Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Nimekuwa nafuatilia majibu ya viongozi wa Bara na Visiwani, waulizwapo "wataje faida za Muungano". Wanasema zipo nyingi, wakianza kutaja watasema mbili tu:-

1: Tumeoleana, wabara wameoa/kuolewa Zanzibar na kinyume chake!

2: Wapemba wanafanya biashara Bara!

Kimsingi hizi sioni kama ni sababu za msingi za kuwa na Muungano. Kuna sababu za kisiasa zaidi kwa wazanzibar kupewa nafasi za madaraka makubwa Bara kuliko faida anazopata Mwananchi wa kawaida!

Kwa wanaozifahamu tuendeleze hapa ili sisi wa "uswekeni" tuzifahamu ili kama kuupigania tuwe tayari.

3: .....Endeleeni kutaja.
 
Kama ulivyoona Mkuu kuwa hizo si faida kitu.

Kama kuoana au kuoleana, hio haikuanza baada ya Muungano.

Wapemba wanafanya biashara kila pahala na sio huko Tanganyika tu.

Faida kubwa ni Tanganyika kupata nchi ya kuitawala tu kwa mabavu bila ridhaa ya wananchi walio wengi kwa msaada wa Wahafidhina wachache kwa maslahi yao.
 
4. Kuna swala la usalama wetu tukiwaacha wazenji wenyewe wanaweza kurubuniwa kisiwa kikawa kinatumika vibaya for security persipective.
 
4. Kuna swala la usalama wetu tukiwaacha wazenji wenyewe wanaweza kurubuniwa kisiwa kikawa kinatumika vibaya for security persipective.

Ulichosema ni sawa lakini viongozi wenyewe hawalitaji hili hata kidogo! Wanaogopa nini kuwaambia Wazanzibar kuhusu hili?
 
Watetezi wa Muungano hawana hoja yoyote, kwao matusi kwa tunaoupinga muungano ndiyo utetezi pekee uliobaki. Hawakawii kusema wapinga muungano hawajui kitu, na pia ni wapumbavu na wasio na akili. Tukiwabana watueleze hizo faida, watayarudia tena matusi hayo.
Solution hapa ni rahisi sana tuulizwe kwa kupitia sanduku la kura kama tunauhitaji ama lah....ile watake wasitake safari hii lazima ufe.
 
Ukweli ni kwamba ni ngumu kupunguza sehemu ya nchi yako lakini Zanzibar inanufaika zaidi kwenye huu muungano.
 
Kama wazanzibari hawaoni km ndo wanaunufaika zaidi na muungano, acheni wauvunje. Sisi tuendelee na umoja wetu na amani-na tusubiri wao wataanza, "sisi ni wapemba wao ni wa unguja"
 
:fish2: eti tunashare bahari, teh

Hata Kenya na Msumbiji mna share mbona hamukuwavamia?

Toeni sababu au hizo faida zaidi ya uvamizi tu?

Nimesahau na ukandamizaji:

haya tena basi jamani 2.jpg
 
Kama wazanzibari hawaoni km ndo wanaunufaika zaidi na muungano, acheni wauvunje. Sisi tuendelee na umoja wetu na amani-na tusubiri wao wataanza, "sisi ni wapemba wao ni wa unguja"

Fitna tupu na hasad. Hayo nyinyi yanawahusu nini?
 
5. Watu wanapata fedha kibao kushugurikia kero za muungano..
6. Watu wanapata fedha nyingi kuandaa sherehe za muungano.
7. Kuna wazanzibar wapo kwenye bunge la letu lililopo Dodoma na wanapata fedha kibao.
 
Anko sam umeleta very interesting topic and very hot to touch for nyika peoples and very cruelty to force innocent tanganyika people to have zanzibaris to form union any sensible reasons even a layman cannot accept this!

Hivi visiwa viwili vingebaki independent and not to be part of tanganyika because of the following reasons:

(i) no economic opportunities at all from znz rather than spices,
(ii) tanganyika waste a lot of resources to feed znzbaris,
(iii) demographically we are nearly 40 million people against 2 million this indicate that we are feeding this people on everything why and even on taxes,
(iv) geographically from dar to znz is about 1 hour to reach any of the direction and u call it URT.
(v) in terms of security no threat as per now it was by then when mchonga meno was in power late 60's, let them go and form their sovereign state and have their republic.
(vi) Two presidencies in the URT where is the rationale?
(vii) Motor vehicles registrations between Tanganyika and znz are totally different why? Do u think the union works or need to be activated/deactivated?

There are many to come but we are not happy with union is better we dissolve it!
 
