Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Dk.Lwaitama,Mtatiro,mzee Mbawala na masako wanajadili kama muungano umeenziwa kwa miaka 47 na upande gani umenufaika sana..
Beira,
Kuna pande ngapi za muungano?

Katika hawa wana-panel hakuna anayejua faida za muungano? Au vipi kila upande unanufaika na muungano?

Hebu zimwage hapa kama wanazitaja.

je mazingira ya muungano wa UK ni sawa na yale ya muungano wa Tz au Dr. Laitwama anapendelea tu model hii?

Hapa naona mjadala unageuka sasa unakuwa, Maalim seif, Mtatiro, CUF,magamba... hatuwezi kujadili faida na hasara ya muungano? Au hatufahamu faida na hasara zake?
 
Hivi kwa nini tusiwe na serikali moja tu?

Hii serikali moja inakuja mkuu, katika mfumo wa EAC...tusubiri tu inakuja na ni vyema kujitayarisha. Tunaelewa kuwa Kenya na uganda hawana longo longo na hata Rwanda pia.

Serikali ya Afrika Mashariki. How does it sound in your ears?
 
Dah huu Muungano cdhan kama utadumu maana wazanzibari na cc watanganyika hatuutaki..wazee wa Magamba ndo wanang'ang'ania!

Mkuu.
Watanganyika wanautaka Muungano na wazanzibari wanautaka muungano. Hii ni kutokana na maoni ninayosoma juu ya mijadala ya Muungano huu.

Ambacho watanganyika na wazanzibari hawataki ni muungano usioeleweka. Muungano wa mazingaombwe, changa la macho au usanii.

Lakini njia nzuri ya kuthibitisha kauli yako ni kwa kuwepo mjadala wa wazi wa kitaifa juu ya muungano na muundo wake na pia kuitisha kura ya maoni.

kwa kuanzia, ule mkataba halisi wa muungano inapasa kutolewa hadharani ili wananchi washuhudie ni nini hasa kilikubaliwa kwa kuanzia.
 
Beira,
Kuna pande ngapi za muungano?

Katika hawa wana-panel hakuna anayejua faida za muungano? Au vipi kila upande unanufaika na muungano?

Hebu zimwage hapa kama wanazitaja.

je mazingira ya muungano wa UK ni sawa na yale ya muungano wa Tz au Dr. Laitwama anapendelea tu model hii?

Hapa naona mjadala unageuka sasa unakuwa, Maalim seif, Mtatiro, CUF,magamba... hatuwezi kujadili faida na hasara ya muungano? Au hatufahamu faida na hasara zake?

Cha kushangaza ni kwamba, jana Wassira na Werema walikuwa TBC1- wakiongea kuhusu mswada wa katiba ya Jamhuri ya Muungano lakini kwenye panel hakukuwepo na mwakalishi toka upande wa pili wa muungano yaani Zanzibar. Leo ITV nao wanaandaa kipindi kujadili 'kuenziwa' au la, kwa muungano lakini hakuna mtu toka upande wa pili wa muungano. Hawa waandaji wa hivi vipindi wameshindwa hata kumpata Mzanzibari mmoja hapa Dar ili atoe mawazo ya Zanzibar?. Wazanzibari hawapo sio kwenye uandaji wa mswada wa katiba wala mjadala wa muungano kwenye TV! Hivi wakisema kuwa wanadharauliwa hapa watu watakataa?
 
Mkuu.
Watanganyika wanautaka Muungano na wazanzibari wanautaka muungano. Hii ni kutokana na maoni ninayosoma juu ya mijadala ya Muungano huu.

Ambacho watanganyika na wazanzibari hawataki ni muungano usioeleweka. Muungano wa mazingaombwe, changa la macho au usanii.

