Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Hello 👋

Kuna watu wanaanza chokochoko zq kutaka muungano uvunjike na wanachokifanya wanaenda sehemu yenye kusanyiko kubwa la watu wana wajaza ujinga sana mwisho wa siku wawachukue hao watu waende barabarani

Kama hamjui hii amani iliipo kuna watu walipambana iwepo na ndio maana ww unatumia amani iyo iyo kuvuruga nchi leo mnataka watu wote tupinge Bandar tupinge muungano kinacho kuja zaliwa ni vita

Baada ya vita kunazaliwa wakimbizi wakati uho tundu lissu familia yake kaipakiza kwenye ndege inaenda ubeligiji

Ninyi msio na visa wala 🛂 wala pesa ya kutafuta passport 🛂 iliko ndio mtakuwa mnatanga njian ndani hamp nje hakukaliki acheni kufwatisha na kufwata mikumbo itawaponza

Wahenga walisema usianzishe ugomvi wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo walikuwa na maana sana wengi humu mtandaoni wapo bize kuvuruga akili za watu now days sio kama kipindi kile cha kuwaambia watz ingien barabarani na wakaingia iyo hamna kabisa now

Watu mnavaa bendera za tanganyika si uchokozi uho? Juzi kuna mmoja Alienda kariakoo kuongea na watu wa kariakoo baada ya kuona huko alikotoka hakuna watu wanao muwelewa kufika kariakoo kabwabwaja atakavyo wakamshangilia kinafiki mambo aliyo ongea watu waliyaachia palepale na kumuachia mwenyewe nimewapenda sana watu kariakooo kunyweni soda hapo Azam naja nalipa
 
Sasa muungano ukivunjika vita inatoka wapi? Wee ndio mchochezi.
 
Unafikiri kila mtu anataka uvunjike uku dar wapemba wamejaa tele kariakoo wanafanya biashara nenda Zanzibar wapo wasukuma wengi na wamasai kule wanafanya biashara unafikili ukivunjika hawa watu wataishi vipi?
 
Mbona bendera ya Zanzibar ipo kwanini ya Tanganyika iwe shida?
 
Unafikiri kila mtu anataka uvunjike uku dar wapemba wamejaa tele kariakoo wanafanya biashara nenda Zanzibar wapo wasukuma wengi na wamasai kule wanafanya biashara unafikili ukivunjika hawa watu wataishi vipi?
kwa akili yako kuuvunja ni kuwafukuza? ni kiasi cha kuwambia waamue wawe raia wa nchi gani. Sasa muungano gani nchi ina Marais wawili? bendera mbili tofauti, Mamlaka za Mapato mbili tofauti. ila mapato ta upande mmoja yanatumika mpaka upande wa pili? Kama ni muungano basi zanzibar Mkoa tu. Sio wazenji Ruksa kuajiriwa bara ila wa Tanganyika hawaruhusiwi kuajiriwa Zanzibar. Kifupi Huu ni muungano wa kushangaza sana. Unaweza kuwa ni moja ya kivutio cha utalii...

# Zanzibar ni koloni letu.
 
Unafikiri kila mtu anataka uvunjike uku dar wapemba wamejaa tele kariakoo wanafanya biashara nenda Zanzibar wapo wasukuma wengi na wamasai kule wanafanya biashara unafikili ukivunjika hawa watu wataishi vipi?
Mbona kuna wafanyabiashara wakenya waganda wakongo wapo Tanzania shida iko wapi hao wapemba kuendelea na biashara zao? Ni taratibu tu zitawekwa sawa mambo yataendelea kama kawaida
 
W

Ewe huu muungano watu walipigania hawakutumia siku moja wakapa muungano ndio maana ww umezaliwa umeukuta
 
We umeona wapi muungano wa hivi? Zinaungana nchi nchi mbili alafu zinatokea nchi mbili yaani hauna maana yoyote. Ilitakiwa kama ni lazima kuungana basi iwe ni nchi moja tu au Serikali tatu. Yaani muungano wa changu ni changu, chako changu ndo muungano gani? Yaani chochote kinachoihusu Tanzania wanzanzibari kinawahusu ila kinachoihusu Zanzibar watanganyika hakiwahusu ndo nini sasa hii?
 
Mimi sijawai kuishi Zanzibar kwahiyo sina huwakika na ulisemalo ila nimekaa na wapemba ni watu safi sna
 
Mimi sijasema wanzanzibari sio watu safi, mimi sitaki muungano wa hivi hauna faida yoyote kwetu. Nilichokiongea hapo maana yake ni hii: Unapoongelea Tanzania, na wanzanzibari pia wapo ndani yake kwasababu Tanzania ni muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar hivyo chochote cha Tanzania wanzanzibari ni chao pia ndomana wao huku wana haki zoote hata kugombea uongozi wowote ule. Unapoiongelea Zanzibar ni ya wanzanzibari tu wewe unayetoka bara huwezi kwenda kugombea uongozi Zanzibar huruhusiwi hata kumiliki ardhi hauwezi, na hata ukimiliki utamiliki kama raia wa kigeni anavyomiliki sio kama mzanzibari. Sasa huu ndo muungano gani?
 
Basi ni vyema tukashauri vile tunavyo ona vibaya viboreshwe na sio kupinga usiwepo
 
Kama ni muhimu kuwa na muungano basi Dawa ni Serikali tatu, tukutane katika shirikisho baasi, kila mtu afanye yake kwa haki sawa na amani.
 
Waliounganisha walikuwa na sababu zao binafsi zaidi hasa Nyerere. Na sababu hizo si Hitaji tena kwa sasa. KWANI NI NINI FAIDA ZA HUU MUUNGANO KWA PANDE ZOTE? TUPE TATU TU
 
Tatizo lilianzia kipind cha mchonga pale alipochagua sera ya ucomunist ule wa kinomanoma bila kuzingatia mazingira na tamaduni za mtanganyika mpaka ikapelekea kuwaamisha baadh ya wananchi ktk vijij vyao bila kuzingatia wamewekeza kwa kiwango gani.lkn hakuishia hapo akaanzisha utaratibu wa mikataba kuwa siri na kulingana na ubinafs wa viongoz wetu waliompokea kijiti hakuna aliyethubutu kuubadilisha.

Miongon mwa sera zinazoidumaza bongo ni hii ya mikataba kuwa siri hii hupelekea tabaka la wafanya maamuz kuingia mikataba ya hovyo ambayo kwa upande wao inawatajirisha kwa kiwango kikubwa bila kuzingatia maslah ya nchi.

Ukiwafatilia wanasiasa wengi wamepata utajiri usiomithilika ambao wao wenyew wanaona aibu kuutolea maelezo kuwa wameupata vp,ingawaje kuna sheria ya utumish wa umma ambayo inawalazimisha kuelezea kuhusu mali wanazomilik lkn kutokana na ubinafs wao hiyo sheria hawaitekelez.

Baadh yetu tunataman bongo yetu ipate katiba mpya tukiamin utakua mwarobain wa baadh ya changamoto lkn najiuliza kwa namna hawa walioshika mpini walivyokuwa na ubinafs uliopitiliza je itapatikana inayozingatia maslah ya nchi au itapatikana itakayowalinda kutokana na madudu na maslah yao.

Wananzengo tufanyeje ili tuondokane na hawa wabinafs waliopitiliza ili kuilinda bongo yetu???
 
Back
Top Bottom