xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,302
- 5,379
au 3 ili haya mataifa yasipoteze identity zao au vp mkuuKama Zanzibar wako serious wanautaka muungano tuunde serikali moja tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
au 3 ili haya mataifa yasipoteze identity zao au vp mkuuKama Zanzibar wako serious wanautaka muungano tuunde serikali moja tu.
Sureau 3 ili haya mataifa yasipoteze identity zao au vp mkuu
Mkuu ninaomba unisaidie nifahamu faida Za huo Muungano kwa watanganyika?au 3 ili haya mataifa yasipoteze identity zao au vp mkuu
Gharama za muungano kwa mfano mishahara ya majeshi yetu.Sasa Zanzibar tunashea gharama gani 50/50 kwenye muungano? Tuelimishane ankali.
Sasa mbona kama zanzibar inatupelekesha? Ajira wanalamba na mabilioni pia!!!!Nyerere aliona nini Zanzibar??..
Kuna namna tunapata namna ya kujilinda vizuri kiulinzi tukiikalia Zanzibar?.
Nchi moja inakuwaje na serikali mbili bwashee?!Kugawa 50/50 ni tafsiri ya sheria bila busara.
Japo kisheria ni halali Zanzibar ipate 50, busara hairuhusu jambo hilo.
Busara ni elimu itokanayo na uzoefu katika maisha.
Halafu lengo la Muunguno wetu halikuwa la kuwa na nchi mbili.
Waasisi walituachia nchi moja yenye serikali mbili.
Katiba ya JMT inatambua kuwa Tanzania ni nchi moja yenye serikali 2, ila Zanzibar katiba yao inasema Tanzania ni nchi 2 yenye serikali 2.
Kwa kuwa Tanzania ndiyo inatambulika, basi Katiba ya JMT ndiyo ya kifuata kwamba tuna nchi 1 yenye serikali 2 ya Muunguno na ya SMZ, hivyo basi hakuna uhalali wa Zanzibar kudai mgawanyo wa kimataifa bali ipate mgao wa kitaifa kama mkoa mwingine wowote.
Siyo kweli.Gharama za muungano kwa mfano mishahara ya majeshi yetu.
Ndivyo ilivyo sasa siyo utapeli.Huo ni utapeli wa kisiasa.
Tupe ukweli!Siyo kweli.
Usalama. Inasemekana Zanzibar ni security view point ya Tanganyika, yaani sehemu nzuri ya kuratibu usalama wa Tanganyika ni pale Zanzibar.Mkuu ninaomba unisaidie nifahamu faida Za huo Muungano kwa watanganyika?
Mkuu serikali ya Muungano ina cover tanganyika na Zanzibar na SMZ ina cover Zanzibar tu. Maana yake Zanzibar kuna serikali mbili bara kuna serikali moja. Kwa hiyo tuna serikali tatu. 1 serikali ya SMZKugawa 50/50 ni tafsiri ya sheria bila busara.
Japo kisheria ni halali Zanzibar ipate 50, busara hairuhusu jambo hilo.
Busara ni elimu itokanayo na uzoefu katika maisha.
Halafu lengo la Muunguno wetu halikuwa la kuwa na nchi mbili.
Waasisi walituachia nchi moja yenye serikali mbili.
Katiba ya JMT inatambua kuwa Tanzania ni nchi moja yenye serikali 2, ila Zanzibar katiba yao inasema Tanzania ni nchi 2 yenye serikali 2.
Kwa kuwa Tanzania ndiyo inatambulika, basi Katiba ya JMT ndiyo ya kufuata kwamba tuna nchi 1 yenye serikali 2 ya Muunguno na ya SMZ, hivyo basi hakuna uhalali wa Zanzibar kudai mgawanyo wa kimataifa bali ipate mgao wa kitaifa kama mkoa mwingine wowote.
