Nimekuwa nafuatilia majibu ya viongozi wa Bara na Visiwani, waulizwapo "wataje faida za Muungano". Wanasema zipo nyingi, wakianza kutaja watasema mbili tu:-
1: Tumeoleana, wabara wameoa/kuolewa Zanzibar na kinyume chake!
2: Wapemba wanafanya biashara Bara!
Kimsingi hizi sioni kama ni sababu za msingi za kuwa na Muungano. Kuna sababu za kisiasa zaidi kwa wazanzibar kupewa nafasi za madaraka makubwa Bara kuliko faida anazopata Mwananchi wa kawaida!
Kwa wanaozifahamu tuendeleze hapa ili sisi wa "uswekeni" tuzifahamu ili kama kuupigania tuwe tayari.
3: .....Endeleeni kutaja.
4. Kuna swala la usalama wetu tukiwaacha wazenji wenyewe wanaweza kurubuniwa kisiwa kikawa kinatumika vibaya for security persipective.
Kama wazanzibari hawaoni km ndo wanaunufaika zaidi na muungano, acheni wauvunje. Sisi tuendelee na umoja wetu na amani-na tusubiri wao wataanza, "sisi ni wapemba wao ni wa unguja"