Beira,Dk.Lwaitama,Mtatiro,mzee Mbawala na masako wanajadili kama muungano umeenziwa kwa miaka 47 na upande gani umenufaika sana..
Kuna pande ngapi za muungano?
Katika hawa wana-panel hakuna anayejua faida za muungano? Au vipi kila upande unanufaika na muungano?
Hebu zimwage hapa kama wanazitaja.
je mazingira ya muungano wa UK ni sawa na yale ya muungano wa Tz au Dr. Laitwama anapendelea tu model hii?
Hapa naona mjadala unageuka sasa unakuwa, Maalim seif, Mtatiro, CUF,magamba... hatuwezi kujadili faida na hasara ya muungano? Au hatufahamu faida na hasara zake?