Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,944
Nijiuzuru nafasi ipi?Nasema hivyo coz huko uliko hawataki kusikia kitu kama hicho, ni kama unapingana na chama chako. Na siku zote uungwana kama upo kwanye kundi ambalo unadhani haliendani na unacho amini ni vizuri ni vizuri ukajiuzuru basi
Nijiuzuru nafasi ipi?
Hiyo kwa akili yako wewe...Ya uanachama kinacho kataa Tanganyika yetu
Sawa. Lakini si unasikiaga shughuli yake. Hawa jamaa na hii imani yao ni pasuakichwa mwanzo mwisho.Mkuu mbona Kenya inapakana na Somalia?
Lukosi napingana na wewe katika mambo mengi ila kwa hili la Tanganyika yetu pamoja sana 100%.Ndugu zanguni. Nawaomba niwaulize tu, si kwa shari bali heri. Hivi huu muungano wa tembo na sisimizi una manufaa kwa nani? Watanganyika tunautaka wa nini? Wazanzibari tunajua hawautaki , sasa tatizo ni nini? Inakuwaje sisimizi ale mlo sawa na Tembo? Kwa nini kila mtu asichukue taim yake kero ziishe? Tuna mapori mengi, milima mingi, ardhi kubwa mara alfu kumi ya zanzibar lakini bado tunapoteza muda kuubembeleza huu muungano? Leo hii mtanganyika haruhusiwi kununua ardhi Zanzibar lakini ruksa mzanzibari kununua tanganyika Leo hii umeme Tanganyika tunalipa mara dufu ya Zanzibar Leo hii mimi kama Mtanganyika siwezi tembea kwa amani na uhuru huko visiwani wakati wao wanatembea matumbo mbele huku wakibeua kwetu na kutupigia kelel juu kuwa hawatutaki. LIWALO NA LIWE HUU MUUNGANO WA TEMBO NA SISIMIZI UFE. MUNGU IBARIKI TANGANYIKA.
Mkuu hata mimi nilikuwa na mawazo kama ya kwako. Ila sasa kama wanatufanyia ubaya mkubwa namna hii wakati tumeungana je tukiacha kuungana itakuwaje. Nyerere alikuwa na akili sana sababu alishaona jamaa pasuakichwa mbaya.Ndugu zanguni. Nawaomba niwaulize tu, si kwa shari bali heri. Hivi huu muungano wa tembo na sisimizi una manufaa kwa nani? Watanganyika tunautaka wa nini? Wazanzibari tunajua hawautaki , sasa tatizo ni nini? Inakuwaje sisimizi ale mlo sawa na Tembo? Kwa nini kila mtu asichukue taim yake kero ziishe? Tuna mapori mengi, milima mingi, ardhi kubwa mara alfu kumi ya zanzibar lakini bado tunapoteza muda kuubembeleza huu muungano? Leo hii mtanganyika haruhusiwi kununua ardhi Zanzibar lakini ruksa mzanzibari kununua tanganyika Leo hii umeme Tanganyika tunalipa mara dufu ya Zanzibar Leo hii mimi kama Mtanganyika siwezi tembea kwa amani na uhuru huko visiwani wakati wao wanatembea matumbo mbele huku wakibeua kwetu na kutupigia kelel juu kuwa hawatutaki. LIWALO NA LIWE HUU MUUNGANO WA TEMBO NA SISIMIZI UFE. MUNGU IBARIKI TANGANYIKA.
Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika, piga ua garagaza! Liwalo na liwe...
Ndugu zanguni.
Nawaomba niwaulize tu, si kwa shari bali heri.
Hivi huu muungano wa tembo na sisimizi una manufaa kwa nani?
Watanganyika tunautaka wa nini?
Wazanzibari tunajua hawautaki , sasa tatizo ni nini?
Inakuwaje sisimizi ale mlo sawa na Tembo?
Kwa nini kila mtu asichukue taim yake kero ziishe?
Tuna mapori mengi, milima mingi, ardhi kubwa mara alfu kumi ya zanzibar lakini bado tunapoteza muda kuubembeleza huu muungano?
Leo hii mtanganyika haruhusiwi kununua ardhi Zanzibar lakini ruksa mzanzibari kununua tanganyika
Leo hii umeme Tanganyika tunalipa mara dufu ya Zanzibar
Leo hii mimi kama Mtanganyika siwezi tembea kwa amani na uhuru huko visiwani wakati wao wanatembea matumbo mbele huku wakibeua kwetu na kutupigia kelel juu kuwa hawatutaki.
LIWALO NA LIWE
HUU MUUNGANO WA TEMBO NA SISIMIZI UFE.
MUNGU IBARIKI TANGANYIKA.
hauna faida yoyote zaidi ya usumbufu hata ukivunjwa hakuna hasala!
wazanzibari ni kama kupe mwilini,hawana faida zaidi ya kero na unyonyaji
Wewe CCM kweli? au njaa ndo zilikuponza?
Leo umekula jicho la kuku nini? maana naona kichwa chako leo kinafanya kazi iliyokusudiwa na Mungu. Lakini hata sisi watanganyika tumepakana na Rwanda na Burundi, au kwa sababu watu wake hawana mrengo wa kimwigulu.Mkuu mbona Kenya inapakana na Somalia?
Khaa!! Kila siku huwa nasema na sisiti kusema kuwa Watz ni waji nga sana. Zamani ilikuwa nchi ya wakulima na wafanyakazi siku hizi ni nchi ya wanyonge na wanasiasa. Wanasiasa wanataka kila kitu tufikiri kisiasa (uwongo uwongo). Tujitibu kisiasa, tujenge barabara kisiasa hata tuoe kisiasa. Tuache ujinga, tuamue kwa maslahi ya wote na si kwa ajili ya hawa waganga njaa wachache au hawa majobless wenye uchu wa madaraka. Tuseme Noo kwa wapiga domo (wanasiasa) wanaobugia kodi zetu bila ya kufanya kazilabda nitumie lugha ya mifano,
hivi wewe huwezi kushirikiana na ndugu yako asie na kitu? asie na mali? nadhani kama waafrika na zanzibar kama ndugu zetu kihistoria tuna haki ya kushirikiana nao, sasa swala la serikali mbili au Tatu tujadili faida na hasara zake.
kwenye ndoa kuachana ni hasara zaidi kuliko kuvumiliana na kurekebisha pale penye mapungufu.
siipendi CCM asilani kwasababu ya upuuzi inaofanya; lakini kwenye hoja ya msingi ni budi tusimame pamoja kama Taifa.
UMOJA NI NGUVU UTENGANO UDHAIFU.