote wagomee huo mkataba waungane eti nchi inaenda kuwa ya kiislamu ,hata yale masomo ya dini mlikuwa mnsambaza ule ujumbe kwamba eti dini ya kiislamu yatafundishwa kwa wote ...Wengi ni vichwa maji mna hoja dhaifu sana hazina mashiko kama wajinga yaani.

Jaalia ungekuwa wewe hizo nyuzi humu za kumsema Rais ungejisikiaje ? then unaandika maneno kirahisi tu kwamba eti wanaona udini.

Zanzibar ingekuwa mbali kama isingeungana na Tanganyika kaaa au ukubali ndo hivyo ,ingekuwa kamq Dubai.
 
Kwa kweli inasikitisha sana kuona Wa Tanganyika wanakataa Bandari kuendeshwa na Dubai, Wa Tanganyika wanaona kama ni unyonyaji na kutawaliwa na Waarabu.

Najua maumivu yenu juu ya hili, lakini nataka kuwaambia kuwa Maumivu ya Wa Zanzibar ni makubwa zaidi, ime cost damu za Wazanzibar juu ya kutawaliwa na Tanganyika, leo hii inajiita Tanzania bara.

Kila uchaguzi mnaleta vifaru na ma jeshi kuhalikisha kibaraka wenu Zanzibar anashinda uchaguzi hata wafe wazanzibar wote.

RAIS Samia usirudi nyuma huo mkataba n8 mzuri kama mkataba wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Tunakuomba na Airport zote ziwe chini ya Dubai .

ZANZIBAR KWANZA.
 
Sasa Wazanzibari, si muanzishe mchakato wa kujitenga!! Marais wa pande zote ni wa kwenu!! Mnashindwa nini kufanya maamuzi?

Sisi Watanganyika tutawapa ushirikiano kwa 💯%. Maana wengi wetu tunauona muungano wenyewe kama chenga tu.
 
Mdanganyeni tu!

Ndani ya CCM hakuna utaratibu wa kidemokrasia wa kumuwajibisha Mwenyekiti taifa hata akiboronga kama ilivyo kwa ANC ya SA.

Unadhani asipokubaliana na wengi watafanyaje? Usinipe jibu!
 
BTW: Nimelikumbuka hili bango lilipita mbele ya Rais Dr Shein.

FBJh7x8WUAUcdzb.jpg
 
Back
Top Bottom