Thanks all,
Nanren: Ni kweli kama kuna Mznz anafikiria 10 KM from Lamu to Kilwa, sijui mtu huyo awekwe kundi gani. Kuvunjika kwa muungano kamwehakutarudisha 10 km Lamu -Mtwara stretch. Mdondoaji hii sijui inafundishwa shule gani huko visiwani. In 2011 !! Subhanallah!
Mdondoaji: Siku zote unaposoma maandiko nilazima ufikirishe akili yako ili kuunganisha dots. Hivi ndivyo ninavyofanya mimi. Nikiambiwa mkoloni mbaya, huwa najiuliza pia lakini si alichapa watu wakajenga reli, mbona leo bila viboko watu hawawezi hata kusafish mfereji!Tatizo kama nilivyosema ni kuwa Wznz wapo biased, ukienda na gazeti la Arabia Times litagombewa kama mpira wa kona, ukienda na New york time wanasema hilo ni la kikristo. Kwahiyo knowledge yao inakuwa very limited. Mimi ninasoma sana hadithi na vitabu vya Hitler, Musolin, akina Idd Amin, Pinochet, n.k ili ku balance information. Ukweli ni kuwa tofauti na mnavyodhani, Hitler alikuwa kiongozi ambaye Tanzania tunamhitaji, soma uone alivyoiacha ujerumani, usisikilize one side. Makala zenu zote zimeandikwa na Waarabu, please give us more.
Gongo la mboto: Suala la misaada aliyewaharibu Wznz ni mtu anaitwa Maalim S, huyu baada ya CUF kushindwa alikuwa anapita ulaya na marekani, Canada akikutana na Wznz. Moja ya agenda zake ilikuwa ni kushawaishi wavunje muungano. Alisema waarabu wataisadia Znz kwani kuna undugu wa damu. Alisema mafuta yatapatikana kwa misaada, na nchi itakuwa kama Dubai na Muscat. Watu wote wa EA watakuja Znz kama zama zile za biashara ya sahani, shanga, birika, tende n.k. Huyu ndiye aliwajaza Wznz ujinga wa kutaka kujitenga na muungano, lakini sasa amepata mgao kimyaa! Muungano hauna faida kwa Seif/Shein n.k unamsaidia yule Mznz masikini anyetengeneza maisha yake huku bara. Aliyeajiriwa wizara ya Afya/Fedha n.k anayeleta pweza feri na kurudi na pesa. Seif anawarubuni tu kwa madaraka.
Mtumishi wetu: Kuna sehemu hakuna Wznz na ajira zipo tu, wakiondoka sehemu ulizozitaja zitachukuliwa na Watanganyika. Kongo na burundi hakuna wapemba, ajira na biashara zipo tu. In fact wapemba wapo huku kwasababu wanataka soko. Nakukhakikishia leo muungano ukifa, wapemba wote hakuna atakayechukua Uznz. watakuwa Watanganyika, wao wanajua muungano ni nini.
Nonda: Hii ya nchi kumeguka ni sababu umeikota hapa jambo Forum. Haikidhi swali la msingi. Kiuchumi Tanganyika ina lose nini. Kenya na uganda hakuna Wznz ndani ya mabunge yao na wanasonga mbele tu. Hatuhitaji watu wa kujaza ukumbi, tunahitaji watu wa kulisaidia taifa.
How to Built our Union; Serikali 3 sikubaliani nayo maana Tanganyika itabeba mzigo. Serikali ya 3 (shirikisho) inaweza kuwa na bajeti ya billion 800 kwa mfano wa leo. Bajeti ya Znz ni Billion 500, sasa watachangia kiasi gani kuendesha.
Mimi nadhani WZNZ wapewe nafasi ya kuamua kama wanataka muungano au la! kama wakisema wanataka basi tukubaliane ni mambo gani ya kushirikiana na yawe black and white. Halafu welimishwe, wakatazwe fitna, na kejeli.
Miaka ya 80 na 90 walikuwa wanataka Tanganyika waende ZNZ kwa Passport, Tanganyika wakasema, well, Wznz waje na Passport, Mbona baraza la wawakilishi lilikaa dharura na kusema chonde chonde Tanganyika, njooni bila passport. walinywea usiku mmoja. Hii ni kuonyesha nani anaathirika! Narudia Tanganyika may need Znz but not as much as ZNZ needs Tanganyika,