KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
Sijasema hakifai/kinafaa la hasha! Bali vimeshapita vizazi kadhaa na hii kitu tumeikuta na tumeambiwa ndio inavotakiwa kua .Hatuwezi kutema kama tulicholishwa ni kitu kisichofaa? Hao waasisi hawapo tena na mazingira tuliyomo ni tofauti sana na wakati wao.
Sababu za kiusalama zilikuwa za zama zile, dunia ya leo na maendeleo ya kiteknolojia, sababu zile hazina mashiko tena.Ila niliuliza nikapewa eti sababu za kiusalama zaidi, kwamba bara inaweza kuingiliwa na maadui kupitia Zanzibar kama zikitengana sijui maadui gani sasa wenye shida na sisi.
Karibu sana.Nakuja keshokutwa mchana nitapitia Songwe
Kumbe kabla ya kuvunjwa tawala za machifu Tanganyika kulikuwa na nchi ngapi? Tulifundishwa kwenye historia kuwa nchi ilikuwa moja hiyo Tanganyika chini ya Gavana!Kama kuna watu wenye uthubutu wa kulijadili hili, kwa maoni yangu wangeanza kwa kuzichambua faida zilizopatikana kwa kuvunja tawala za machifu zilizokuwepo kabla ya ukoloni na mahali pake kuunda nchi moja Tanganyika.🤔🥱🤫
huko hakuna mitandao km Jamii Forum mkapata hizo taarifa za CAG kuwa tumepigwaNipo Kyela kwa sasa. Huku hatujaipata hiyo ripoti.
Hujanisaidia. Niliomba kufahamishwa manufaa yaliyopatikana kwa Tanganyika tangu tuungane ambayo bila muungano yasingepatikana.huko hakuna mitandao km Jamii Forum mkapata hizo taarifa za CAG kuwa tumepigwa
utakuwa Mnyakyusa wewe kweli, unajua upo Malawi au Nyasaland na km sio juhudi za waasisi kutumia nguvu mlishakabidhiwa kwa Banda bila kujijua.
sasa wenzenu walishavamiwa na muarabu akaja jitwalia kisiwa akisema hakina watu akagawana na nduguye wa Oman, kwa hiyo tuache tu wapore basi na wanyakyusa bora muende Nyasa km chimbuko la Historia hamuijui au mipaka ya Berlin
Kumbuka kundi la G 55 lilianzishwa na kabila gani wakidai Tanganyika na kuiacha Unguja na Pemba
na ndiko tunakoelekea Gagnija
Hata mim sijawahi ona hayo manufaa nionacho mimi upande mmoja ndio unanufaika kuliko mwingine, na sijui kwanini hawakuweka huo usawa, ilitakiwa wabunge wa bara nao waende zanzibar, mawaziri wa bara nao waende zanzibar.Walichokiona waasisi wetu kwakweli mimi sijakiona,Naona kama tulimezeshwa tu...
Bila muungano pengine tungepata zaidi ya hiyo kodi toka kwa hao wapemba maana wangelipia hata vibali vya ukaazi, au?!Tanzania bara inafaidika kodi na ajira kutoka kwa wafanyabiashara wapemba wakiwemo akina bakhresa nk
Kwenye sekta binafsi wapemba ndio huongoza kuingizia Tanzania bara kodi
Wapemba walivyowengi bara sidhani kama wabara wanaruhusiwa kuwa hivyo huko ZanzibarTanzania bara inafaidika kodi na ajira kutoka kwa wafanyabiashara wapemba wakiwemo akina bakhresa nk
Kwenye sekta binafsi wapemba ndio huongoza kuingizia Tanzania bara kodi
Aiseeh. Humo mwenu akili zenu mnazijua ninyi wenyewe . Kwa hiyo tunawakalia ili tupate kodi zao ?!. Kwani hawawezi kutoa kodi kama wawekezaji wengine ambao ni foreigners wakiwa huru.Tanzania bara inafaidika kodi na ajira kutoka kwa wafanyabiashara wapemba wakiwemo akina bakhresa nk
Kwenye sekta binafsi wapemba ndio huongoza kuingizia Tanzania bara kodi
Wanaingizia uchumi.nchi kuliko watu wa bara Sasa mtu wa bara ukienda zanzibar utafanya nini cha maana cha kuukuza uchumi wa Zanzibar?Wapemba walivyowengi bara sidhani kama wabara wanaruhusiwa kuwa hivyo huko Zanzibar
sababu kubwa ya muungano kwa kipindi kile ilikuwa ni usalama. Nyerere aliogopa anaweza kupinduliwa kwa kutokea Zanzibar, ndio akalazimisha awe na muungano ili kuweka sawa usalama wa serekali yake. Ndio kusema kama tusingeungana na zanzibar labda nyerere asingefika alipofika katika kutawala.Hujanisaidia. Niliomba kufahamishwa manufaa yaliyopatikana kwa Tanganyika tangu tuungane ambayo bila muungano yasingepatikana.
wewe nawe muhuni tu, kama wazanzibari wana roho mbaya kama usemavyo, hebu mfananishe mama na jiwe.faida ya tatu wazanzibar wana roho mbaya sana tena sana tena sana mimi ni mtanzania mwenye asili ya kiarabu nimezaliwa tanzania bara na ni muislamu ninawajua hawa ni majirani zangu daressalaam roho zao kama mashetani wafukuzwe wote