Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Mataifa mawili na si idadi ya watu. Kihalali mgao wowote ulitakiwa uwe 50/50

Kugawa 50/50 ni tafsiri ya sheria bila busara.

Japo kisheria ni halali Zanzibar ipate 50, busara hairuhusu jambo hilo.

Busara ni elimu itokanayo na uzoefu katika maisha.

Halafu lengo la Muunguno wetu halikuwa la kuwa na nchi mbili.

Waasisi walituachia nchi moja yenye serikali mbili.

Katiba ya JMT inatambua kuwa Tanzania ni nchi moja yenye serikali 2, ila Zanzibar katiba yao inasema Tanzania ni nchi 2 yenye serikali 2.

Kwa kuwa Tanzania ndiyo inatambulika, basi Katiba ya JMT ndiyo ya kufuata kwamba tuna nchi 1 yenye serikali 2 ya Muunguno na ya SMZ, hivyo basi hakuna uhalali wa Zanzibar kudai mgawanyo wa kimataifa bali ipate mgao wa kitaifa kama mkoa mwingine wowote.
 
Nyerere aliona nini Zanzibar??..

Kuna namna tunapata namna ya kujilinda vizuri kiulinzi tukiikalia Zanzibar?.
Sasa mbona kama zanzibar inatupelekesha? Ajira wanalamba na mabilioni pia!!!!
 
Kugawa 50/50 ni tafsiri ya sheria bila busara.

Japo kisheria ni halali Zanzibar ipate 50, busara hairuhusu jambo hilo.

Busara ni elimu itokanayo na uzoefu katika maisha.

Halafu lengo la Muunguno wetu halikuwa la kuwa na nchi mbili.

Waasisi walituachia nchi moja yenye serikali mbili.

Katiba ya JMT inatambua kuwa Tanzania ni nchi moja yenye serikali 2, ila Zanzibar katiba yao inasema Tanzania ni nchi 2 yenye serikali 2.

Kwa kuwa Tanzania ndiyo inatambulika, basi Katiba ya JMT ndiyo ya kifuata kwamba tuna nchi 1 yenye serikali 2 ya Muunguno na ya SMZ, hivyo basi hakuna uhalali wa Zanzibar kudai mgawanyo wa kimataifa bali ipate mgao wa kitaifa kama mkoa mwingine wowote.
Nchi moja inakuwaje na serikali mbili bwashee?!
 
Mkuu ninaomba unisaidie nifahamu faida Za huo Muungano kwa watanganyika?
Usalama. Inasemekana Zanzibar ni security view point ya Tanganyika, yaani sehemu nzuri ya kuratibu usalama wa Tanganyika ni pale Zanzibar.

Pia, Zanzibar ikiachwa peke yake, yataibuka madai ya zamani kwamba Dar es Salaam ni eneo la Zanzibar.

Kingine, CCM na Muungano ni kitu kimoja. Muunguno ukifa CCM ipo hatarini.
 
Kugawa 50/50 ni tafsiri ya sheria bila busara.

Japo kisheria ni halali Zanzibar ipate 50, busara hairuhusu jambo hilo.

Busara ni elimu itokanayo na uzoefu katika maisha.

Halafu lengo la Muunguno wetu halikuwa la kuwa na nchi mbili.

Waasisi walituachia nchi moja yenye serikali mbili.

Katiba ya JMT inatambua kuwa Tanzania ni nchi moja yenye serikali 2, ila Zanzibar katiba yao inasema Tanzania ni nchi 2 yenye serikali 2.

Kwa kuwa Tanzania ndiyo inatambulika, basi Katiba ya JMT ndiyo ya kufuata kwamba tuna nchi 1 yenye serikali 2 ya Muunguno na ya SMZ, hivyo basi hakuna uhalali wa Zanzibar kudai mgawanyo wa kimataifa bali ipate mgao wa kitaifa kama mkoa mwingine wowote.
Mkuu serikali ya Muungano ina cover tanganyika na Zanzibar na SMZ ina cover Zanzibar tu. Maana yake Zanzibar kuna serikali mbili bara kuna serikali moja. Kwa hiyo tuna serikali tatu. 1 serikali ya SMZ
2. Serikali ya Muungano bara
3. Serikali ya Muungano Zanzibar
Huoni huu ni utata wa kimataifa tena ukizingatia bara kuna wasomi Bado hawaelewi hili jambo?
 
