Wale wanaishi karibu na nyumba au maduka ya wapemba nawaonea wivu sana maana muda si mrefu zali litawaangukia.Anzeni kabisa kagawana nyumba zao kwani muungano ukifa tu lazima tuwarudishe kwao.
Yes. Brother asingevumilia huu upuuziBORA HAYA MAMBO HAYATOKEI KIPINDI CHA MkapA
Wanaotamani maduka na nyumba za wapemba tutawaachia.mnafikiri sisi tunaona raha kukaa huku?siku ukivunjika muungano tutafanya sherehe kubwa maana kikwazo cha maendeleo yetu kitakuwa kimeondoka.bora tuanze maisha upya kuliko muungano huu wa mashaka.
shekhe mbona waja juu... mbona watanganyika tunawaunga mkono kwa hili... usihofu sharif lianzisheni.. watanganyika tutamilizia nakumbuka kama niliwahi kusoma kipindi cha nyuma kwenye web ya mzalendo.. sikumbuki ni comment ama makala.. kwamba pemba na unguja wanataka kujitenga yaani mmoja wao anaona anaonewa..! so baada ya kuvunja huu muungano.. mjitayarishe kugawana visiwa vile wenyewe kwa wenyewe
Wazanzibar wanapiga kelele kuhusu Muungano ila wao wananufaika zaidi kuliko watanganyika..wanapata % flani ya kodi za bara kwa ajili ya shughuli zao za ki maendeleo..zanzibar kuna barabara ya lami inaitwa benjamin willium mkapa,alijenga mkapa..nashindwa kuelewa wanataka nini?labda wanadanganywa na mataifa ya nje
Muda c muda,mtaanza upemba na uunguja,au mwajifanya mmesahau mlivyokuwa mnawanyanyasa wapemba? By the way wacha uvunjike 2 maana mmechukua ardhi mpaka Mbalali..na mnavyozaana mtatosha zenji kweli?
hata sisi wa bara hatuutaki muungano.. hongera kwa znz kwa kuliona hilo
Ugomvi wa ndugu unauvalia suti? Kama mgawannyiko kwa kugombana basi Tanganyika ingekwishakuwa vipand vipande kwani tunawasikia kila siku mnauwana kikabila.
Hewalla bwana, nyie mnaofanya kazi naona hata Japani ilikumbwa na majanga mnachekelea waliposema watatoa msaada mara mbili.Bara ndiyo itanufaika mkivunja muungano tunawabeba mno, bara inapata nini toka huko? muungano ukivunjika bara itabata dola kibao kwa kuwauzia chakula, umeme, vibali vya kuishi na kufanya kazi vya wapemba maelfu kwa maelfu, pia itabidi warudishe arhi yetu maana sheria haitawaruhusu tena. Hayo mawazo ya wengine eti muungano ukivunjika watapata misaada mingi, misaada badala ya kujitegemea? hao watoa misaada kwani hawachoki, kama misaada ingekuwa dili Karume asingeleta mapinduzi. Fanyeni kazi msitafute mchawi.
Ngekewa,mimi ni mtanganyika wa kila k2 na ardhi kwe2 mmeichukua sana huku Tanganyika tofauti na cc watanganyika 2meshndwa kuchukua kipande chochote cha ardh huko kwenu,tena waambie Maalim seif na wenzake wauze makazi yao huku Tanganyika kabla ha2jachukua kwa nguvu,crap!
Naam tumechukuwa ardhi na kukujengeeni majumba huku mkijitamba kuwa nyie ndio mnaofanyakazi. Unachosema isije ikawa ukatafsiri kejeli nitakapokwambia kuwa ni kweli kuwa Wazanzibari ndio waliowaosha macho nyie. wao ndio waliojenga magorofa pale Kariako, wao kwa kuchukua bidhaa kutoka Zanzibar ndio waliobadilisha maisha ya watu huko na mengi chungu nzima! Hata hivyo nafikiri muwe na shukurani kwani kama unavyosema huu muungano ukivunjika hao Wapemba hawatobeba maduka, mabsi ,majumba na ardhi waliochukua. Laiti kama wakoloni wangefanya waliofanya Wapemba basi ingekuwa jambo la maana.
wewe uko wapi?
Ndugu yangu, si afadhali ya hao WATANGANYIKA na WAZANZIBAR wananchi zao ambazo ni TANGANYIKA na ZANZIBAR na Sisi WATANZANIA je? Ambao ni ZAO kati ya mtz na mznzbr,TUTAKWENDA WAPI?