  1. Our economy is our concern
  2. We buy food from around the world including Tanganyika
  3. That is why we want you to leave to relieve you of this burden
  4. Zanzibar did not put itself there and so is Tanganyika ("If I could tow that island out into the middle of Indian Ocean, Id' do it."- JK Nyerere)
  5. There has been no threat from Zanzibar, just a ploy to occupy Zanzibar
  6. We still use the Tanganyika Constitution which was just changed a bit to justify the occupation
  7. Motor vehicles registration is a small matter just to remind you that Zanzibar has its own cars
We are not happy too and i back your suggestion/
 
kama ni swala la kiusalama-mbona kenya,uganda n.k zinatuzunguka-kwani zina tofauti na zenji-kama ni usalama hizi nchi zinazotuzunguka haziwezi kufanya vitu tanganyika inavyoogopa?
swala la kuoa tanganyika na zanzibar-ni la kipumbavu na aibu kulisema-hivi kwani ni watanganyika wangapi wameona au kuolewa kenya,uganda n.k-kwa nini tulazimishe zanzibar tu
 
,tangu kuanzishwa kwa Muungano wa nchi zilizokuwa Jamhuri ya watu wa Zanzibar na Jamhuri ya watu wa Tanganyika, ziliungana na kuwa nchi maja na Taifa moja. Narudia tena, ziliungana kuwa nchi maja na Taifa moja. Kwa lugha ya kigeni, 'One Sovereign State'. Hivyo imejenga msingi imara wa umoja kati ya wananchiwa Tanzania. Tanzania Bara na Visiwani, zimekuwa zikifaidika kisiasa, kiuchumi na kiulinzi chini ya mfumo uliopo wa Muungano. Uk 2

Hapa Mwalimu alikuwa atuorodheshee hizi faida lakini ameiweka kauli yeke kama mwanasiasa tu.

Muundo wa Muungano, pamoja na kwamba hatutaki uwe ukitibuliwatibuliwa mara kwa mara, ni suala la sera, si amri ya Mungu. Uk 18

"Kwa kweli hata kesho Nchi za Afrika ya Mashariki zikiamua kuungana, na Tanzania ikawa ni mshiriki, naamini kuwa ni rahisi zaidi kushirikisha Tanzania yenye Serikali Mbili - ya Zanzibar na ya Tanganyika - kuliko Tanzania yenye Serikali Mbili, ya Tanzania na ya Zanzibar. Wapendao Utanganyika watakuwa wazalendo zaidi, badala ya kuwa wasaliti, wakiazimia Afrika ya Mashariki iliyoungana kuwa Nchi Moja. kuliko Tanzania iliyotengana ikawa nchi mbili." Uk 11

Serikali ya Tanganyika ilipasa kufufuliwa tokea mwaka 2000 tulipokubali kuifufua EAC, lakini zaidi sasa kwa vile tumekubali ku-fast track EA Federation.
Wakuu wetu ,they race against time kutuletea serikali moja! Na kutugawia umaskini na magao wa umeme!

Tutakapotoka usingizini tutakuta hizo nchi nyengine wanachama wa EAC wananufaika vyema na EAC wakati sisi tunalumbana juu ya Muungano na Muundo wake.
Mwalimu aliandika kitabu chake 1994. leo ni 2011. Serikali ya Tanganyika iko wapi?

Halmashami Kuu ya Taifa iliketi Unguja ikabadili Azimio la Arusha bila kwanza kutafuta maoni ya wananchi. Na walikuwa na haki kufanya hivyo, maana sera ni yao. Ubaya wao ni kwamba jambo lenyewe walilifanya kwa hila na 'janja janja", na mpaka sasa wanaendelea kudanganya wananchi kwamba sera ya CCM bado ni Ujamaa na Kujitegemea. Uk 18

Hizi hila na ujanja wa CCM unaonekana katika kila kitu, kujivua gamba, kupambana na ufisadi, kwenye chaguzi, sera ya muungano wa kutoka serikali mbili kuelekea moja, tatizo la umeme kuwa historia, "maisha bora kwa kila mtanzania", katika issue ya katiba mpya….orodha ni ndefu!!!

Uongozi Wetu Na Hatma Ya Tanzania (by Nyerere)
 
Nimekuwa nafuatilia majibu ya viongozi wa Bara na Visiwani, waulizwapo "wataje faida za Muungano". Wanasema zipo nyingi, wakianza kutaja watasema mbili tu:-

1: Tumeoleana, wabara wameoa/kuolewa Zanzibar na kinyume chake!

2: Wapemba wanafanya biashara Bara!

Kimsingi hizi sioni kama ni sababu za msingi za kuwa na Muungano. Kuna sababu za kisiasa zaidi kwa wazanzibar kupewa nafasi za madaraka makubwa Bara kuliko faida anazopata Mwananchi wa kawaida!

Kwa wanaozifahamu tuendeleze hapa ili sisi wa "uswekeni" tuzifahamu ili kama kuupigania tuwe tayari.

3: .....Endeleeni kutaja.

Mkuu.
Ziko faida na hasara..lakini hizi faida ulizozitaja na walizoziorodhesha wengine,kuna na hizi pia.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...no-wa-tanganyika-na-zanzibar.html#post1906050
 
Umefika wakati watz tnatakiwa kujadiliana na kuelimishana faida na hasara ya muungano huu ambao malalamiko juu yk hayaishi. Binafsi sielewi sababu kuu ya kuungana ilikua ni nini hasa. Naombeni tuelimishane
 
Umefika wakati watz tnatakiwa kujadiliana na kuelimishana 1.sababu, 2.umuhimu, 3.faida na 4.hasara ya muungano huu ambao malalamiko juu yk hayaishi. Naombeni tuelimishane
 
Back
Top Bottom