Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Mkuu nielewe kwanini wanadai sasa ili hali alie uua Tanganyika wana mjua na walishirikiana nae, huo ni uonevu kwa utawala wa sasa.
Sio uonevu maana walioamua kwa wakati ule ilikuwa sahihi. nchi ilikuwa na changamoto nyingi.

Nini kinaahindkana kuirejesha ikiwa raia wanaitaka.
Tangu Enzi Wazanzibaru wanaitaka Nchi yao. Sasa Na watanganyika wanaitaka. Ni muda mwafaka kuzingatia haya matakwa. Tuache kuishi nyakati zilizopita
 
Hizo chagamoto zilio sababisha Tanganyika iuliwe unazijua je zimesha isha kwa wakati waRaisi Samia sio kwa wakati wa mtangulizi wake?
 
"Aibu kubwa kuliko zote ni pale ambapo Taifa la TANGANYIKA linataka kuangamizwa huku sisi Watanganyika tukiwapigia makofi wenye nia ovu" - Nukuu kutoka kwa Askofu Gervas Nyaisonga
Baba askofu Gervas Nyaisonga amewaonya watanganyika na serikali juu ya nchi yao akisema

"Aibu kubwa kuliko zote ni pale ambapo Taifa la TANGANYIKA kinataka kuangamizwa huku sisi watanganyika tukiwapigia makofi wenye nia ovu"

Source :askofu mwamkula

Watanganyika amkeni mkiona hadi wazee kwenye kijiji wanapiga kelele mjue nchi yenu ipo hatarini...

Sio kawaida ya askofu Nyaisonga kutoa maoni haya

. watanganyika dubai anamilikishwa nchi nyie mmelala usingizi wa pono mtatesa wajukuu na vitukuu vyenu
Maneno kuntu kutoka kwa askofu ambaye pia ni Rais wa TEC. Imefika wakati wa kuiweka kando serikali ya CCM. Taasisi muhimu ambazo zilikuwa zikiibeba naona sasa zinaonyesha kuikinai.

Vimebakia vyombo vya ulinzi na usalama ndivyo pekee vimebakia kuwa mbeleko chakavu vyenye kukibeba chama hiki kichovu. Yaani badala ya kujibu hoja kuhusu ubovu wa vifungu vilivyopo ndani ya mkataba wa kimangungo, wao wanautetea kwa hoja za udini. Shwaini kabisa, kenge wa bluu hawa
 
Muulize walivyoiba hela za escrow walipata adhabu gani?
Wewe kila siku umekazania hela za Escrow hivi ni nani alisema zile pesa siyo za umma si huyo mwenzenu JK akiwambia wazee wa Dar? Wote tulisema za umma huyo baba yenu akasema siyo za umma ni za yule muhindi na yule mhaya!!???
 
Baba askofu Gervas Nyaisonga amewaonya watanganyika na serikali juu ya nchi yao akisema

"Aibu kubwa kuliko zote ni pale ambapo Taifa la TANGANYIKA kinataka kuangamizwa huku sisi watanganyika tukiwapigia makofi wenye nia ovu"

Source :askofu mwamkula

Watanganyika amkeni mkiona hadi wazee kwenye kijiji wanapiga kelele mjue nchi yenu ipo hatarini...

Sio kawaida ya askofu Nyaisonga kutoa maoni haya

. watanganyika dubai anamilikishwa nchi nyie mmelala usingizi wa pono mtatesa wajukuu na vitukuu vyenu
Kwa ñini mnatanguliza neno 'baba' nyuma ya padre na askofu!?..ni baba wa nani!?
 
Tanganyika vijana wako busy na mpira wa Azam league!
NBC super league...
Wana Beti na kuchaniwa mikeka huko English Premiere League!

Siasa wamewaachia wazee kina DK Slaa!

Wao wanacheza Fiesta usiku wakisha kula vyakula vya familia za wazazi wao wastaafu
Acheni ubaguzi wa kijinga wa kuiweka Tanganyika,mwambie aende mahakamani..au walishamtuma mwabukusi!?
 
Hapana. hii Tanganyika yetu haitaangamizwa na wenye nia ovu.
 
wanataka tuandamane tuache familia zetu
Tundu Lissu aliwahi kusema ya kwamba Lowassa ni fisadi. Wakati Lowassa anaenda CHADEMA 2015 akaikana kauli yake eti ya kwamba hakusema. Hapo ndio nikajua kumbe watu wanapigania matumbo yao tu katika hizi siasa.

Mkuu, I'll never vote a ballot mpaka siku ninakufa. Na hii nimeapa. Mungu amewezesha nizaliwe katika bara la hovyo sana.
 
Wadau nawasabahi.

Naomba nije kwenye Mada yangu.

Watanzania MZANZIBAR kutoka Zanzibar yupo HURU kugombea na Tumeshuhudia Mzee MWINYI Mzanzibar akiwa Rais wa Tanzania vile vile na RAIS SAMIA ambaye pia ni Mzanzibar Hapo inaonyesha URAIS wa TANZANIA ni wa MUUNGANO.

URAIS wa ZANZIBAR ni wa WAZANZIBAR TU hakuna MTANGANYIKA aliyewahi kugombea au kuwa RAIS.Ili MUUNGANO uwe sawa ni Vema na TANGANYIKA ikawepo ili URAIS wa TANGANYIKA ugombewe na Mtanganyika tu kama ilivyo ZANZIBAR na kwa kuwa TANGANYIKA na ZANZIBAR ziliungana na Kuzaa TANZANIA basi URAIS wa TANZANIA ugombewe na Mgombea kutoka Tanganyika au Zanzibar ili kuonyesha MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar.
 
Back
Top Bottom