Lakini njia nzuri ya kuthibitisha kauli yako ni kwa kuwepo mjadala wa wazi wa kitaifa juu ya muungano na muundo wake na pia kuitisha kura ya maoni.

kwa kuanzia, ule mkataba halisi wa muungano inapasa kutolewa hadharani ili wananchi washuhudie ni nini hasa kilikubaliwa kwa kuanzia.

Mkuu wakiweka 2 mambo ya kura ya maoni hapo ndo watakapoingia chaka maana watu wataukataa maana wa2 wengi wanadai hauna faida na wanasema kama vp uvunjike 2...hivyo watapiga kura za hapana..
 
Dk.Lwaitama,Mtatiro,mzee Mbawala na masako wanajadili kama muungano umeenziwa kwa miaka 47 na upande gani umenufaika sana..
Hii panel tu inatuonyesha kuwa hii ndio tabia ya watanganyika kujadili mambo ya MUUNGANO ki-upande mmoja.
Hebu tuone katika mjadala huu ambao wanazungumzia muungano, kuna nani kati ya hao wanaojadili hapo ni wa upande wa pili (Zanzibatr) wa muungano huo wanaoujadili?
Hakuna mmoja kati ya hao watanganyika walio hapo ITV ambae anaijuwa hasa Zanzibar na mwenye uchungu na wazanzibari.
Acheni mambo yenu hayo ya kuwasemea wanzanzibar kila siku, huu ni wakati mwengine, wazanzibari kwa wenyewe wameamua na wanataka kuwa na Zanzibar hurru.
Eti mtu makini (Mbawala) pamoja na utuuzima alionao anawaita watu wanaotaka serikali tatu kama wajinga, kwa nini yeye anaewaza serikali moja asiwe yeye ndo MJINGA wa kutupwa.
Tuwe na utaratibub wa kuheshimu mawazo ya kila mmoja, na sio watu wenye mawazo tofauti na ya kwenu kuwaona hawafai!
 
Hapa kweli hamnazo.
Pindi raisi wa Tanzania atakapotoka Zanzibar, Nani atakuwa raisi wa Tanganyika?
 
Mimi nimeona watu wengi wakisema kuhusu muungano kama vile ni ndoa ya mkeka na inaweza kuvujwa kirahisi tu kwa kutokupendana. Au kuvujwa kwasababu Zanzibar inafikiria inaweza kupata mafuta na wakijitenga hawatagawana. U kweli ni kwamba huu muungano si hiari na kwasababu za kisalama watu wataenda vitani kuulinda muungano hivyo maneno hayatatosha kuvunja muungano.
 
Hii panel tu inatuonyesha kuwa hii ndio tabia ya watanganyika kujadili mambo ya MUUNGANO ki-upande mmoja.
Hebu tuone katika mjadala huu ambao wanazungumzia muungano, kuna nani kati ya hao wanaojadili hapo ni wa upande wa pili (Zanzibatr) wa muungano huo wanaoujadili?
Hakuna mmoja kati ya hao watanganyika walio hapo ITV ambae anaijuwa hasa Zanzibar na mwenye uchungu na wazanzibari.
Acheni mambo yenu hayo ya kuwasemea wanzanzibar kila siku, huu ni wakati mwengine, wazanzibari kwa wenyewe wameamua na wanataka kuwa na Zanzibar hurru.
Eti mtu makini (Mbawala) pamoja na utuuzima alionao anawaita watu wanaotaka serikali tatu kama wajinga, kwa nini yeye anaewaza serikali moja asiwe yeye ndo MJINGA wa kutupwa.
Tuwe na utaratibub wa kuheshimu mawazo ya kila mmoja, na sio watu wenye mawazo tofauti na ya kwenu kuwaona hawafai!

Nakubaliana na wewe,pale kulipaswa kuwe na wa2 wa Zanzibari japo wapate kujadili na kuweka balansi...may b next time mr masako atafanya hvyo.
 
