darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,899
- 4,055
Ni wakati wa kumchinja asirudi tena 2025 viatu vya uraisi havimtoshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bado akaiuza na Tanganyika kwa waarabu...Kweli kafanya madudu mengi kweli.
-Wafanyakazi wa watu walikua na mishahara mizuri tu ye kaenda kuwaongezea
-kaongeza mishahara kwa asilimia zaidi ya 20 kwa wenye mishahara midogo Atakua haifai huyu
-Tumtimue kwanini sasa hivi anatoa mikopo kwa wanafunzi wote
-halafu na pato la Taifa la mtu Mmoja mmoja kaliongeza mpaka all time high japo tuna janga la uchumi duniani haifai huyu
-Ona anavyoruhusu wapinzani waongee hii haikubaliki.
Sometime I wish huyu mama wa Watu ajiuzulu atokee Sukuma Gang mwengine ashike nchi, mpigwe tena virungu wee, mjazwe kibao mahabusu, musiongezewe mishahara, vijana wenu waanze kufanyishwa kazi Bure kwa kusingizia cha uzalendo kama miaka 20 hivi mtie akili kwanza. Maana shukran hamna.
Aaah wapi....huu upepo wa Dp world utapita tu.Kama kwa miaka miwili tu aliyorithi madaraka amweza kufanya madudu kama haya.
Akipata miaka mingine mitano itakuwaje? Wana CCM mfanye mabadiliko mwaka 2025 muweke mtu ambaye atakuwa na uchungu na Tanganyika.
Sakata la Loliondo kwa Waarabu, sakata la bandari kwa Waarabu.
Mshahara sio ardhi ya tanzaniaKweli kafanya madudu mengi kweli.
-Wafanyakazi wa watu walikua na mishahara mizuri tu ye kaenda kuwaongezea
-kaongeza mishahara kwa asilimia zaidi ya 20 kwa wenye mishahara midogo Atakua haifai huyu
-Tumtimue kwanini sasa hivi anatoa mikopo kwa wanafunzi wote
-halafu na pato la Taifa la mtu Mmoja mmoja kaliongeza mpaka all time high japo tuna janga la uchumi duniani haifai huyu
-Ona anavyoruhusu wapinzani waongee hii haikubaliki.
Sometime I wish huyu mama wa Watu ajiuzulu atokee Sukuma Gang mwengine ashike nchi, mpigwe tena virungu wee, mjazwe kibao mahabusu, musiongezewe mishahara, vijana wenu waanze kufanyishwa kazi Bure kwa kusingizia cha uzalendo kama miaka 20 hivi mtie akili kwanza. Maana shukran hamna.
Kuna watu wana Migodi huko wanachimba hata hawajulikani kiasi gani wanapata, Wana Airport humo humo kwenye Migodi yao, Nchi hii ina wawekezaji kibao waliopewa Ardhi, mbona sioni nyuzi nyingi humu zikipinga?Mshahara sio ardhi ya tanzania
Mikataba inavipengele vya kuitana na kukaa mezani kujadili upya (kweli ya hovyo )Kuna watu wana Migodi huko wanachimba hata hawajulikani kiasi gani wanapata, Wana Airport humo humo kwenye Migodi yao, Nchi hii ina wawekezaji kibao waliopewa Ardhi, mbona sioni nyuzi nyingi humu zikipinga?
Bandari ndio ina Risk ndogo kuliko hayo mengine sababu wawekezaji wanaokuja ni wa Logistics, sisi tu naendelea kukusanya mapato wakati wao wanafanya logistics.Mikataba inavipengele vya kuitana na kukaa mezani kujadili upya (kweli ya hovyo )
Ila sikama bandari ,mbona huelewi
Ukiwa na akili ndogo hivyoBandari ndio ina Risk ndogo kuliko hayo mengine sababu wawekezaji wanaokuja ni wa Logistics, sisi tu naendelea kukusanya mapato wakati wao wanafanya logistics.
Ila kwenye Madini wanachimba wao, wanauza wao, kila kitu wanafanya wao mpaka mchanga wanachukua, halafu sisi tunakadiriwa 10% tunapewa.
Nchi zote kubwa Duniani zinahamia kwenye private-Public ports, Ukiangalia bandari kubwa zote zinaongozwa na private companies ila sisi tu naona hili sio zuri,
Ila Nchi hizo hizo ambazo bandari zao zinaongozwa na private companies madini yao yanasimamiwa na Serikali.
Huoni sisi ni mabingwa wa kuenda kinyume nyume? Sector za kubinafsisha hatutaki kubinafsisha ila ambazo ni nyeti tunabinafsisha?
Hawa wanapepo la kuuza kilakitu cha nchi hii Kisha wakae viti virefu baa kuanzia asubuhi hadi jioni ndio akili zaoUkiwa na akili ndogo hivyo
Utabakia na neno Logistic
Are you sane?Samia 2030 verified
Wanajenga kinyemela mkuuUkiwa una hela tu unapata ardhi hayo maneno yasikutishe. Watu wanajenga Zanzibar na sio Wakazi huko tena wapo wengi sana.
Ninataka kununua gari huko zanzibar kisha nilitumie bara, nitumie njia gani maana kule bei zao ndogo kuliko huku kwa Dp worldUkiwa una hela tu unapata ardhi hayo maneno yasikutishe. Watu wanajenga Zanzibar na sio Wakazi huko tena wapo wengi sana.