Beira,Dk.Lwaitama,Mtatiro,mzee Mbawala na masako wanajadili kama muungano umeenziwa kwa miaka 47 na upande gani umenufaika sana..
Hivi kwa nini tusiwe na serikali moja tu?
Dah huu Muungano cdhan kama utadumu maana wazanzibari na cc watanganyika hatuutaki..wazee wa Magamba ndo wanang'ang'ania!
Beira,
Kuna pande ngapi za muungano?
Katika hawa wana-panel hakuna anayejua faida za muungano? Au vipi kila upande unanufaika na muungano?
Hebu zimwage hapa kama wanazitaja.
je mazingira ya muungano wa UK ni sawa na yale ya muungano wa Tz au Dr. Laitwama anapendelea tu model hii?
Hapa naona mjadala unageuka sasa unakuwa, Maalim seif, Mtatiro, CUF,magamba... hatuwezi kujadili faida na hasara ya muungano? Au hatufahamu faida na hasara zake?
Mkuu.
Watanganyika wanautaka Muungano na wazanzibari wanautaka muungano. Hii ni kutokana na maoni ninayosoma juu ya mijadala ya Muungano huu.
Ambacho watanganyika na wazanzibari hawataki ni muungano usioeleweka. Muungano wa mazingaombwe, changa la macho au usanii.
Lakini njia nzuri ya kuthibitisha kauli yako ni kwa kuwepo mjadala wa wazi wa kitaifa juu ya muungano na muundo wake na pia kuitisha kura ya maoni.
kwa kuanzia, ule mkataba halisi wa muungano inapasa kutolewa hadharani ili wananchi washuhudie ni nini hasa kilikubaliwa kwa kuanzia.
Hii panel tu inatuonyesha kuwa hii ndio tabia ya watanganyika kujadili mambo ya MUUNGANO ki-upande mmoja.Dk.Lwaitama,Mtatiro,mzee Mbawala na masako wanajadili kama muungano umeenziwa kwa miaka 47 na upande gani umenufaika sana..
Hii panel tu inatuonyesha kuwa hii ndio tabia ya watanganyika kujadili mambo ya MUUNGANO ki-upande mmoja.
Hebu tuone katika mjadala huu ambao wanazungumzia muungano, kuna nani kati ya hao wanaojadili hapo ni wa upande wa pili (Zanzibatr) wa muungano huo wanaoujadili?
Hakuna mmoja kati ya hao watanganyika walio hapo ITV ambae anaijuwa hasa Zanzibar na mwenye uchungu na wazanzibari.
Acheni mambo yenu hayo ya kuwasemea wanzanzibar kila siku, huu ni wakati mwengine, wazanzibari kwa wenyewe wameamua na wanataka kuwa na Zanzibar hurru.
Eti mtu makini (Mbawala) pamoja na utuuzima alionao anawaita watu wanaotaka serikali tatu kama wajinga, kwa nini yeye anaewaza serikali moja asiwe yeye ndo MJINGA wa kutupwa.
Tuwe na utaratibub wa kuheshimu mawazo ya kila mmoja, na sio watu wenye mawazo tofauti na ya kwenu kuwaona hawafai!
Kwani alipokuwepo Mwinyi nani alikuwa Raisi wa TanganyikaHapa kweli hamnazo.
Pindi raisi wa Tanzania atakapotoka Zanzibar, Nani atakuwa raisi wa Tanganyika?
Itakuwa hikma na busara hiyo barua iliyopelekwa UN, ikaweka hapa nakala yake, ili nasi tupate kuisoma.X PASTER na Mwana kijiji: Kweli ipo barua iliyopelekwa Umoja wa Mataifa lakini ni barua ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Nayo imetiwa sahihi na watu 100000 wa Zanzibar kutaka UN iingilie habari hii ya muungano. Bw. Moon amethibitisha mbele ya Kikwete kuwa ameipata barua na ndio maana hata wazanzibari wameweza kuyatafuta zaidi kuhusu kiti cha Zanzibar UN na inaonekana wazi Zanzibar hawakukikana kiti chao. It's just a matter of time, we will raise our flag among flags of member nations of UN. Tunakwenda na nyinyi kwa upole na maridhawa sababu haina haja vita wakati sisi tumekaa kidugu kwa miaka dahari.
Mkapa alsimamia kura ya maoni ya southern sudan. Sisi hatumtaki yeye asimamie sabau ni mmoja katika wauaji wa wazanzibari. Tunataka mtu wa kando aje asimamie kura za maoni kuhsu muungano ambyo hadi sasa 90% ya wazanzibari hawataki Muungano.
wacheni kuleta story zenu za michosho hizo..wakati ukweli wenyewe mnaujua 100% kuwa wazanzibar hawataki Muungano, mnaleta longolongo sio wakati wa Zenji wenyewe hiyo ndio issue yao kubwa wakati huu wa Uprisings lol
hahahahha Naona munashangiria unguja na pemba. Unguja na pemba hazija ungana wala hamuna "articles" za kuunganisha unguja na pemba. Najua mumefurahi leo hahahah. Wembe ni uleule wa "ARROW ARROW". Wazanzibari kwa sauti moja tumesema "Hatuutaki Muungano". Hamujafahamu tu. Basi kama hamujafahamu kiswahili, subirini.
X PASTER na Mwana kijiji: Kweli ipo barua iliyopelekwa Umoja wa Mataifa lakini ni barua ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Nayo imetiwa sahihi na watu 100000 wa Zanzibar kutaka UN iingilie habari hii ya muungano. Bw. Moon amethibitisha mbele ya Kikwete kuwa ameipata barua na ndio maana hata wazanzibari wameweza kuyatafuta zaidi kuhusu kiti cha Zanzibar UN na inaonekana wazi Zanzibar hawakukikana kiti chao. It's just a matter of time, we will raise our flag among flags of member nations of UN. Tunakwenda na nyinyi kwa upole na maridhawa sababu haina haja vita wakati sisi tumekaa kidugu kwa miaka dahari.