MADAXWEYNE
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,562
- 3,380
Uhamiaji mpo wapi ? Huyu mkataa ndoa ni mhutu kabisaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati zimepita mbona anadai vitu vya wakati ulio pita, achana navyo huo ni unafiki na chuki kwa viongozi wasasa.Pia nyakati zimebadilika acha fikra za kijima
Wanaodai Tanganyika ni watanganyika wewe shida yako ni nini hasa?Wakati zimepita mbona anadai vitu vya wakati ulio pita, achana navyo huo ni unafiki na chuki kwa viongozi wasasa.
Mkuu nielewe kwanini wanadai sasa ili hali alie uua Tanganyika wana mjua na walishirikiana nae, huo ni uonevu kwa utawala wa sasa.Wanaodai Tanganyika ni watanganyika wewe shida yako ni nini hasa?
Sio uonevu maana walioamua kwa wakati ule ilikuwa sahihi. nchi ilikuwa na changamoto nyingi.Mkuu nielewe kwanini wanadai sasa ili hali alie uua Tanganyika wana mjua na walishirikiana nae, huo ni uonevu kwa utawala wa sasa.
Je vijana waliandaliwa kuwa na msimamo?Wazee wanapambania Taifa vijana wana bett.. Nchi ya ajabu sana hii
Nani alikuambia tunatubu kwenye Groto ya Bikra Maria?
Hizo chagamoto zilio sababisha Tanganyika iuliwe unazijua je zimesha isha kwa wakati waRaisi Samia sio kwa wakati wa mtangulizi wake?Sio uonevu maana walioamua kwa wakati ule ilikuwa sahihi. nchi ilikuwa na changamoto nyingi.
Nini kinaahindkana kuirejesha ikiwa raia wanaitaka.
Tangu Enzi Wazanzibaru wanaitaka Nchi yao. Sasa Na watanganyika wanaitaka. Ni muda mwafaka kuzingatia haya matakwa. Tuache kuishi nyakati zilizopita
Maneno kuntu kutoka kwa askofu ambaye pia ni Rais wa TEC. Imefika wakati wa kuiweka kando serikali ya CCM. Taasisi muhimu ambazo zilikuwa zikiibeba naona sasa zinaonyesha kuikinai.Baba askofu Gervas Nyaisonga amewaonya watanganyika na serikali juu ya nchi yao akisema
"Aibu kubwa kuliko zote ni pale ambapo Taifa la TANGANYIKA kinataka kuangamizwa huku sisi watanganyika tukiwapigia makofi wenye nia ovu"
Source :askofu mwamkula
Watanganyika amkeni mkiona hadi wazee kwenye kijiji wanapiga kelele mjue nchi yenu ipo hatarini...
Sio kawaida ya askofu Nyaisonga kutoa maoni haya
. watanganyika dubai anamilikishwa nchi nyie mmelala usingizi wa pono mtatesa wajukuu na vitukuu vyenu
Wewe kila siku umekazania hela za Escrow hivi ni nani alisema zile pesa siyo za umma si huyo mwenzenu JK akiwambia wazee wa Dar? Wote tulisema za umma huyo baba yenu akasema siyo za umma ni za yule muhindi na yule mhaya!!???Muulize walivyoiba hela za escrow walipata adhabu gani?
Halafu wanatamba wamesoma na Wana akili
Kwa ñini mnatanguliza neno 'baba' nyuma ya padre na askofu!?..ni baba wa nani!?Baba askofu Gervas Nyaisonga amewaonya watanganyika na serikali juu ya nchi yao akisema
"Aibu kubwa kuliko zote ni pale ambapo Taifa la TANGANYIKA kinataka kuangamizwa huku sisi watanganyika tukiwapigia makofi wenye nia ovu"
Source :askofu mwamkula
Watanganyika amkeni mkiona hadi wazee kwenye kijiji wanapiga kelele mjue nchi yenu ipo hatarini...
Sio kawaida ya askofu Nyaisonga kutoa maoni haya
. watanganyika dubai anamilikishwa nchi nyie mmelala usingizi wa pono mtatesa wajukuu na vitukuu vyenu
Acheni ubaguzi wa kijinga wa kuiweka Tanganyika,mwambie aende mahakamani..au walishamtuma mwabukusi!?Tanganyika vijana wako busy na mpira wa Azam league!
NBC super league...
Wana Beti na kuchaniwa mikeka huko English Premiere League!
Siasa wamewaachia wazee kina DK Slaa!
Wao wanacheza Fiesta usiku wakisha kula vyakula vya familia za wazazi wao wastaafu
Umweka neno groto pahala pa sanamu ili kulipa hadhi Hilo zege!Nani alikuambia tunatubu kwenye Groto ya Bikra Maria?
Muchas GraciasSasa humu jukwa la siasa unatafuta nini?
Tundu Lissu aliwahi kusema ya kwamba Lowassa ni fisadi. Wakati Lowassa anaenda CHADEMA 2015 akaikana kauli yake eti ya kwamba hakusema. Hapo ndio nikajua kumbe watu wanapigania matumbo yao tu katika hizi siasa.wanataka tuandamane tuache familia zetu