Usalama siku hizi kulingana na technology kuna cha ukaribu tena?Usalama. Inasemekana Zanzibar ni security view point ya Tanganyika, yaani sehemu nzuri ya kuratibu usalama wa Tanganyika ni pale Zanzibar.
Pia, Zanzibar ikiachwa peke yake, yataibuka madai ya zamani kwamba Dar es Salaam ni eneo la Zanzibar.
Kingine, CCM na Muungano ni kitu kimoja. Muunguno ukifa CCM ipo hatarini.
Tafsiri yako ya "Serikali ya Muunguno Zanzibar" inafikirisha.Mkuu serikali ya Muungano ina cover tangential na Zanzibar na SMZ ina cover Zanzibar tu. Maana yake Zanzibar kuna serikali mbili bara kuna serikali moja. Kwa hiyo tuna serikali tatu. 1 serikali ya SMZ
2. Serikali ya Muungano bara
3. Serikali ya Muungano Zanzibar
Huoni huu ni utata wa kimataifa tena ukizingatia bara kuna wasomi Bado hawaelewi hili jambo?
Mkuu ninakubaliana na kauli yako, ila huoni wazanzibar wanatuona mazuzu Sisi watanganyika?Tafsiri yako ya "Serikali ya Muunguno Zanzibar" inafikirisha.
Ni hivi, Jamhuri ya Muunguno ina Mihimili: Mahakama, Bunge na Serikali.
Mahakama ya Muungano zinaanzia Mahakama ya Mwanzo, Wilaya, Mkoa, Mahakama Kuu, Mahakama ya Rufaa hadi Mahakama ya Kikatiba. Lakini, Mahakama ambazo tuna-share na Zanzibar ni Mahakama ya Rufaa na ile ya Katiba. Hizo nyingi, Zanzibar wana za kwao.
Kuhusu Serikali, Zanzibar wana serikali yao ya SMZ ya kuamua mambo yao ambayo siyo ya Muungano.
Bunge pia lipo Zanzibar na kimsingi, Bunge la JMT ni kama halina mamlka kamili na eneo la Zanzibar kwa sababu hata likitunga sheria, sheria haitimiki Zanzibar kabla haijapitishwa na Bunge la Zanzibar.
Halafu viongozi kama Waziri Mkuu wa JMT hatambuliki Zanzibar kikatiba.
Una pweinti!Tafsiri yako ya "Serikali ya Muunguno Zanzibar" inafikirisha.
Ni hivi, Jamhuri ya Muunguno ina Mihimili: Mahakama, Bunge na Serikali.
Mahakama ya Muungano zinaanzia Mahakama ya Mwanzo, Wilaya, Mkoa, Mahakama Kuu, Mahakama ya Rufaa hadi Mahakama ya Kikatiba. Lakini, Mahakama ambazo tuna-share na Zanzibar ni Mahakama ya Rufaa na ile ya Katiba. Hizo nyingi, Zanzibar wana za kwao.
Kuhusu Serikali, Zanzibar wana serikali yao ya SMZ ya kuamua mambo yao ambayo siyo ya Muungano.
Bunge pia lipo Zanzibar na kimsingi, Bunge la JMT ni kama halina mamlka kamili na eneo la Zanzibar kwa sababu hata likitunga sheria, sheria haitimiki Zanzibar kabla haijapitishwa na Bunge la Zanzibar.
Halafu viongozi kama Waziri Mkuu wa JMT hatambuliki Zanzibar kikatiba.
Hapana wabara ndio wanawaona wavisiwani mazuzu!Mkuu ninakubaliana na kauli yako, ila huoni wazanzibar wanatuona mazuzu Sisi watanganyika?
Ni kweli ila tunaonekana na wenzetu kama hatujaenda shule vile au wajinga fulani vileUna pweinti!
kijamii...zanzibar tumeingiliana nao zaidi ya 200yrsMkuu ninaomba unisaidie nifahamu faida Za huo Muungano kwa watanganyika?
Kivipi?Hapana wabara ndio wanawaona wavisiwani mazuzu!