Usalama. Inasemekana Zanzibar ni security view point ya Tanganyika, yaani sehemu nzuri ya kuratibu usalama wa Tanganyika ni pale Zanzibar.

Pia, Zanzibar ikiachwa peke yake, yataibuka madai ya zamani kwamba Dar es Salaam ni eneo la Zanzibar.

Kingine, CCM na Muungano ni kitu kimoja. Muunguno ukifa CCM ipo hatarini.
Usalama siku hizi kulingana na technology kuna cha ukaribu tena?

Ccm ikifa watanzania watakuwa wamekufa? Mbona Kanu ilikufa na wakenya wapi na wanachapa kazi?

Haya Madai ya Dar kuwa Zanzibar wacha yaibuke wasomi Peter Kibatala tutawatuma UN kupiga hiyo kesi
 
Mkuu serikali ya Muungano ina cover tangential na Zanzibar na SMZ ina cover Zanzibar tu. Maana yake Zanzibar kuna serikali mbili bara kuna serikali moja. Kwa hiyo tuna serikali tatu. 1 serikali ya SMZ
2. Serikali ya Muungano bara
3. Serikali ya Muungano Zanzibar
Huoni huu ni utata wa kimataifa tena ukizingatia bara kuna wasomi Bado hawaelewi hili jambo?
Tafsiri yako ya "Serikali ya Muunguno Zanzibar" inafikirisha.

Ni hivi, Jamhuri ya Muunguno ina Mihimili: Mahakama, Bunge na Serikali.

Mahakama ya Muungano zinaanzia Mahakama ya Mwanzo, Wilaya, Mkoa, Mahakama Kuu, Mahakama ya Rufaa hadi Mahakama ya Kikatiba. Lakini, Mahakama ambazo tuna-share na Zanzibar ni Mahakama ya Rufaa na ile ya Katiba. Hizo nyingi, Zanzibar wana za kwao.

Kuhusu Serikali, Zanzibar wana serikali yao ya SMZ ya kuamua mambo yao ambayo siyo ya Muungano.

Bunge pia lipo Zanzibar na kimsingi, Bunge la JMT ni kama halina mamlka kamili na eneo la Zanzibar kwa sababu hata likitunga sheria, sheria haitimiki Zanzibar kabla haijapitishwa na Bunge la Zanzibar.

Halafu viongozi kama Waziri Mkuu wa JMT hatambuliki Zanzibar kikatiba.
 
Mkuu ninakubaliana na kauli yako, ila huoni wazanzibar wanatuona mazuzu Sisi watanganyika?
 
Tafsiri yako ya "Serikali ya Muunguno Zanzibar" inafikirisha.

Ni hivi, Jamhuri ya Muunguno ina Mihimili: Mahakama, Bunge na Serikali.

Mahakama ya Muungano zinaanzia Mahakama ya Mwanzo, Wilaya, Mkoa, Mahakama Kuu, Mahakama ya Rufaa hadi Mahakama ya Kikatiba. Lakini, Mahakama ambazo tuna-share na Zanzibar ni Mahakama ya Rufaa na ile ya Katiba. Hizo nyingi, Zanzibar wana za kwao.

Kuhusu Serikali, Zanzibar wana serikali yao ya SMZ ya kuamua mambo yao ambayo siyo ya Muungano.

Bunge pia lipo Zanzibar na kimsingi, Bunge la JMT ni kama halina mamlka kamili na eneo la Zanzibar kwa sababu hata likitunga sheria, sheria haitimiki Zanzibar kabla haijapitishwa na Bunge la Zanzibar.

Halafu viongozi kama Waziri Mkuu wa JMT hatambuliki Zanzibar kikatiba.
Una pweinti!
 
Mkuu ninaomba unisaidie nifahamu faida Za huo Muungano kwa watanganyika?
kijamii...zanzibar tumeingiliana nao zaidi ya 200yrs

kisiasa...pamoja tunaunda taifa kubwa
ulinzi imara wa taifa
tunu za taifa

kiuchumi...nafkiri unaona jinsi ilivo rahisi kiutaftaji muingiliano wa biashara na watu (uchumi in general)

☆unaeza kuchambua hivo vitu kujiongezea maarifa
 
Back
Top Bottom