Hapa kweli hamnazo.
Pindi raisi wa Tanzania atakapotoka Zanzibar, Nani atakuwa raisi wa Tanganyika?
Kwani alipokuwepo Mwinyi nani alikuwa Raisi wa Tanganyika
umezaliwa lini wewe?
 
wacheni kuleta story zenu za michosho hizo..wakati ukweli wenyewe mnaujua 100% kuwa wazanzibar hawataki Muungano, mnaleta longolongo sio wakati wa Zenji wenyewe hiyo ndio issue yao kubwa wakati huu wa Uprisings lol
 
wacheni stori zenu za michosho hizo unaleta topics za kizezeta hapa topics zisizokuwa na maana yeyote..ULIWAHI KUSIKIA WAPI UNGUJA NA PEMBA WAMEUNGANA? WACHENI KULETA FITNA ZENU ZA KUTAKA KUWAGOMBANISHA WAZANZIBAR NYIE!!!! KWA SABABU WANATAKA KUVUNJA MUUNGANO NA TANGANYIKA...ZANZIBARIS PEOPLE THEY DONT WANT FAKE UNION thats it DONT FORCE THEM!!! UNGUJA NA PEMBA ITABAKIA KUWA JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR MPAKA MWISHO WA DUNIA HII
 
hahahahha Naona munashangiria unguja na pemba. Unguja na pemba hazija ungana wala hamuna "articles" za kuunganisha unguja na pemba. Najua mumefurahi leo hahahah. Wembe ni uleule wa "ARROW ARROW". Wazanzibari kwa sauti moja tumesema "Hatuutaki Muungano". Hamujafahamu tu. Basi kama hamujafahamu kiswahili, subirini.
 
X PASTER na Mwana kijiji: Kweli ipo barua iliyopelekwa Umoja wa Mataifa lakini ni barua ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Nayo imetiwa sahihi na watu 100000 wa Zanzibar kutaka UN iingilie habari hii ya muungano. Bw. Moon amethibitisha mbele ya Kikwete kuwa ameipata barua na ndio maana hata wazanzibari wameweza kuyatafuta zaidi kuhusu kiti cha Zanzibar UN na inaonekana wazi Zanzibar hawakukikana kiti chao. It's just a matter of time, we will raise our flag among flags of member nations of UN. Tunakwenda na nyinyi kwa upole na maridhawa sababu haina haja vita wakati sisi tumekaa kidugu kwa miaka dahari.
Mkapa alsimamia kura ya maoni ya southern sudan. Sisi hatumtaki yeye asimamie sabau ni mmoja katika wauaji wa wazanzibari. Tunataka mtu wa kando aje asimamie kura za maoni kuhsu muungano ambyo hadi sasa 90% ya wazanzibari hawataki Muungano.
 
Itakuwa hikma na busara hiyo barua iliyopelekwa UN, ikaweka hapa nakala yake, ili nasi tupate kuisoma.
 
Kamundu, leo umesema kweli kabisa. Muungano huu si wa hiari. Asante sababu wengi walikuwa ni fikra kama hiyo kuwa ni muungano wa hiari Hata Mwalimu Nyerere alipozungumza katika OAU alisema, "muungano huu ni kama koti, likikubana unalivua". Hahhahah Mwalimu alisema uongo kumbe. Ipo speech yake kwenye youtube. Basi haya ndio mambo yenu. Sisi wazanzibari hatubabaishi mambo. Tukisema basi tunamaana kuwa muungano basi hatutaki tena sasa kama nyinyi ni wanaume, njooni zanzibar mutuue soote 1.2 million.
 
wacheni kuleta story zenu za michosho hizo..wakati ukweli wenyewe mnaujua 100% kuwa wazanzibar hawataki Muungano, mnaleta longolongo sio wakati wa Zenji wenyewe hiyo ndio issue yao kubwa wakati huu wa Uprisings lol

Kama hawataki huu Muungano c wapeleke azimio kwenye baraza la wawakilishi na wauvunje,kinachowashinda ni nini?
 
hahahahha Naona munashangiria unguja na pemba. Unguja na pemba hazija ungana wala hamuna "articles" za kuunganisha unguja na pemba. Najua mumefurahi leo hahahah. Wembe ni uleule wa "ARROW ARROW". Wazanzibari kwa sauti moja tumesema "Hatuutaki Muungano". Hamujafahamu tu. Basi kama hamujafahamu kiswahili, subirini.

