MrFroasty
JF-Expert Member
- Jun 23, 2009
- 1,195
- 595
Ndugu zangu kama mlikuwa hamjui sasa mjue hili. Kuna mkono wa Marekani katika muafaka kati ya Seif and Amani. Hii ni kutokana na ukweli kuwa baadhi ya Wazanzibar waliokimbilia Somalia kuna baadhi ambao hawajarudi na wamejiunga na Alshabab na wamefundishwa mambo ya kushambulia kwa mabomu na wangetekeleza mauaji makubwa sana wakati wa uchaguzi. Sas ingetumika kigezo kuwa ni watu wa CUF kumbe sio, sasa ukishakuwa na watu wa CUF na CCM wanaelewana ni rahisi kugundua hawa Alshabab. Inahisiwa hata nyumba zilizochomwa walihusika....
Habari njema hizi kwa wale wanyonge wa kizanzibari kupata watu wa kuwatetea.Mulizani mutakuwa mukiwapiga bakora tuu na wao kulia bila ya mtetesi?
Ukimtesa mnyonge hupata wahisani, na kwa Zanzibar wahisani wanaweza kuwa wa aina hii Alshabab, Alqaida au Al-Taliban.Kwa hiyo kosa ni lenu Tanganyika, na hata muungano ukivunjika kosa pia ni lenu.
Mie ilinisikitisha sana kuona video pale Youtube wazanzibari wakipigwa bakora na watanganyika...halafu nyie mukifurahi kabisa huku mukipata Larger.
Hakuna hata kiongozi mmoja wa muungano aliekemea mauji ya 2001, watu wanafanyiwa kila aina ya unyama huko Pemba na Unguja, watu wanaporwa hadi kwenye video za Youtube tunaona watu waporwa pesa mifuko, huku wakipigishwa vichura na kutiwa maji machafu!...Wengine binti zao wamelawitiwa...basi ni uchafu mtupu!
Mie wala siingii majonzi nikiona Alqaeda au Alshabab wakisaidia ndugu zao wa kiislamu...ni sawa kabisa!