Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
CCM wote wenye uchungu na Tanganyika tutahakikisha anang’oka 2025. Pia vipengele vya mkataba vinavyoiuza Tanganyika viondolewe!
 
Kweli kafanya madudu mengi kweli.

-Wafanyakazi wa watu walikua na mishahara mizuri tu ye kaenda kuwaongezea
-kaongeza mishahara kwa asilimia zaidi ya 20 kwa wenye mishahara midogo Atakua haifai huyu
-Tumtimue kwanini sasa hivi anatoa mikopo kwa wanafunzi wote
-halafu na pato la Taifa la mtu Mmoja mmoja kaliongeza mpaka all time high japo tuna janga la uchumi duniani haifai huyu
-Ona anavyoruhusu wapinzani waongee hii haikubaliki.

Sometime I wish huyu mama wa Watu ajiuzulu atokee Sukuma Gang mwengine ashike nchi, mpigwe tena virungu wee, mjazwe kibao mahabusu, musiongezewe mishahara, vijana wenu waanze kufanyishwa kazi Bure kwa kusingizia cha uzalendo kama miaka 20 hivi mtie akili kwanza. Maana shukran hamna.
Na bado akaiuza na Tanganyika kwa waarabu...
 
Kama kwa miaka miwili tu aliyorithi madaraka amweza kufanya madudu kama haya.

Akipata miaka mingine mitano itakuwaje? Wana CCM mfanye mabadiliko mwaka 2025 muweke mtu ambaye atakuwa na uchungu na Tanganyika.

Sakata la Loliondo kwa Waarabu, sakata la bandari kwa Waarabu.
Aaah wapi....huu upepo wa Dp world utapita tu.
 
Kweli kafanya madudu mengi kweli.

-Wafanyakazi wa watu walikua na mishahara mizuri tu ye kaenda kuwaongezea
-kaongeza mishahara kwa asilimia zaidi ya 20 kwa wenye mishahara midogo Atakua haifai huyu
-Tumtimue kwanini sasa hivi anatoa mikopo kwa wanafunzi wote
-halafu na pato la Taifa la mtu Mmoja mmoja kaliongeza mpaka all time high japo tuna janga la uchumi duniani haifai huyu
-Ona anavyoruhusu wapinzani waongee hii haikubaliki.

Sometime I wish huyu mama wa Watu ajiuzulu atokee Sukuma Gang mwengine ashike nchi, mpigwe tena virungu wee, mjazwe kibao mahabusu, musiongezewe mishahara, vijana wenu waanze kufanyishwa kazi Bure kwa kusingizia cha uzalendo kama miaka 20 hivi mtie akili kwanza. Maana shukran hamna.
Mshahara sio ardhi ya tanzania
 
Mshahara sio ardhi ya tanzania
Kuna watu wana Migodi huko wanachimba hata hawajulikani kiasi gani wanapata, Wana Airport humo humo kwenye Migodi yao, Nchi hii ina wawekezaji kibao waliopewa Ardhi, mbona sioni nyuzi nyingi humu zikipinga?
 
Mikataba inavipengele vya kuitana na kukaa mezani kujadili upya (kweli ya hovyo )

Ila sikama bandari ,mbona huelewi
 
Mikataba inavipengele vya kuitana na kukaa mezani kujadili upya (kweli ya hovyo )

Ila sikama bandari ,mbona huelewi
Bandari ndio ina Risk ndogo kuliko hayo mengine sababu wawekezaji wanaokuja ni wa Logistics, sisi tu naendelea kukusanya mapato wakati wao wanafanya logistics.

Ila kwenye Madini wanachimba wao, wanauza wao, kila kitu wanafanya wao mpaka mchanga wanachukua, halafu sisi tunakadiriwa 10% tunapewa.

Nchi zote kubwa Duniani zinahamia kwenye private-Public ports, Ukiangalia bandari kubwa zote zinaongozwa na private companies ila sisi tu naona hili sio zuri,

Ila Nchi hizo hizo ambazo bandari zao zinaongozwa na private companies madini yao yanasimamiwa na Serikali.

Huoni sisi ni mabingwa wa kuenda kinyume nyume? Sector za kubinafsisha hatutaki kubinafsisha ila ambazo ni nyeti tunabinafsisha?
 
Ukiwa na akili ndogo hivyo

Utabakia na neno Logistic
 
Ukiwa na akili ndogo hivyo

Utabakia na neno Logistic
Hawa wanapepo la kuuza kilakitu cha nchi hii Kisha wakae viti virefu baa kuanzia asubuhi hadi jioni ndio akili zao

Hata kwenye familia wapo wanawaza kuuza nyumba za uridhi kununua bodaboda.
 
Case Closed,
Wakipita kushoto wengine mnapita kulia halafu tuone mtafika pamoja au mtawaacha wafike kivyao,
Kwanza Spiki aliepitisha azimio hilo kwa nguvu kubwa hatakiwi kurudi bungeni na watanzania wote kwa umoja ni kuhamia jimbo atakalogombea, ili kumchangia mpinzani wake nguvu ya kampeni ili kumuangusha na kumwadabisha mipango iko jikoni tayari,
Turufu ya kura ya urais hii imekaa vizuri kwelikweli maana hiyo 2025, ni kuchagua Rais atakaerejesha nchi ya Tanganyika na Atakaevunja mikataba yao yote ya bandari kwa kutumia bunge jipya lenye weledi mkubwa,
Tutahitaji serikali ya Tanganyika, Serikali kamili ya Zanzibar na serikali ya shirikisho ya muungano ambayo haitokua na mamlaka kwenye upande wowote wa muungano yenyewe itakuepo kushauri tu vitu vichache,
La sivo warudi bungeni wafute huo utopolo wao then waanze kushauriwa namna bora ya kulinda maslahi ya nchi,
 
Mimi ni mmoja wa watu wasiotaka muungano huu unao wapendelea Wazanzibari kwenye suala la ardhi, yaani Mzanzibari akienda popote Tanganyika anaruhusiwa kununua ardhi, lakini Mtanganyika haruhusiwi kununua ardhi Zanzibar hata akiwa na kitambulisho cha Taifa kinacho tolewa na NIDA mpaka apate ukaazi wa kudumu wa nchi ya Zanzibar.

Huu ni sawa na ukoloni tu, imefika wakati tuwatimue wazanzibari wote huku bara au wakubali sisi tununue ardhi kule bila masharti ya hovyo kama haya yasasa. Inamaana ukaazi wa kudumu wa Zanzibar una hadhi ya juu kuliko uraia wa Tanzania?
 
Ukiwa una hela tu unapata ardhi hayo maneno yasikutishe. Watu wanajenga Zanzibar na sio Wakazi huko tena wapo wengi sana.
 
Ukiwa una hela tu unapata ardhi hayo maneno yasikutishe. Watu wanajenga Zanzibar na sio Wakazi huko tena wapo wengi sana.
Ninataka kununua gari huko zanzibar kisha nilitumie bara, nitumie njia gani maana kule bei zao ndogo kuliko huku kwa Dp world
 
Back
Top Bottom