Na mkivunja 2 mbebe nguo ze2 na mrudi kwenu mkiacha ardhi,ye2..ok'
 
X PASTER na Mwana kijiji: Kweli ipo barua iliyopelekwa Umoja wa Mataifa lakini ni barua ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Nayo imetiwa sahihi na watu 100000 wa Zanzibar kutaka UN iingilie habari hii ya muungano. Bw. Moon amethibitisha mbele ya Kikwete kuwa ameipata barua na ndio maana hata wazanzibari wameweza kuyatafuta zaidi kuhusu kiti cha Zanzibar UN na inaonekana wazi Zanzibar hawakukikana kiti chao. It's just a matter of time, we will raise our flag among flags of member nations of UN. Tunakwenda na nyinyi kwa upole na maridhawa sababu haina haja vita wakati sisi tumekaa kidugu kwa miaka dahari.
Mkapa alsimamia kura ya maoni ya southern sudan. Sisi hatumtaki yeye asimamie sabau ni mmoja katika wauaji wa wazanzibari. Tunataka mtu wa kando aje asimamie kura za maoni kuhsu muungano ambyo hadi sasa 90% ya wazanzibari hawataki Muungano.

Mimi ni m1 wa watanganyika wanaotaka kuvunjika kwa muungano huu,maana hakuna 2nachonufaika nacho zaidi ya nyinyi kujaa kwenye ardhi ye2,muda umefika mkajazane kwenu.
 
X PASTER na Mwana kijiji: Kweli ipo barua iliyopelekwa Umoja wa Mataifa lakini ni barua ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Nayo imetiwa sahihi na watu 100000 wa Zanzibar kutaka UN iingilie habari hii ya muungano. Bw. Moon amethibitisha mbele ya Kikwete kuwa ameipata barua na ndio maana hata wazanzibari wameweza kuyatafuta zaidi kuhusu kiti cha Zanzibar UN na inaonekana wazi Zanzibar hawakukikana kiti chao. It's just a matter of time, we will raise our flag among flags of member nations of UN. Tunakwenda na nyinyi kwa upole na maridhawa sababu haina haja vita wakati sisi tumekaa kidugu kwa miaka dahari.
Mkapa alsimamia kura ya maoni ya southern sudan. Sisi hatumtaki yeye asimamie sabau ni mmoja katika wauaji wa wazanzibari. Tunataka mtu wa kando aje asimamie kura za maoni kuhsu muungano ambyo hadi sasa 90% ya wazanzibari hawataki Muungano.

Mimi napata sana shida kuelewa haya malalamiko ya wazanzibari kwa watanganyika! iwapo wazanzibar wanajitambua kama ni taifa huru,wana serikali yao,bunge lao n.k kwa nini wasijiamulie wenyewe kujitoa katika muungano iwapo hawautaki? mimi sioni ni kwa jinsi gani wanalazimishwa kuwepo kwenye muungano wakati uwezo wa kuamua uko ndani yao, ongeeni na serikali yenu mpige kura ya maoni ili uamuzi ujulikane, haya makelele mnayopiga kila siku ni upuuzi tu usio na tafsiri, nani kawakataza kuamua mustakabali wenu?
tumechoka kusikia kelele zenu, amueni wenyewe, haki na uwezo mnayo msibebeshe lawama watu wengine. Decide for yourselves, you are free to quit or stay, don't put the blame on others, we are sick and tired of your complains!
 
Back
Top Bottom