Anko Sam
JF-Expert Member
- Jun 30, 2010
- 3,254
- 903
Nimekuwa nafuatilia majibu ya viongozi wa Bara na Visiwani, waulizwapo "wataje faida za Muungano". Wanasema zipo nyingi, wakianza kutaja watasema mbili tu:-
1: Tumeoleana, wabara wameoa/kuolewa Zanzibar na kinyume chake!
2: Wapemba wanafanya biashara Bara!
Kimsingi hizi sioni kama ni sababu za msingi za kuwa na Muungano. Kuna sababu za kisiasa zaidi kwa wazanzibar kupewa nafasi za madaraka makubwa Bara kuliko faida anazopata Mwananchi wa kawaida!
Kwa wanaozifahamu tuendeleze hapa ili sisi wa "uswekeni" tuzifahamu ili kama kuupigania tuwe tayari.
3: .....Endeleeni kutaja.